Nimekuwa na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu

Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Persol...u ll find t pharmacy

Secure t ...utaona maajabu
 
Nashukuru,,inaitwa persol ivoivo?? Persol au Secure t?? Sijakuelewa hapa
Inaitwa Persol mkuu

Ni katube tu..made in Kenya

Unakuwa unapaka usiku tuu ( coz inauma na inababua kutoa sumu hizo za chunusi

Kiufupi ukianza kuipaka aibu weka pembeni
 
Ahsante sana,,natafuta leo leo
 
Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Kwanza huna ujauzito hapo ulipo, nayo ni sababu kuu ya kuotesha njugu mawe kwenye uso
 
Persol Gel nlikua naitumia sana utotoni, nilikua km fenesi, ila ziliisha tu automtically after kupita adolescent nlivyoota ndevu, maana hata ningepaka Sulphuric Acid ingedunda, ila kuna dawa moja alitumia jamaa flan hv nlikua nasoma naye ikatoa wiki tuu akawa smooth, hata sijui inaitwaje had leo
 
Sina na sina historia ya chunusi,,ila nilivokua mjamzito miaka minne sasa zilikuja,ndo zimeniganda mpaka Leo,,
 
Persol Gel nlikua naitumia sana utotoni, nilikua km fenesi, ila ziliisha tu automtically after kupita adolescent nlivyoota ndevu, maana hata ningepaka Sulphuric Acid ingedunda, ila kuna dawa moja alitumia jamaa flan hv nlikua nasoma naye ikatoa wiki tuu akawa smooth, hata sijui inaitwaje had leo
Muulize basi mkuu watu wapate faida
 
Tumia limao au ukwaju kupaka kwenye uso wako
 
Persol Gel nlikua naitumia sana utotoni, nilikua km fenesi, ila ziliisha tu automtically after kupita adolescent nlivyoota ndevu, maana hata ningepaka Sulphuric Acid ingedunda, ila kuna dawa moja alitumia jamaa flan hv nlikua nasoma naye ikatoa wiki tuu akawa smooth, hata sijui inaitwaje had leo
Jaman
 
Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Weka picha au kama unaogopa kujulikana vaa miwani weka picha madoctor wajua wakushauri vipi
 
Inaitwa Persol mkuu

Ni katube tu..made in Kenya

Unakuwa unapaka usiku tuu ( coz inauma na inababua kutoa sumu hizo za chunusi

Kiufupi ukianza kuipaka aibu weka pembeni
Hee kwani inakuwaje tena mbona wamtisha
 
Back
Top Bottom