Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Obsessive compulsive disorder
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You're right... alizotaja ni moja ya signs za OCD!Obsessive compulsive disorder
MmmhPoa,japo kuna kipindi nilijaribu kama wiki hivi nikachemka nikajikuta nimerudia bila ya kujijua.
Papuchi unakula?Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???
Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Hujafikia utanashati bado.Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???
Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Hiyo kazi sijawahi kuifanya,huwa namuita House girl haraka mno kama nimeng'atwa na ng'e na ndio marumbano na wife yanapoanzia hapo kwamba eti nawanyanyapaa hadi watoto wangu.Nunua hand sanitizer ukimaliza hekaheka za siku nzima unajipaka viganjani.
Umesema hapo juu una watoto je umewahi kuwabadilisha nepi
Exactly! It is a mental condition, anaumwa huyu na si kama anaringa. Aende akamuone a psychologist.Obsessive compulsive disorder
Huyo ni mgonjwa ila hajui tuYou're right... alizotaja ni moja ya signs za OCD!
Cha kushangaza ni itokee kuwa wewe ni mfuasi wa "dry"Kujifuta mikono ninayo na huwa inakuja automatically tu.na si kwamba nafuta mpaka basi. Ni lazima nipanguse kwenye Nguo kidogo hapo ntakuwa na Amani. Na wakati nafanya hivyo hata alonipa mkono hawezi hisi chochote kwani nafanya kwa akili.
Ila hiyo ya kunawa sijawahi.
kama badounaelekea kuwa mchicha mwiba si muda mrefu, maana mwanzo wa ngoma ni lele.