stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Duuuh mara hii?ushazini bhana fanya ukatubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh mara hii?ushazini bhana fanya ukatubu
Mwanafunzi haguswi mana hana nguvu.Ahahahah..Dahh!!. Eeh huu kwel ushauri wa kimwamba. Kwamba awekwe akiba?😂😂😂😂 for future uses
KUna lawana zingine nzito chiefChief wanaume tumeumbiwa lawama
Na kwa vyovyote labda alishaonesha kutokuwa na nidhamu kwa hao mabinti....katika story yake hiyo ya 2017 nimehisi tu ivoMkeo ana akili sana. Usije haribu mahusiano na ndoa ya kaka yake
Hapana. Hii ya 2017 ni was was wake tu. Aliomba nimsaidie kutafuta house girl, na mi sikua na uzoefu, nikamchek mshkaji wangubkazini akanionganisha na mtu, kuja kufika home, wote tunashangaa, pisi, bas ikawa hivyo tu. Sikua namjua maana na mi nilipewa connection tu. Ikabida mama mwenye nyumba amuondoe na sikupinga na hata hakumaliza mweziNa kwa vyovyote labda alishaonesha kutokuwa na nidhamu kwa hao mabinti....katika story yake hiyo ya 2017 nimehisi tu ivo
Umemaanisha nini hapo ulipoandika "kuondokewa na binti wa kazi"?Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.
Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.
Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo. Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabidi mimi nihamishie ofisi nyumbani, I had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl. Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.
Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.
Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa hapa nyumbani na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.
Sasa wakuu, ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuhi kutegemeana na jana usiku nimerudi saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuhi na huwa anatoka na watoto anawaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.
Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo.
LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hili lakini namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.
Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.
Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hizi naondoka kabla ya wao. Yaani hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayari kwa kuvaa na kuondoka.
Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.
Kwakifupi siwezi hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakweli imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kazi za kufanya ofisini mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.
Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwezi kumuangalia huyu binti maana unahisi kama wife asije akakuona.
Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.
Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.
Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni. Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu binti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.
Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.
Alamsiki
Alienda likizo ya december, akishia kuolewa huko wazaz walikua wamemuandalia mchumbaUmemaanisha nini hapo ulipoandika "kuondokewa na binti wa kazi"?
Kwanini umuwakie tamaa binti mdogo?? Na wewe una ndoa yako.Hapana kamanda..sio mtakatifu i agree but sijsfikia hatua ya mno kwenye uzinzi
Ungeandika aliondoka.Kuondokewa maana ydke alikufa.Alienda likizo ya december, akishia kuolewa huko wazaz walikua wamemuandalia mchumba
Wasi wasi ndo akili japo kukurupuka nako sio kuzuri na hiyo ni kutojiamini...japo wanaume hamuaminiki ndo mnakula adi watoto zenuHapana. Hii ya 2017 ni was was wake tu. Aliomba nimsaidie kutafuta house girl, na mi sikua na uzoefu, nikamchek mshkaji wangubkazini akanionganisha na mtu, kuja kufika home, wote tunashangaa, pisi, bas ikawa hivyo tu. Sikua namjua maana na mi nilipewa connection tu. Ikabida mama mwenye nyumba amuondoe na sikupinga na hata hakumaliza mwezi
Hao wa kula mpaka watoto wao hiyo sasa ni laana ya asili.Wasi wasi ndo akili japo kukurupuka nako sio kuzuri na hiyo ni kutojiamini...japo wanaume hamuaminiki ndo mnakula adi watoto zenu
Hiki ndio nilikua nakiongea sasa; mwanaune kamili huwezi lala na house girl wako; km ni father figure lazima heshima ijengwe ndani ya familia...Mkuu ulivyoambiwa ishi nao Kwa Akili hapo ndio ungeanza tumia hizo mbili zilizobakia for your advantage.Nasema zimebaki mbili maana mpaka kumfukuza wa kwanza ulishindwa kutumia Akili.Kwanza mwanaume mwenye Akili hanyi anapolia,so huwezi kula au hata kuonyesha Nia ya kumtamani house girl tena mtto mdogo.Kwa huyu nasema unaweza kuredeem your self na kumfanya huyo mkeo akuheshimu na abadili mtizamo wake juu yako na Sio kutoka alfajiri kumkwepa huyo binti.Mchukulie kama mwanao mtreat kama mwanao na ondoa Mawazo ya kipuuzi kichwani maana hayakufanyi mwanaume Bali mbakaji.Be a father for christsake.
Usiwaze mkuu tuko wengi tunaopitia hiyo Hali 😋😋Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.
Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.
Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo. Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabidi mimi nihamishie ofisi nyumbani, I had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl. Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.
Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.
Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa hapa nyumbani na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.
Sasa wakuu, ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuhi kutegemeana na jana usiku nimerudi saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuhi na huwa anatoka na watoto anawaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.
Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo.
LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hili lakini namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.
Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.
Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hizi naondoka kabla ya wao. Yaani hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayari kwa kuvaa na kuondoka.
Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.
Kwakifupi siwezi hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakweli imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kazi za kufanya ofisini mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.
Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwezi kumuangalia huyu binti maana unahisi kama wife asije akakuona.
Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.
Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.
Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni. Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu binti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.
Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.
Alamsiki
Sijafanya hilo lakinHiki ndio nilikua nakiongea sasa; mwanaune kamili huwezi lala na house girl wako; km ni father figure lazima heshima ijengwe ndani ya familia...
Hakika napatq releaf ninapojuankuwa am not aloneUsiwaze mkuu tuko wengi tunaopitia hiyo Hali 😋😋
Kweli mkuu watoto wenye maono ya udaktari watam mno🙆🙆Hakika napatq releaf ninapojuankuwa am not alone
Tenaaaa!!?? 😂😂Kweli mkuu watoto wenye maono ya udaktari watam mno🙆🙆