Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

Hujafikia utanashati bado.

Ungekuwa mtanashati ungevaa gloves. Unashikana mikono na watu halafu unajiita mtanashati?

Labda mtanabukta.
Hilo neno "utanashati" nimelitumia kama vile ninavyoambiwa na watu,sio kwamba nimejipa mimi.
 
Acha kupiga masterB
ndomana mnakua na mikono laini mpaka mnaogopa kusalimiana kwa mikono.
Eti ooh! Utanashati lol!
 
Bado hujafikia kiwango cha kuvaa gloves.
Mwanzoni sikuwa natoa mkono wangu,ila nilionywa na mzee ndio hivo nikawa natoa lakini huwa najihisi kama nimepakwa kinyesi vile.
 
Unanikumbusha demu wangu akiwa bleed mda wote anataka kunawa mikono na kuoga...ukimuuliza eti najihisi mchafu...kua uache
 
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???

Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
Mi natembea na mkongojo, ukitoa mkono nakupa jifimbo,

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Acha kupiga masterB
ndomana mnakua na mikono laini mpaka mnaogopa kusalimiana kwa mikono.
Eti ooh! Utanashati lol!
Sijawahi kufanya hiyo kitu,vipi wewe ushawahi nini kufanya hiyo mambo???
 
Wewe ni mbaguzi na wala sio mtanashati.. sasa ungekuwa Mreno si usingehitaji hata kuwaona watu weusi...!
 
Huo unakua utanashati uliopitiliza a.k.a dharau kwa lugha ingne, hakuna anayekubali kufanyiwa hvyo
 
Mwanzoni sikuwa natoa mkono wangu,ila nilionywa na mzee ndio hivo nikawa natoa lakini huwa najihisi kama nimepakwa kinyesi vile.
Kujihisi umepakwa kinyesi si utanashati.

Ni ugonjwa wa akili.

Wewe si mtanashati.

Una ugonjwa wa akili. Ni vile hujapata ushauri nasaha tu.
 
Hiyo kazi sijawahi kuifanya,huwa namuita House girl haraka mno kama nimeng'atwa na ng'e na ndio marumbano na wife yanapoanzia hapo kwamba eti nawanyanyapaa hadi watoto wangu.
Hii too much kamuone dokta wa saikolojia aliye specialize kwenye maswala ya crossgender.
 
Kujihisi umepakwa kinyesi si utanashati.

Ni ugonjwa wa akili.

Wewe si mtanashati.

Una ugonjwa wa akili. Ni vile hujapata ushauri nasaha tu.
Poa,nimekuelewa.
 
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???

Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia bila kujifuta na kitambaa au kwa kunawa maji tena wakati mwingine hata mbele za wale nilioshikana nao mikono kiasi cha kwamba wananiona na wanamaindi na wale wanaonijua huwa hawanipi mikono kwa kuniona kama naringa hivi.
This is a mental illness, tafuta mtaalamu akusaidie
 
Hiyo ni ishu ya kisaikolojia. Nenda kapate tiba mkuu.

Hauna tofauti na mtu anayehakikisha kwenye friji lake vitu vinakua idadi fulani tu, vikizidi yupo radhi atupe ili vibaki idadi anayotaka.
Mfano David Beckham
 
Sijui nifanyaje ili niiache hii tabia,maana huwa najihisi kama nimeubeba uchafu mikononi mwangu miaka 10 ?? Na huu wa mikono ni moja kati ya mambo mengi ya ninayoambiwa kuwa nimekuwa "mtanashati mno" wakati mimi mwenyewe najiona niko poa tu.
jitahidi tu kuwa mvumilivu
 
Hilo la kupangusa mikono tena kwa kuibia ni kawaida na majority wanafanya!! Lakini kunawa mikono kabisa ni total embarrassment kwa muhusika kama anakuona!
ni mbaya sana. muhusika anapokushuhudia.
 
ni mbaya sana. muhusika anapokushuhudia.
Sure... sema dah, watu hapa hawawezi kabisa kumwelewa lakini binafsi, namuelewa sana! Wala hajifanyishi na wala hakusudii kufanya hivyo; hili lake ni tatizo... some kind of mental problem!! My mom ana same problem ingawaje ukimwambia anakataa!! Yeye nadhani ndo mbaya zaidi kuliko mdau!! Yeye hata nguo yake, haiguswi na mtu... asije "akaichafua"!
 
Back
Top Bottom