Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sawa boss lkn si hawa omba omba wa barabarani wanaoomba hela ukiwapa kitu tofauti na hela wanakataa wanataka hela tu.Saidia kwa moyo wa huruma wala usisaidie ili upate. Kuna watu ukiwaona unaona wazi, anahitaji msaada hata kama anafanya biashara ndogondogo. Nina jicho la kuona hivyo, inaanzia rohoni na kwa hilo jicho nitatoa kwa huruma. Na kuna ambao sitoi kwa kumuangalia tu najua sitakiwi kutoa. Mimi hulipwa hata mara 10 yake nayotoa. Usitoe ili upate, saidia tu mengine Mungu anajia roho yako.