Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Mkuu naona mada imechoma penyewe!!! Hatari nanusu hii!!![emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
Hii kitu tangu Jana haijanipa utulivu, but tuombe mungu asiwe Ni mama j.

Ila Kama Ni yeye kaja kuanzishia Uzi huku, na Nia yake Ni Kama iyo ya mtoa mada

Nakuhakikishia,
Ntamshikisha adabu atasimulia vizazi vyake vyote[emoji4]
 
Mrudishie vitu vyake, na nusu ya gharama aliyotumia kukuhudimia miaka yote mitatu, wanawake acheni uzulumati....... Ndio maana mnakomolewa na hata kuuwawa
 
Fanya hivi hama Kimya kimya hapo a lipokupangishia nenda mbali Zaidi pasipo kàribu usiamishe vitu kwa pamoja mdogo mdogo shida ni hapo kaziniealipokutafutia yeye coz anapajua ugumu ñdio ulipo

Ukifanya mzaha mzaha yatakutokea mengine huyo mwamba kusacrifice juu ya wewe hata ulipo fika ni juhudi zake no more no less be very careful Sana Binti ishu ishakuwa seriously hii

Kama una foundation mzuri ya kimaisha Apply Job mahali pengine nje na hapo alikutafutia .Au re-sign Kazi

Hama mkoa mliopo kimya kimya .Kama unahitaji amani ya moyo na pumziko la maisha yako kwa kipind kilichobakia ukichukulia simple utapoteza everything mpaka uhai wako

Even rudisha vyote alivyokupa yeye

Ikishindikana kubali kuendelea kuwa chini yake hakuna namna

NAOMBA KUWASILISHA
 
ifike mahala wanawake nasisi tujikwamue TU kutoka kwa waume zawatu mwisho wa siku mwanaume atatubu na kubaki na familia yake tu amekufuuuuuuuuujjjaaa huku wewe umri ushasonga aargghhh!

Na wanaume nao vichomi tu baada apambane na mkewe anakimbilia wa vibinti mwisho ndio haya sasa!
 
Hii kitu tangu Jana haijanipa utulivu, but tuombe mungu asiwe Ni mama j.

Ila Kama Ni yeye kaja kuanzishia Uzi huku, na Nia yake Ni Kama iyo ya mtoa mada

Nakuhakikishia,
Ntamshikisha adabu atasimulia vizazi vyake vyote[emoji4]
Atakua sio yeye si unajua mama J hana gari, au ushamnunulia😅
 
Ndo Yale Yale ya mamaj wangu[emoji4]
 
Kwenye Uzi wangu,
Mchepuko wangu Ni kweli ananipenda, ila suala la kuoa nmesema mpk ajirekebishe tabia.

kwaSasa Ni najitoa kwake coz namtumia kutimiza haja zangu
Huo ni ubinafsi na ukatili na unyanyasaji pia ujue na umesema wazi ni waruwaru hawazi hata kuwekeza walau.. kama unampenda kwa nia nzuri mwambie awekeze!
 
Duuuu!!.....wanaushauri mkuje hukuuuu!!!
 
Tafuta kazi mahali pengine taratibu, siku ukipata mrudishie jamaa gari yake, kodi yake ya nyumba halafu hamia mahali pengine ukaanze upya, ila jua kwamba its not easy, huyo mwamba amekufanyia investment kubwa sidhani kama utachomoka kirahisi

Huwa wanasema malipo ni hapahapa duniani, kwa hiyo kuwa mpole tu ulipe jasho la mume wa mtu

Ungefikiria vyema tangu mwanzo kamwe usingejiingiza kwenye mahusiano na mume wa mtu hata kama una dhiki zako unheoambana ungetoka tu
 
Jiandae kulogwa
 
Mlie timing huyo jamaa mtata muondoe kwenye uso wa Dunia kwa kutumia pesa zake mwenyewe!
 
Atakua sio yeye si unajua mama J hana gari, au ushamnunulia[emoji28]
Hapana, sijamnunulia.
Ila Gari anayo tangu wikend ya wik ilopita anaitumia,
Nilipewa kilitime moja ya jamaa angu mmoja kasafiri anauguza nje kwenye matibabu alniachia niwe naiendesha endesha isikae idle.

Nikaona sio mbaya,
Nikamuachia mamaJ aitumie kwendea KAZIni kwake, sema sijamwambia Kama nmemnunulia yeye Wala sijamwambia nilikoitoa. Nmemuachia TU bila MAELEZO.


Kwenye Uzi wa mtoa mada,
Huwezi jua, huenda kaseka codes kuficha identify. Ila ngoja baadae leo leo ntafanya UCHUNGUZ.
 
Hebu kashike simu ya mama J uone kama anatumia JF😅😅😅, be warned usije ukadondoka presha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…