wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,377
Kujifuta mikono ninayo na huwa inakuja automatically tu.na si kwamba nafuta mpaka basi. Ni lazima nipanguse kwenye Nguo kidogo hapo ntakuwa na Amani. Na wakati nafanya hivyo hata alonipa mkono hawezi hisi chochote kwani nafanya kwa akili.
Ila hiyo ya kunawa sijawahi.
Elegant is an attitude...usafi wa mwili muhimu bana..utakuta unasalimiana na mtu kwa kushikana mikono unachokutana nacho ni majasho yanayonatanata...duuh hapo lazima utanunua hata maji ya jero unawe mikono manake hata leso haitakusadia bali itakusaidia tu kubeba kinyaa hadi home.
Hivyo kupenda kunawa au kufuta mikono mara unapohisi hali ya uchafu ni hali iliyondani ya mtu,hata mke wangu hunitania sana kuwa napenda sana kunawa mikono.