Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

Mbona hii lifestyle nzuri sana. Muhimu fanya ibada, mazoezi kidogo, msibani kwa majiran ikitokea nenda kajumuike nao. Hii dunia ya sasa marafiki cyo muhimu. mkeo na wanao ndo marafiki wa kweli. Kutoka na watoto siyo lazima uwe na gari
 
anza kusoma vitabu
 
Kwa umri huo, kupata marafiki wakweli ni ngumu sana maana wengi watakuja kwako kupata kitu flani. Na hakuna kitu kibaya kama kuwa na marafiki ambao hawana urafiki ndani yao. Mwisho utazungukwa na masnitch tu

Najua kinachokusumbua sio lonileness ila ni ile boredom maana Routines za maisha yako zimekuchosha hivyo, tafuta extra activities kuliko watu watakaokuharibia amani uliyonayo
 
Tafuta hobbies zifanyie kazi hasa zile hobby zitakazo kuchanganya na watu wa hobby yako na ukienda huko acha uheshimiwa wako nyumbani yaani ukienda huko uwe full equipped na hiyo hobby niamini mimi utafurahi sana na utapata marafiki mnao fanana ila usiwalete nyumbani kwako waishie huko huko. Hayo maisha ya upweke ni mabaya bana hadi umeyaandika hapa ni wazi yamekuchosha na huyafurahii
 
Mkuu pole na hii hali hebu wasiliana na huyu Mwanasaikolojia atakupa namna ya kuikabili hii hali. Dr Nkwabi Sabasaba 0717685138
 

Jiandae kupata mental illness mzee!!

unagekua mwanamke ingekua poa!! ila mwanaume kukaa ndan kama umeolewa shida n kubwa….

Kuna clips iko youtube inasema “How to unfu*k your life”

Sheria no mbili ni Go out meet people for your mental health..
Goodluck bro
 
Thanks soo much
 
Daaahh hatari
 
Jiamini,usijekaa na kufuiiri hao unaowaona wanazunguka mitaani na marafiki kila kona wana amani kwenye nyumba zao,pata muda wa kuabudu Mungu,fanya mazoezi na pia usiache kutafuta pesa kwa nguvu zako zote ili uweze kutimiza ndoto zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…