Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

Kujifuta mikono ninayo na huwa inakuja automatically tu.na si kwamba nafuta mpaka basi. Ni lazima nipanguse kwenye Nguo kidogo hapo ntakuwa na Amani. Na wakati nafanya hivyo hata alonipa mkono hawezi hisi chochote kwani nafanya kwa akili.
Ila hiyo ya kunawa sijawahi.

Elegant is an attitude...usafi wa mwili muhimu bana..utakuta unasalimiana na mtu kwa kushikana mikono unachokutana nacho ni majasho yanayonatanata...duuh hapo lazima utanunua hata maji ya jero unawe mikono manake hata leso haitakusadia bali itakusaidia tu kubeba kinyaa hadi home.
Hivyo kupenda kunawa au kufuta mikono mara unapohisi hali ya uchafu ni hali iliyondani ya mtu,hata mke wangu hunitania sana kuwa napenda sana kunawa mikono.
 
Kuwa msafi kupitiliza ni mojawapo ya dalili za ukichaa according to Twaweza
 
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???

Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Sasa utanashati wako sisi unatuhusu nini,,au ulitaka tufanyaje..Kijana acha kuringa kwani nani si mtanashati tena wengine ni watanashati lakini tunaona kawaida tu au una kamba mguu uni ......
 
Pitisha na tishu ikae hapoo katikati ya matako kwani na yenyewe yanakuchafua yakigusana na kuharibu utanashati
 
Gay root...dalili za kua gay hzo brother..muone daktar wa saikolojia,..ukiona mwanaume msaafi sana had anapitiliza ujue ana gay root kwenye gene zake
 
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???

Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Ukikumbatiana unafanyaje au unaenda kufua nguo kabisaaaa
 
Huyu anaumwa jamani..kuna watu wa aina hii mie nilishawahi kukutana na sampuli ya hawa wanaume yaani huyu alikua anavaa gloves kabisa hahaha! usiombe ukawa kwenye yale mambo ya faragha ni vituko vitupu. Kijana tafuta tiba mapema kabila hujazidi kuwa waajabu.
 
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???

Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Utakuwa mhaya kama sikosei
 
Back
Top Bottom