Nimekuwa na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu

Nimekuwa na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu

Chunusi husababishwa na VINYWELEO VYA USONI KUZIBA,,,hivyo basi unapaswa usitumie CREAM,,au usitumie DRY LOTION ...siri ya kuepuka CHUNUSI...1...LOTION WITH GRYCELINE 2 ..SABUNI NZR ya KUSAFISHA USO...hakuna KINGINE... usitumie zile ACNE creams,,au ACNE lotions sio NZR.. tumia SABUNI YA PAPAI...NA Q10 NIVEA LOTION,,ya south Africa... Hutoviona TENA,,, Usipake lotion USIKU,,, unapaswa kuosha USO na kujifuta MAJI,,, let is be ...ili VINYWELEO vya USO viwe Free....usitumie cream za aina YEYOTE,, cream ndy chanzo cha TATIZO
IMG_20180905_105143.jpg
 
Tafuta jojoba oil au grapeseed oil,,kila unapooga uwe unapaka hayo usoni kama ukipenda paka mwili mzima,,nenda katafute kwenye maduka ya dawa za kiarabu,,alafut utanipa mrejesho,,achana na madawa ya kemikali hayo ni mafuta ya asili ila ni mazuri sana kwa watu wenye machunusi namafuta mengi,,paka asubuh na usiku hayo mafuta huku ukinawia maji ya rose asubuh na usiku(rose water),,nawia maji ya rose alafu paka hayo mafuta bila kupaka matakataka ya kemikali alafu utaona mwenyewe,,mm nimetumia imenisaidia kuondoa mafuta na machunusi
 
Ni Tatizo la Hormones nenda hospital utapewa dawa za kumeza alafu na tube ya kupaka ndani ya week zitakuwa zimeisha kabisa. Hata mm nishawahi kuwa na tatizo linaloendana kama hilo.
Nilishakumbana na hiyo adha nilihangaika zaidi ya miezi 4 nilipoenda hospitali nilipewa dawa za kunywa na tube ya kupaka nishasahau kabisa
 
Nenda pharmacy nunua dawa inaitwa retin A ....hutojutia hela yako....mie nilikua muhanga wa tatizo hilo pia
 
Tafuta dawa yoyote yakupaka ambayo ina mchanganyiko wa salicilic acid

Nakuhakikishia utaona maajabu
 
Habari zenu jamani,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Kuna bidhaa nzuri za kutibu tatizo lako kutoka ORIFLAME nione nkusaidie
 
Pole sana. Hili tatizo nyie kwenu ni la ukoo. Yulr ndugu yako mwingine naye alikuwa analalamika sana na chunusi.ingawa alikuwa mzuri ila ikawa hapo...nadhan mna ngozi yenye mafuta sana.
 
Back
Top Bottom