Habari zenu jamani,,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu. Nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu. Nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau
Nafikiri sio products nzuri sana kutumia kwa muda mrefu.Persol...u ll find t pharmacy
Secure t ...utaona maajabu
Bei yake ni 6,000 ila Instagram inauzwa 15,000-20,000.Ahsante sana sana,,,inauzwa shilling ngapi?
Persol...u ll find it pharmacy..... Secure it ...utaona maajabu
Shukrani loveKuna dawa ya vidonge inauzwa Nakiete Pharmacy. Kidonge kimoja 1400 kama sijakosea. Nenda kawaulize hiyo dawa ni nzuri niliona mtu anatumia week tu akapona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa Acnotin
Usisahau kuleta mrejesho wa dawa unayotumia/utakayotuimia na matokeo yake.Shukrani love
LazimaUsisahau kuleta mrejesho wa dawa unayotumia/utakayotuimia na matokeo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooooo,,,tabiya mbayaaaaQueenever hayo machunusi mimi nikiyaona yananiongezea hamasa, siyo chini ya kunyaza mara tatu mfululizo! Kwa upande wa mwenye nayo yanapotea ndani ya wiki mbili. Karibu tuhudumiane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Km we ni KE utakuja kuzipata baadae sana,Chunusi mi huwa nazisikia tu. Sijawahi kuzipata na kwenye familia yetu hakuna aliyekuwa nazo.
Mimi ni mwanaume.Km we ni KE utakuja kuzipata baadae sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni minyege tu, hamna kitu kingine..Habari zenu jamani,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa, msaada kwenu wadau