Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mi ni mwanaume,hebu niombe radhi tafadhari.
Tena si kujikuna tu, anajikuna sehemu nyeti.Uko sawa kabisa mkuu, afya inataka hivyo maana kuna watu wana tabia mbaya utakuta anajikuna halafu ukimusalimia anakuwa na kihelehere cha kuleta mikono.
Ikiwezekana tembea na sayona yako ya lita 1.5.
Kwahiyo mwanaume unatakiwa kuwa mchafu ??
Nilifikiri hakuna aliyemjibu hivi. ...Obsessive compulsive disorder
Labda nikusaidie tu kuwa,MSAFI akizidi ndio anaitwa MTANASHATI,kwahiyo watu wananishangaa kwa usafi uliopitiliza (UTANASHATI) Ndipo nikauliza nifanyeje,ili usafi wangu uliopitiliza(utanashati) usionekane kero kwa wengine .......Sasa cha kushangaza wewe unaniuliza mimi,ambaye nataka muniambie nifanye nini ili wasinishangae kwa usafi wangu uliopitiliza (utanashati)kapime akili ... wewe umesema wanakushangaa, mtu akiwa msafi watu wanamshangaa?
Yeye mwenyewe hajui kwamba anaumwaNilifikiri hakuna aliyemjibu hivi. ...
Huo sio utanashati ni OCD......
Habari yakoYeye mwenyewe hajui kwamba anaumwa
Salama kabisa,upo kweli wewe!Habari yako
NipoSalama kabisa,upo kweli wewe!