92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
mna uwezo wa kulipa dada wa kazi?Mimi Wife alikataa kata kuleta msichana wa kazi....sijajua ananiona malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mna uwezo wa kulipa dada wa kazi?Mimi Wife alikataa kata kuleta msichana wa kazi....sijajua ananiona malaya
Sawa.ni maoni yako yanapaswa kuheshimiwaujinga usipoutoa utotoni ukubwani ni aibu tu
Unataka kazi dada?mna uwezo wa kulipa dada wa kazi?
Hapana kamanda..sio mtakatifu i agree but sijsfikia hatua ya mno kwenye uzinziBila shaka wewe ni mzinzi mno na huchagui rika, yeyote unaruka nae.
Ni suala la muda tu, huyo dogo kama kahisi chochote toka kwako basi umeisha.
Ahahshaha...katika vitu hata siumizagi kichwa ni haya mambo ya kugongewa.mkuu hiv utaweza kumlinda mwanamke au mwanaume wako kisa mmeoana?Mkeo tayar ameshakuhis na kama tunavyojua mwanamke akishakuwa na wasiwasi basi anakua uchochoro uko ofisini kwao kuna boya anampa yote, nikusaidie nipe namba ya uyo binti nimjaribu nione kama iyo michezo kashainza ili iwe rahisi kwako kupull triger
Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
Wise indeed..thanks..Mkuu ulivyoambiwa ishi nao Kwa Akili hapo ndio ungeanza tumia hizo mbili zilizobakia for your advantage.Nasema zimebaki mbili maana mpaka kumfukuza wa kwanza ulishindwa kutumia Akili.Kwanza mwanaume mwenye Akili hanyi anapolia,so huwezi kula au hata kuonyesha Nia ya kumtamani house girl tena mtto mdogo.Kwa huyu nasema unaweza kuredeem your self na kumfanya huyo mkeo akuheshimu na abadili mtizamo wake juu yako na Sio kutoka alfajiri kumkwepa huyo binti.Mchukulie kama mwanao mtreat kama mwanao na ondoa Mawazo ya kipuuzi kichwani maana hayakufanyi mwanaume Bali mbakaji.Be a father for christsake.
Namba aipate wapi anavyo ogopaNitumie namba ya huyo binti, nimuulize kama hajawahi sumbuliwa nawe
Akakuhacha au akakuachaMe ndo kwangu beki tatu hakanyagi tena maana nilichofanya Mungu anisamehe bure.wife alisafiri kwenda msibani akanihacha nae [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja waje watakatifu na matured people wakupopoe😂Me ndo kwangu beki tatu hakanyagi tena maana nilichofanya Mungu anisamehe bure.wife alisafiri kwenda msibani akanihacha nae [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu mkuu mkuuWe kula tu acha kuzunguka sana ila tumia kinga usije haribu future ya mwanafunzi bora
ndio nataka kazi shoga anguUnataka kazi dada?
😂😂 sawa boss.tuyaache haya. Kwahiyo mkuu, kwa mtazamo wako, am stupid. Mbona hiz ni hisia za kawaida tu sema ni vile mtu anapaswa kuji mudu. What is so strange about it?ndio nataka kazi shoga angu
nasing😂😂 sawa boss.tuyaache haya. Kwahiyo mkuu, kwa mtazamo wako, am stupid. Mbona hiz ni hisia za kawaida tu sema ni vile mtu anapaswa kuji mudu. What is so strange about it?