Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Nakushauri tumia hii product hapo chini. Hutojuta. Ni Aloevera Gel Moisturizier.... Ambayo haina kemikali. Utajipenda bure. Haichubui. All the best mrembo.