DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hii kitu tangu Jana haijanipa utulivu, but tuombe mungu asiwe Ni mama j.Mkuu naona mada imechoma penyewe!!! Hatari nanusu hii!!![emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
Ila Kama Ni yeye kaja kuanzishia Uzi huku, na Nia yake Ni Kama iyo ya mtoa mada
Nakuhakikishia,
Ntamshikisha adabu atasimulia vizazi vyake vyote[emoji4]