Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Wanaume wengine vichwa vyetu vibovu.
Hata ukienda kujisemea mwnyw kwa wife haiwezi kubadili CHOCHOTE.

Maana wife mwnyw anajua jins nilivo gaidi, atakupuuza maa anajua nikiamua Jambo langu hawezi nifanya chochote kile.

Cha muhimu atatulia na yeye alinde ndoa yake maana ata Iyo kuficha TU nmemheshimu ila sio kwamba namuogopa.
Sio wote mpo hivyo
 
Hapo ukitaka kuchomoka kuna mawili, muue yeye tu hakuna njia nyingine vinginevyo itakula kwako mazima
 
Hapo kuachana nae kiroho safi ni wewe kurudisha mali zake zote. Wewe ukaanze maisha na mwanaume mwingine, lakini huwezi kuachana nae kama bado uko na mali zake.
 
Hahahahahah jamaa linaonekana lina wivu na ngenya linaweza likaua mtu
Yaan uyo jamaa Ni Bora TU akatafute wanawake wengine.

Uyo aking'ang'ania ajiandae kwa battle Kali sana Maana nnachojua jamaa hawezi kumuachia mungu.

Akili yake Lazima iseme kwamba uyo jamaa ndo kamshawishi mwanamke wake.
 
Mnaoshaur amwambir mkewe kuna wengine sisi magaid nachepuka na mke anajua na cha kufanya hana
Mm mchepuko alienda kumfata wife akamwambia akitegemea tutaachana wife akamjibu " kakae utulie najua unatembea na mme wangu na akijua umenambia wewe atakupiga akuue [emoji23] katulie kabisa binti sitak matatizo"
Huyu dem baada ya kumuoa mke wa pili ndo akanambia
Kwa kweli kuna akina sisi madishi yalishagayumba,mke wangu ukishampelekea umbea kwamba natembea na wewe atakufanyia timbwili la dunia halafu mimi wala hawezi kuniuliza chochote.
Maana kwa asili ya kabila letu wake 2,3,5 ni swala la kawaida tu wala halihitaji mijadala ya NGO.
Sema kinachotupa jeuri na mamlaka tunawajibika sana yaani mwanamke atakachoniomba angalau tena kwa upole na lugha tamu ni muda wangu tu maana kama ni mahitaji yote kuna michirizi mingi tu ya kuyaleta kabla hajayaomba.

Sasa ujichanganye kumpelekea umbea kwamba natembea sijui na nani unapoteza muda tu.
 
Duh,una ubinafsi sana mwanaume aliyekufanyia kila kitu mpaka na familia yako kuingia na kutoka kwako ni jambo la kuhoji?
Aisee
Akili Hana uyu[emoji4]
Unajichosha TU kumshauri[emoji3525]
 
Kama kweli upo serious na umedhamilia kwa dhati fanya haya
1. mrudishie vitu vya (Gari,Nyumba, lipa kodi ya pango) fanya mambo yako
2. Kama mali zinakuuma kuziachia uza zite kisirisiri ondoka nenda ishi mafichoni mikoa ya mbali au hama nchi kwa mda jipe Miaka hata 5-10 hivi
Au
3. Kubali na mwambie kama anakupenda akuoe uwe mke wa pili na utakuwa huru usijifichefiche
 
Una uhakika gani wa huyo kijana uliyempata yeye atakua hana wivu au kukubana?

Hizo kasoro za huyo mume wa mtu umekuja kuziona baada ya kujengewa Nyumba na kununuliwa Gari?

Huyo mume wa mtu hatanii na hiyo silaha aliyonayo itakuhusu,

Ulipoanza uhusiano na mume wa mtu hukutuuliza sisi humu,So pambana na hali yako.
 
Kama kweli upo serious na umedhamilia kwa dhati fanya haya
1. mrudishie vitu vya (Gari,Nyumba, lipa kodi ya pango) fanya mambo yako
2. Kama mali zinakuuma kuziachia uza zite kisirisiri ondoka nenda ishi mafichoni mikoa ya mbali au hama nchi kwa mda jipe Miaka hata 5-10 hivi
Au
3. Kubali na mwambie kama anakupenda akuoe uwe mke wa pili na utakuwa huru usijifichefiche
Huyu ajiandae kuuliwa....hela ilivy9 ngumu jamaa kawekeza kampa raha weee. Ss hv anamu8na hafai.......ajijengee tu kaburi yeye na huyo jamaa yake[emoji28]
 
Nahuyo mpya aambiwe ukweli tu kWani ukweli humuweka Mtu huru ili asije kutoliona gari nyumba akaanza kuuliza ajue kabisa na ndipo atajua kama kampenda yeye kam yeye au mali zake hizo

Alafu ukute bwana wake, na boy friend wake mpya wako humu dahh,, kuna wa2 majasiri aise 😁😁
 
Fanya hivi:
1. Iba namba ya mkewe kwenye simu yake.
2. Tumia namba ngeni ujifanya msamaria umpe mkewe ubuyu kuwa mumeo anatembea na fulani na anampa mihela kibao ikiwezekana mtumie na namba yako ya simu ambayo sio main. Atakupigia na vagi litaanzia hapo.
3. NB uwe tayari kurudisha nyumba au gari maana atakunyanyasa navyo ila usimpe vyote maana naye kakulegeza misuli hawezi kukulipa.
4. Ushike msimamo kuwa hutaki tena mkewe keshajua nuachane. Huyo nwanamke gakikisha unamwambia ni kweli ila aliniambia mmetengana ila samahani sana mana nisamehe sirudii.
 
Mie mapenzi nishauri?

Hapana
Unaongea na mtu kesho unawakuta wote wanakung’ong’a

Mimi akhuu aje nimshauri mambo ya hela
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwahiyo unamuacha mdogo wako aamue kama alivyoamua mwanzo???

Hahaahahahahahh
 
Kuna mawili kwa huyo uliyempata upya kwanza hakikisha Kama kweli anakupenda. Pili mtesti kwa kumdanganya kuwa Kuna mtu mlikua nae na ni mjeda mwenye cheo Kama cha urio na ndiye alikutaftia kazi akakujengea nyumba akanunua na gari na hiyo nyumba unayoishi kwa sasa yeye ndo alilipa kodi mwaka mzima hivyo unataka umrudishie vitu vyake ili muoane. Hapo sasa ndo utajua yupo serious ama vipi. Akikuambia mrudishie rudisha fasta. akianza blabla za Hakuna atachokufanya endelea kuvumilia hapo bado hujapata mume.

Kwa huyu jamaa yeye kukuacha ni kazi rahisi Kama amekuweka Kama mchepuko wake we mwambie umechoka kuwa mchepuko akutambulishe kwa mkewe na ndugu zake na akuoe mke wa pili (Kama hali inaruhusu) mwambie Kama hataki kukutambulisha utajitambulisha mwenyewe. Na Kama hataki kukuoa basi akupe nafasi utafte anaeweza kukuoa na mdanganye kuwa hata ukiolewa bado mtaendelea kubinuana bila shida. Hapo atakuacha tu.

Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom