Nashukuru dearPole sana, jaribu kutumia bidhaa asili lakini nakushauri utumie african black soap uwa inasafisha ngozi na kupunguza au kumaliza kabisa chunusi, zipo njia nyingi tofauti. Kuna facial wash za asili kuna face scrubs. Karibu nikuhudumie whatsaap 0657170398
Kovu linakuja halafu linafutika baada ya kama wiki 2Hiyo Ina afadhali,,hupati makovu sn
Sina na sina historia ya chunusi,,ila nilivokua mjamzito miaka minne sasa zilikuja,ndo zimeniganda mpaka Leo,,
Hahahhahaha nimecheka soma kuanzia page ya kwanza ya huu uzi nimecheka sana hunna sisi tuko kazini babe wapenzi watizamaji 😀😀
Punguza stressHabari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Tafuta dawa inaitwa Benzoyl Peroxide (Persol 5).Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Sawa,,Ahsante