Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Basi nilijua haupo nchiniNipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nilijua haupo nchiniNipo
Nipo niende wapiiiBasi nilijua haupo nchini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mm nikitaka kusalimiana na ww lazma nivae gloves
Na siku utakapo fukiwa na udongo kaburini itakubidi utoke nje unawe ndo urudi ulale vizuriNdio wife wangu anavyoniambia kuwa watu wananiona mimi ninamajivuno,lakini nasema ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu sipo hivo ila uwa najiona nimechafuka sana tena sana.
Yeah.Poa,nimekuelewa.
Kumbe una mke na watoto? DNA inawahusu hao watotoHiyo kazi sijawahi kuifanya,huwa namuita House girl haraka mno kama nimeng'atwa na ng'e na ndio marumbano na wife yanapoanzia hapo kwamba eti nawanyanyapaa hadi watoto wangu.