Nimekuwa na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu

Nimekuwa na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu

Pole sana mimi Chunusi hazikunipata hata kwenye balehe ilikuwa ikija tu naitia kucha Inatoka.

Ndio upo kwenye balehe.
Mi Mzee Nina miaka zaidi ya 50,,nilibalehe miaka ya 70 huko
 
Jaribu remedy
Screenshot_2018-08-03-11-29-16.jpg
 
mapenzi humu ndani hayaruhusiwi mtachezea bakora muda si mrefu. Afu we binti nicheki DM nina maelekezo mahususi toka kwa moderators
 
Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Pole sana, jaribu kutumia bidhaa asili lakini nakushauri utumie african black soap uwa inasafisha ngozi na kupunguza au kumaliza kabisa chunusi, zipo njia nyingi tofauti. Kuna facial wash za asili kuna face scrubs. Karibu nikuhudumie whatsaap 0657170398
 
Back
Top Bottom