Tafuta jojoba oil au grapeseed oil,,kila unapooga uwe unapaka hayo usoni kama ukipenda paka mwili mzima,,nenda katafute kwenye maduka ya dawa za kiarabu,,alafut utanipa mrejesho,,achana na madawa ya kemikali hayo ni mafuta ya asili ila ni mazuri sana kwa watu wenye machunusi namafuta mengi,,paka asubuh na usiku hayo mafuta huku ukinawia maji ya rose asubuh na usiku(rose water),,nawia maji ya rose alafu paka hayo mafuta bila kupaka matakataka ya kemikali alafu utaona mwenyewe,,mm nimetumia imenisaidia kuondoa mafuta na machunusi