Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

Ndio wife wangu anavyoniambia kuwa watu wananiona mimi ninamajivuno,lakini nasema ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu sipo hivo ila uwa najiona nimechafuka sana tena sana.
unashikana mikono na m2 unanawa na wakati umebeba mavi tumboni?
 
Itakuwa una hela..
Kama hauna hela halafu ukutane na mkwe wa kichaga ungeomba poo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Michaga ukiwa hauna hela ina madharau...!! [emoji2] Cheeee!!!!
Ur sick, uko na OCD, see the dr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…