SawaNjoo inbox binti nkupe mbinu.
Daah nimecheka sanaAnza na mmea WA buku ushushie na embasi tatu.
Baada ya hapo tafuta k vant ndogo umwagilie maini Kisha tafuta kada WA chadema umkate banzi.
Hapo utahimu elimu msingi ya ukatiki
Kila kitu kina mwanzo wake nitajifunza ukatili mpaka nibobeeeKama si wa roho mbaya toka awali, ukiiga utapitia wakati mgumu sana kuliko ulopitia nyuma.
Kila life style ina changamoto zake hivo usidhani wenye roho mbaya wanateleza tu.
Wafuatao wana skills hizo watakusaidia mkuu๐คฃHabari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
Wewe na Yeye hamuelewi maana ya roho ๐๐๐Wafuatao wana skills hizo watakusaidia mkuu๐คฃ
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
chiembe
johnthebaptist
Cheki nao inbox, watafanikisha ndoto yako๐
Macho na maskio ya waTanzania wote yapo Songea uwanja wa maji maji nyie mnafanya nini hapa, gentlemen?Wafuatao wana skills hizo watakusaidia mkuu๐คฃ
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
chiembe
johnthebaptist
Cheki nao inbox, watafanikisha ndoto yako๐
Tunajua anachokifanya muuaji huyo ni kusaka huruma ya chama ionekane wote wanahusika.Macho na maskio ya waTanzania wote yapo Songea uwanja wa maji maji nyie mnafanya nini hapa, gentlemen?
ni vizuri mkazingatia kinachoendelea uwanja wa maji maji songea, umefurika watu aise, na ni muhimu zaidi kuskiza hotuba ya Rais, ni jambo la maana zaidi ๐
Roho zinaambukizana sudi zao.Wewe na Yeye hamuelewi maana ya roho ๐๐๐