Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Na kwa vyovyote labda alishaonesha kutokuwa na nidhamu kwa hao mabinti....katika story yake hiyo ya 2017 nimehisi tu ivo
Hapana. Hii ya 2017 ni was was wake tu. Aliomba nimsaidie kutafuta house girl, na mi sikua na uzoefu, nikamchek mshkaji wangubkazini akanionganisha na mtu, kuja kufika home, wote tunashangaa, pisi, bas ikawa hivyo tu. Sikua namjua maana na mi nilipewa connection tu. Ikabida mama mwenye nyumba amuondoe na sikupinga na hata hakumaliza mwezi
 
Umemaanisha nini hapo ulipoandika "kuondokewa na binti wa kazi"?
 
Hapana kamanda..sio mtakatifu i agree but sijsfikia hatua ya mno kwenye uzinzi
Kwanini umuwakie tamaa binti mdogo?? Na wewe una ndoa yako.

Ni kawaida kua karibu na mabinti wazuri lakini kama huwezi kujizuia kuwaka tamaa basi wewe ni mzinzi mno.

Jinsi unavyozidi kujiweka mbali na huyo binti, unazidi kuweka ukaribu zaidi kihisia, huwezi kumzoea, mnaogopana na kutamaniana tu.

Mfanye kama mdogo wako, mtreat kama unavyowatreat wadogo zako, mbona easy tu.
 
Wasi wasi ndo akili japo kukurupuka nako sio kuzuri na hiyo ni kutojiamini...japo wanaume hamuaminiki ndo mnakula adi watoto zenu
 
Wasi wasi ndo akili japo kukurupuka nako sio kuzuri na hiyo ni kutojiamini...japo wanaume hamuaminiki ndo mnakula adi watoto zenu
Hao wa kula mpaka watoto wao hiyo sasa ni laana ya asili.
Moja sababu zinazonifanya mpaka leo kutojihusisha na mapenz na watoto wa under 20 ni kwasababu i have a 13yrs first born girl. So hii kwangu imekua sababu hata ya kuogopa mabint wadogo cz naona ni kama wanangu tu wa kuwazaa.

Sembuse mtu akale mwanae kabisaa!? Doohh hapo changamoto ya afya ya akil lazima iwe inahusika au ushirikina parcee
 
Hiki ndio nilikua nakiongea sasa; mwanaune kamili huwezi lala na house girl wako; km ni father figure lazima heshima ijengwe ndani ya familia...
 
Usiwaze mkuu tuko wengi tunaopitia hiyo Hali πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Hii ndio sababu huwa nakua na michepuko mingi, sababu nilishajiwekea kuwa siwezi kula hata madem wa jirani na kwangu achilia mbali wanaokaa kwangu hata awe pisi kali vp. Mara nyingi wanaokula madem wanaoishi nao nyumbani ni watu wanaojifanyaga hawataki michepuko..mwishowe wanaishia kuleta aibu home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…