Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Sema amejitakia hayo maisha aisee, yaani utadhani uwanja wa vita ya Ukraine na Urusi, na bado hakuna anabaki kama mchepuko tu hakuna cheo cha kuwa mke
Kua Mke ni hatua kubwa Sana kwny mahusiano,

Sio kila mwanamke anadeserve nafasi muhimu Kama hiyo.

Ni hatua muhimu inayoamua future ya mwanaume husika kwa miaka kibao ijayo ya uhai wake.

Binafsi,
Siwezi kuoa kwa mihemko, Lazima nichunguze.

KOSEA NJIA UTAELEKEZWA, SIO UKOSEE KUOA AU KUOLEWA.
 
Arekebishe kipengele Cha tabia na utu Kwanza,

Anipende Mimi Kama Mimi na sio kwasababu namhudumia.

Kuoa mwanamke mwenye tabia mbovu mbovu na aliekupendea pesa Ni kujichi.bia kaburi mapema kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yeah kwa hapo kweli kabisa...!
 
Acha hizooo best acha na mwenzio akaenjoy bana. Pia inafikia wakati huwa tunataka kutulia na ndoa zetu so kiroho safiii TU mruhusu mwenzio awe na ndoa yake na familia yake
Sio kirahisi hivyo[emoji3525]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe yaani umewaza tu lazima huyu mrembo ana tako.....btw: ushauri wangu ni kwamba ukipanda mahindi hauwezi kuvuna bamia
 
yanii... Mungu atusaidie na ututetea tu wanawake tunapitia magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]!!!
kama Huyo shoo unazingua daahhhhh...angekua kwa mumewe walaaa angetombwa kwa afya tu sio vurugu kiasi hiko [emoji134][emoji134]!
Kama yeye alivo na uchu na huduma zangu, namimi nna uchu na uchi wake hivyo hivyo.

Acha tutumiane TU, ndo Maisha tulochagua[emoji4]
 
MREJESHEE VITU VYAKE VYOTE MWAMBIE TUACHANE


LAZIMA ATAKUBALI.. ILA UKISEMA UACHANE NAYE BILA KUMRUDISHIA MALI ZAKE HAWEZI KUKUELEWA.

KINACHOMFANYA AWE NANWIVU ULIOPITILIZA NA UWEKEZAJI ALIOUFANYA

KAMA NI MUISLAM OLEWA KUWA MKE WA PILI... KINYUME CHAKE UNAWEKA MAISHA YAKO HATARINI
 
Kuna mahali umesema ...anakubana bana
* kama mke jamani*
We unahisi sio mkewe..akufanyie yote hayo bureee.we ni mkewe mama poleee......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe yaani umewaza tu lazima huyu mrembo ana tako.....btw: ushauri wangu ni kwamba ukipanda mahindi hauwezi kuvuna bamia
Hahaha wewe bwana mbona kwenye dp yako mwenyewe umedisplay tako🤣🤣🤣🤣. Achana kabisa na 🍑🍑 ni muhimu kuliko degree kwa mwanamke karne hii
 
Anaanza tu...mimi flani natembea na mumeo kwa miaka mitatu, nimeona bora nitubu maana najisikia vibaya sana.
Mume wako ndo ananing'ang'ania nikitaka kumuacha ananitishia ataniua. [emoji1][emoji1] hivyo tu yaani
Wanaume wengine vichwa vyetu vibovu.
Hata ukienda kujisemea mwnyw kwa wife haiwezi kubadili CHOCHOTE.

Maana wife mwnyw anajua jins nilivo gaidi, atakupuuza maa anajua nikiamua Jambo langu hawezi nifanya chochote kile.

Cha muhimu atatulia na yeye alinde ndoa yake maana ata Iyo kuficha TU nmemheshimu ila sio kwamba namuogopa.
 
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Swali ni moja? Je unaweza kumrudishia Mali zake alizowekeza kwako?. Ukiweza kujibu,nitakushauri njia nzuri sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah kwa hapo kweli kabisa...!
Basi Apo kumbe tukopamoja[emoji106]
Mtoa mada apambane na Hali yake, keshalichuma janga tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…