Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

Aiseee.
Inauma sana.
Kwa upweke huu sijui tatoboa miaka 70!!
1. Uliwahi kuwa na marafiki au rafiki hapo zamani wa mtaani, shuleni, chuoni, n.k ? kama ndio, ni kipi kilichangia kufifisha urafiki ?

2. Hapo kazini ulianza ukiwa na miaka mingapi ? Hukukutana na watu wa rika lako unapoanza ? au mazingira ya kazi yanazuia urafiki ?

3. Umewahi kusikia wakikuongelea vibaya ? (anaringa, anajisikia, n.k)
 
Mf mimi siridhiki.

Aina ya washkaji wa job hawaendagi bar kabisa. So hao tu ni tuende AiM mall tukacheze game, ama tukale mahali.

Sasa siku nikimiss bar! Nateseka kutafuta anaza kampani 🤣
tafuta sasa, jichanganye viwanjani😂

watu wa viwanja wako social sana mi naona
 
Mitaa ya nyumbani tu easy and peaceful.
Hubadilishi? Naelewa kuna sometimes mtu hufeel kutoka nje ya nyumba.

Lakini kuna wakati pia unachoka kukaa ndani.. unaenda kibandani kuangalia mpira 🤪 unaEnjoy vp ur own company mara zote?
 
Habari?

Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja.

Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi.

Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na watu tukikutana kazini basi nikiondoka kazini mchezo umeisha.

Sina rafiki wa ku share naye mambo ya maisha au hata kufanya naye tour za hapa na pale.

Nilipokuwa na usafiri kidogo nilikuwa napata muda kuzunguka na watoto sehemu za karibu na nyumbani, nikiwanunulia chips na vikorokoro vingine tunarudi home. Sasa hivi sina usafiri. Mimi muda wote naishia ndani.
Siku nyingine naishia kutoka nje ya geti na kuchungulia nje mara Moja basi.

Au nitatoka kulishia kuku na kuangalia mayai zizini naingia ndani siku itapita.

According to my work kwa wiki kazini nakwenda mara 3 au 4 tu na nikienda naingia masaa 12. Hivyo muda mwingi niko nyumbani.

Sina rafiki kazini wala mtaani.

Ninapofanya kazi kwenda Kariakoo hata kwa mguu ukiamua unaweza kwenda lakini ni mwaka sasa sijakanyaga Kariakoo.

Wanangu na wanafamilia yangu ndo hugeuka kuwa marafiki zangu.

Naweza kuchangia hharusi ila siwezi kwenda ukumbini. Nilikwenda hharusi moja tu kwakuwa nilikuwa best man wa bwana hharusi.

Hata mke wangu tulifunga ndoa kwa DC Ilala mashahidi tuliwapata hukohuko.

Kwa ufupi Mimi sipendi sherehe, naona kama zinanitilia makelele tu.

Wengine wanataka kuwa karibu na Mimi lakini Mimi nakuwa mzito kuwa karibu nao.

Nawaza hapa sasa nina 36, hii hali ya kukaa nyumba haitaniathiri?

Maana napenda kulalia mgongo muda wote, hii tabia ya kupenda kulalia mgongo nimeianza nikiwa school miaka zaidi ya 10 imepita.

Hata kazini kiti lazima nikilalie ndo nasikia mdadi.

Au nikipata pesa tabadilika?

Maana kujifungia sometimes nahisi ni ukata labda.
kwa kuku haliwezi kuwa zizi ni Banda.

Ng,ombe,Nguruwe ndio Zizi.
 
I tried, vikanishinda.
Ubaya nalinganisha na ile friendships ya kazini.. nakuta ya mtaa iko down, haina sharing cost. Naitema 😄
haya mambo nayo hayanaga formula mi naona sio kila mtu anayawezea
 
1. Uliwahi kuwa na marafiki au rafiki hapo zamani wa mtaani, shuleni, chuoni, n.k ? kama ndio, ni kipi kilichangia kufifisha urafiki ?

2. Hapo kazini ulianza ukiwa na miaka mingapi ? Hukukutana na watu wa rika lako unapoanza ? au mazingira ya kazi yanazuia urafiki ?

3. Umewahi kusikia wakikuongelea vibaya ? (anaringa, anajisikia, n.k)
Nilipomaliza school O level nilipoteana na wenzangu maana ilikuwa boarding.
Advance nahisi ni wawili tu kati ya mia mbili hivi ndio hatukwenda university.
Mwenzangu alipata four ya 18.
Mimi nilipass ila mazingira yaligoma.
Sasa nikajikuta najitenga na wale classmates wenzangu kwa niliyopitia.
Leo hii nina namba za washikaji wa o level, advance na university lakini nakuwa mzito hata kuwatafuta. University nimemaliza hivi karibuni.
Kazini vijana wenzangu wapo, tena wengine Mimi ndio nimewaleta ila sio marafiki kivile. Ni mawasiliano ya kawaida tu
 
Bro mfumo wa maisha Yako kiukweli ndiyo mfumo ambao hata Mimi nauelewa sana, Lakini ongezea kidogo vitu viwili Muda wa Ibada uheshimu Pia Tenga kamuda Kako safi ka kufanya mazoezi Kwa Afya Njema zaidi.
 
Ukubwani huwa kuna upweke wa hali ya juu sana kama huku chini ulishindwa kupata marafiki,
Mkewe na watoto wake wawili ni marafiki zake wakubwa wa ukubwani ambao umuondolea upweke
Sina rafiki wa ku share naye mambo ya maisha au hata kufanya naye tour za hapa na pale.
Lakini pia akasema kwamba
Sina rafiki kazini wala mtaani.
Hapana rafiki unae huyu hapa
Wanangu na wanafamilia yangu ndo hugeuka kuwa marafiki zangu.
Baasi hao ndio marafiki zako wa kweli especially wanao wengine wanafiki tu, achana na kujikombakomba sana kwa watu ishi Maisha yako nobody cares

Hivi Ndizi mbivu hua zinaoza au hua zinaharibika?
 
Nilipomaliza school O level nilipoteana na wenzangu maana ilikuwa boarding.
Advance nahisi ni wawili tu kati ya mia mbili hivi ndio hatukwenda university.
Mwenzangu alipata four ya 18.
Mimi nilipass ila mazingira yaligoma.
Sasa nikajikuta najitenga na wale classmates wenzangu kwa niliyopitia.
Leo hii nina namba za washikaji wa o level, advance na university lakini nakuwa mzito hata kuwatafuta. University nimemaliza hivi karibuni.
Kazini vijana wenzangu wapo, tena wengine Mimi ndio nimewaleta ila sio marafiki kivile. Ni mawasiliano ya kawaida tu
mawasiliano ya kawaida hapo labda ungefunguka zaidi,

mnataniana, kupiga story, kwenda kula pamoja, au ni ile tu mnasalimiana basi
 
Habari?

Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja.

Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi.

Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na watu tukikutana kazini basi nikiondoka kazini mchezo umeisha.

Sina rafiki wa ku share naye mambo ya maisha au hata kufanya naye tour za hapa na pale.

Nilipokuwa na usafiri kidogo nilikuwa napata muda kuzunguka na watoto sehemu za karibu na nyumbani, nikiwanunulia chips na vikorokoro vingine tunarudi home. Sasa hivi sina usafiri. Mimi muda wote naishia ndani.
Siku nyingine naishia kutoka nje ya geti na kuchungulia nje mara Moja basi.

Au nitatoka kulishia kuku na kuangalia mayai bandani naingia ndani siku itapita.
Muda mwingine natoka nje na kuzunguka nyumba ili kuhakikisha usalama wa nyumba na familia, asije mtu akatupia maiti nyumbani kwangu kisha kunitia mtegoni.

According to my work kwa wiki kazini nakwenda mara 3 au 4 tu na nikienda naingia masaa 12. Hivyo muda mwingi niko nyumbani.

Sina rafiki kazini wala mtaani.

Ninapofanya kazi kwenda Kariakoo hata kwa mguu ukiamua unaweza kwenda lakini ni mwaka sasa sijakanyaga Kariakoo.

Wanangu na wanafamilia yangu ndo hugeuka kuwa marafiki zangu.

Naweza kuchangia hharusi ila siwezi kwenda ukumbini. Nilikwenda hharusi moja tu kwakuwa nilikuwa best man wa bwana hharusi.

Hata mke wangu tulifunga ndoa kwa DC Ilala mashahidi tuliwapata hukohuko.

Kwa ufupi Mimi sipendi sherehe, naona kama zinanitilia makelele tu.

Wengine wanataka kuwa karibu na Mimi lakini Mimi nakuwa mzito kuwa karibu nao.

Nawaza hapa sasa nina 36, hii hali ya kukaa nyumba haitaniathiri?

Maana napenda kulalia mgongo muda wote, hii tabia ya kupenda kulalia mgongo nimeianza nikiwa school miaka zaidi ya 10 imepita.

Hata kazini kiti lazima nikilalie ndo nasikia mdadi.

Au nikipata pesa tabadilika?

Maana kujifungia sometimes nahisi ni ukata labda.
Good life mwamba enjoy maisha ya privacy ni mazur sana
 
Back
Top Bottom