Mwambie wazazi wako wamekutafutia mchumba na unataka uolewe wamekushinikiza...
Ikiwa vipi hizo mali mlizowekeza mnaweza mkagawana nae ili aende salama na wewe uende kivyako..., usipoangalia utakosa vyote...
Fanya haya jana na sio kesho..
Kinachonisikitisha zaidi,
Hii I'd ni ngeni Sana humu [emoji848]
Kuna kitu hakiko sawa mahali,
Hebu Ngoja nikanywe maji kwanza[emoji34]
View attachment 2122288
Mwisho wa siku inakuja kutokea kama ya mleta mada!Polee tafuta mchepuko ila usimletee mkeo ukimwi
Mkuu DeepPond kama tafadhari muache kwa amani binti wa watu, ona anavopata shida jaman daaah.
We binti tamaa zimekuponza, pole sana.
Watu wa hivo ni kweli ukimzingua hataona shida kukupoteza na unahatarisha maisha ya hako kamjaa kako pia akijua atakafyatua kweli.
Ushauri mzuri ni kukomaa na hiyo style yako coz kila kitu kakupa yeye hapo ulipo hata uhai wako kaushikilia sasa.
Kama una ujasiri mwambie unatamani kuitwa mke, walau basi akuoe mke wa pili. Lakini kama unajiamin zaid mwambie akuruhusu uolewe ila mahusiano yenu yataendelea kama kawaida kwasababu huko nampwilimbwinde kwenu wazaz wanasumbua wanataka ndoa na wajukuu uwapatie ndoani na sio kuzaa tu bila ndoa.
We nae hebu tutue...hujaona komenti za wanaume walivyotukana kwenye huu uzi? Tungempa moyo pia ungetusimanga kuwa tunampelemba ili mwenzetu aendelee kutenda jambo lisilo sahihi ili aje aharibikiwe mbele. Jiheshimu mzee na heshimu maoni ya watuKubali tu, hili kidogo lina wasumbua! Hampendani!
Mpendwa wangu kama huna kikwazo cha kuolewa mke wa pili olewa tu maana huyo bwana anaonekana anakujali, unaweza kwenda kutafuta wa peke yako naye akawa na mambo yake ya ajabu au akakuletea wenzio yakawa yaleyaleKuwa mke wa pili tena wakati ndilo ninalotaka kulikimbia? Kuhusu kuolewa alishaniambia hicho ninachokwenda kukitafuta huko ambacho sikipati kwake ni nini?
give him his stuff back and move on
Khaa we Luky [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Polee tafuta mchepuko ila usimletee mkeo ukimwi
Mimi pia na mke mdogo( enzi alikuwa mchepuko akisoma chuo nikampangia na kumpa gari na biashara alipomaliza chuo nikamjengea then et anataka aniache nilimfata mamake nikamwambia nitawaua ukoo mzima)
Wakat natoa hela mtoto anasoma na kuishi vzr dar why hawakumzuia sahiz ndo wanawaza aolewe? Never
Ilibid waongee nae vzr akakubali nikamuoa mke wa pili ndo kesi ikaisha
Hii ba ngoosha !!!! Yan haya maswala hata kama roho ya kishetani huna inajiapload yenyewe, ye binti aombe ndoa kwa uyo kiongozi, ila ingekuwa kule ucgagani machame bibie angemtanguliza mbele za haki jamaa chapu tuMimi pia na mke mdogo( enzi alikuwa mchepuko akisoma chuo nikampangia na kumpa gari na biashara alipomaliza chuo nikamjengea then et anataka aniache nilimfata mamake nikamwambia nitawaua ukoo mzima)
Wakat natoa hela mtoto anasoma na kuishi vzr dar why hawakumzuia sahiz ndo wanawaza aolewe? Never
Ilibid waongee nae vzr akakubali nikamuoa mke wa pili ndo kesi ikaisha
Mwambie tu mama yako huenda atakushauri kitu kizuri tu usimfifhe ,ili suala uamuzi utakaotoa lazima uwe equal ukibase upande 'mmoja umekwishaBahati mbaya sana wazazi wanamfahamu kama mtu wangu. Kuna kipindi wazazi wangu walipatwa na changamoto kubwa tu na alitumia pesa nyingi tu kuitatua. Mama huwa ananiuliza tu tuna mpango wa kuoana lini najikanyaga tu naona aibu kumwambia ni mume wa mtu maana sijui atanifanya nini haki ya Mungu.
Kwa nini usiolewe mke wa pili? Hivi unaujua uchungu wa kumchuna vyote hivyo halafu umuache? Hivi hujawahi kusikia matukio ya watu kuuana kwa sababu ya wivu wa kimapenzi? Fikiria kabla ya kutenda. Huo ndio ushauri wangu.
Tafuta scholarship nje ya nchi.... Unarudi umeolewa
Kuna kitu kipo ndani yetu wanaume ambacho hamnacho nyie wanawake nacho ni kupenda.Nimeifungua mahsusi ili niombe ushauri.
Yani mtu hajifunzi kutokana na story zote zilizopo kila sehem..Ahsante kwa kuniita mkuu,
Iyo Aya ya mwisho ndo umemaliza kila kitu[emoji4]
Mwanaume ukimfanya danga lako nae atakufanya malaya wake..' [emoji3578]
1: uko tiyari kuachia nyumba?
2: uko tiyari kuachia gari?
3: uko tiyari kuikosa hiyo kazi?
4;hako ka serengeti boy kana chochote au kamekupendea mali za jamaa?
Kama yote hayo uko tiyari muweke wazi ondoka bila chochote.
Ila nakuhakikishia hako ka serengeti baada ya miezi 2 tu katakuacha maana hutokuwa na chochote.
Kuanzia hapo utakuwa nagundu hata mme wa kukuoa hutompata.
Utaishia kulala na vitoto ambavyo unavizidi umri, na vitakuzalisha vikutekeleze.
Mimi nimekuelewa ila ujinga uloufanya ni kumruhusu akawekeza kwako wakati humpendi.
Dada kuna siku utapauka utakumbuka hii comment. Unakwenda kukosa kila kitu kisa hicho kivulana ulichokipata na wenda hakina kitu labda smartphone na laptop.
Dada duniani huwezi pata vyote, bora ukose upendo lakini unahudumiwa.
Nani kakudanganya hako kavulana katakupa raha kuliko huyo baba?
Ondoka ila jiandae kupauka, nimeona walofanya kama wewe wanatamani kurudisha siku nyuma.
Ukipenda jibu maswali hapo juu.
Duuuu!We nae hebu tutue...hujaona komenti za wanaume walivyotukana kwenye huu uzi? Tungempa moyo pia ungetusimanga kuwa tunampelemba ili mwenzetu aendelee kutenda jambo lisilo sahihi ili aje aharibikiwe mbele. Jiheshimu mzee na heshimu maoni ya watu
Rudisha mali zake ili uwe na maisha ya amani.. vitu hutafutwa ila uhai once ukiondoka haurudi tena...
Hama alipokupangishia ikiwezekana tafuta kazi sehem nyingine maana bila hivyo ataendelea kukutafuta.. piga block kila sehem.. hayo ni madhara ya kudate mume wa mtu .. pole sana kwa hali hiyo ya kujitakia.. unahitaji nawe uwe na familia lakini uliendekeza kudanga kwako kwa kumtegemea kila kitu..
Hivi dada unajiskiaje kudate na mtu ambae akitoka kwako anaenda kulala na mwanamke mwingine? Mnawezaje jaman.. I don't judge you by the way
'Mwanaume ukimfanya danga lako nae atakufanya malaya wake..'
Cc: DeepPond
Ni nani uliyeona amefurahia hili jambo hapa? Au umekuja kutema nyongo ulizotoka nazo kwa mkeo ndugu yangu?Duuuu!
Haya bwana, na heshimu maoni ya watu na mimi pia maoni yangu yaheshimiwe.
Wanawake bila ya nyinyi maisha hamna,kwa maana hiyo umuhimu wenu hapa duniani hauna cha kufananishia ila pia mna changamoto ya kuona mwenzenu akiwa anaumia mnafurahi hata kama anaumia kwa ujinga wake.
Mwenzenu pia akiwa kwenye mafanikio mnachukia. Hilo kwa kweli wengi wenu mnalo.
nakushauri kama umepata mpenzi mwingine rudisha walau nyumba na gari la huyo mume wa mtu ndo umuambie muachane, vinginevyo unajitafutia mikosi, balaa na laana kwa Mungu na kwa binadamu, hata huko unapoenda kwa huyo mpenzi mwingine yawezekana msifanikiwe kwa lolote lile na ikawa ndo chanzo cha kuharibikiwa maisha yako.
Pia usiporudisha mali za watu/mume wa mtu anauhalali wa kukufanya lolote kiimani na kibinaadamu na akafanikiwa.
TAMAA, DHULUMA NA UTAPELI havijawai kumwacha mwanadamu salama. JIAZARI SANA.