Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Yaani nyie wajinga mnaojifanya maslayqueen wa kuchuna hela za watu mnawaacha. Yaani nyie chombo cha moto kinawahusu. Pumbavu kabisa.

Rudisha hizo mali ndio uolewe
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
 
Yote haya umeanza kuyaona baadaya kuhongwa gari na nyumba !?

Okay okay I understand now why huwaga mnauwawa ,
 
Mpendwa wangu kama huna kikwazo cha kuolewa mke wa pili olewa tu maana huyo bwana anaonekana anakujali, unaweza kwenda kutafuta wa peke yako naye akawa na mambo yake ya ajabu au akakuletea wenzio yakawa yaleyale
Kwani kikwazo ni nini???
 
Yeah uko sahihi mkuu. Huenda jamaa anatamani amuoe ila anashindwa kutokana na tabia zake.
Kwenye Uzi wangu,
Mchepuko wangu Ni kweli ananipenda, ila suala la kuoa nmesema mpk ajirekebishe tabia.

kwaSasa Ni najitoa kwake coz namtumia kutimiza haja zangu
 
Umasikini na hali ngumu za maisha sikuzote utatufanya wanawake tuendelee kuwa watumwa katika mapenzi ona sasa mtu ana familia yake still hataki wewe uwe na mwanaume mwingine wala kukuona na mwanaume mwingine!
haya imefika Wakati unahitaji kuwa na familia yako anakukatalia haaaaah! So sad
 
Arudishiwe utamu wake au???

Hajatuambia yeye katoa nini cha kurudishiwa
Ndio utamu, faraja, ukute kampikia, kampa kampan, ukizingatia pia jamaa hataki kusalitiwa hivyo na muda unahusika. Vipo vingi jamani tunavyooffer ila kwakuwa havionekani mnavichukulia poa sanaa sijui kwanini?
 
Tell me you are joking lady
 
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.

Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na isi
Pole,huo ni mshahara wa dhambi,zinaa haijawahi kumuacha mtu salama hata siku moja...
 
Kama upo serious Mrudishie nyumba yake, gari lake kisha hama hapo anapokulipia ukajilipie mwenyewe. Kazi alikupa connection tu hiyo hausiki ni jasho lako, watu husaidiwa kwenye kutafuta kazi.

Hilo nyumba na gari Usiseme hayo ni malipo ya kuutumia mwili wako maana na wewe uliutumia mwili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…