Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

Stay away from friends in Nigeria friends killed mohbad kukaa hivyo sidhani kama kuna hasara kwasababu wengi wameangamia kwasababu ya marafiki.
 
Tafuta sehemu nzuri kwaajili ya mazoezi
Uwe unatoka baada ya kurudi kazini unafanya mazoez itakusaidia kiafya pia utakuwa unabadili mazingira pia
😊. Asante kwa kuongezea. But sometimes ukiona mtu unajikuta kwenye situation ambayo hauelewi Mimi huwa nafumba macho, nahesabu moja mpaka tano halafu navuta pumzi kwa sekunde 5 mpaka 10 halafu naanza kuitoa kidogo kidogo. Huwa narudia rudia mara nyingi huwa inanisaidia sana.
 
Rafiki wa karibu na mtu ni mwenyezi Mungu. Hawa wengine ni nyogeza tu, sio basic need
 
Jitahidi kutembea kidogo ukutane na watu, porojo kidogo, hata kama unapata kinywaji, jaribu kuongea na watu. Kukaa tu ndani mwisho utapata msongo wa mawazo. Muombe Mungu akuonyeshe binadamu ambao watakupa company. Nasema binadamu kwani dunia ya leo ina watu, na binadamu.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kuna namna kama tunalingana hivi, I hate mikusanyiko, sijawahi hudhuria sherehe hata ya ndugu wa karibu[emoji23][emoji23][emoji23]....always nitatafuta excuse nisiende, ila misiba naenda...

I have few friends hawazidi watatu, mmoja wa kike amekua ni zaidi ya rafiki , amekua ndugu, anajua jinsi nilivyo na hana shida na hilo, wawili ni wa kiume, that's final...
Outing nilizotoka zinahesabika sana, hazizidi hata tatu kwa huu umri nilionao, yaani sipendi tu mikusanyiko...

Am happy, nafurahia utulivu zaidi na kua mwenyewe, I think hauko na shida, it's normal....marafiki sometimes jau sana...

Live yo life and enjoy it to the fullest...
 
Anza kujog kila jioni.

Wiki ya kwanza jog umbali wa saa moja kwenda na saa moja kurudi

Kila ukimaliza iquote hii comment yangu andika "Done"
 
GO LOCAL GYM

GO LOCAL GYM

hakuna mwengine atakaekupa ushauri huu tena maranyingi Introvert mida ya jioni ndio wanaanza kuwa bored kukaa home muda huo tafuta gym ya kufanya mazoezi usiende professional gym local gym nzuri zaidi utapata marafiki wa kutosha na kupiga stori sana hakuna njia nyengine unaweza pata consistency ya marafiki, company na kupiga stori

Usiwe introvert total unapata msongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…