Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Unavyoongea tu unaonyesha hata wewe hauko tayari kuachana naye..... Unategea akuache yeye ili usijute badae kwa kumuacha yatakapokushinda huko ulikoangukia.... Kingine umelewa penzi jipya lakijana na unaona sasa huyo dingii hakufai.... Hebu tulia bwana usitafute matatizo hatupendi kusikia vifo na kuumizana kisa mapenzi.... Anakuchukulia kama mke wake ko mwambie tu akuhararishe uwe mke wake halali maana mwanaume anaweza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja.
 
Huogopi kuachana naye bali unaogopa kupokonywa alivyokununulia.
Unaogopa kupoteza gari,nyumba pengine hata kazi(jamaa anaonekana ana mawe na connection kibao)
Na kukunyang'anya hivyo vyote ni kugusa tu.
Fanya kitu kimoja kama upo tayari kuwa huru basi kubali kuanza upya,mrudishie vitu vyake,muombe ubaki na kazi yako(faida ya kuwa na mahusiano naye)
Kisha muanze kutafuta na huyo mshikaji wako mpya.
 
Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]
 
Kweli kabisa, kwani unadhani kwa nini ameng'ang'ana hivyo? Anavyo anavofaidika navyo tena ni vikubwa kuliko hizo rasilimali anazotoa. Ndiyo maana ameshamuweka daraja ya mke wa pili na ana wivu sana naye.
Kabisa, huwezi kuwekeza na kumng'ang'ania mtu asie na faida kwako.
 
Ila sometimes wanawake huwa mnajisahau sana una kazi nzuri,jamaa analipa kodi na mahitaji mengine nyumba aliyokujengea umepangisha na unapokea kodi.

Sasa kwa nini hujawekeza na wewe japo nyumba yako ambayo jamaa haijui,maana pesa yako haina majukumu ulipaswa kuielekeza kwenye vitu vyako vya maendeleo ambavyo vitakuja kukusaidia siku jamaa ikitokea amebeba vya kwake.
 
Pumbavu sana nyie. Mnaendelea kufundishana ujinga.
 
Kama Imani yake inaruhusu akuoe mke wa pili. Kama hutaki basi Rudisha Mali zake. Hiyo nyumba na gari usipoangalia vitakutoa uhai. Mwanaume hawezi kukugharikia hivyo halafu umletee ushenzi. Vinginevyo mzalie watoto wako wawili au watatu. Kwako alishakujengea na Nina Imani atafanya zaidi. Kama anakupenda na wewe unampenda usitegemee cha ajabu kwa mwanaume mwingine.
 
Naona Ibilisi Anataka Kukutumia vibaya.Haya bhana kila la heri.
 
Na uyo buda wake nae ajiandae kulipia gharama za kisasi Cha jamaa.

Hakuna chochote atakachojieleza akaeleweka kwa kukwapua kikojoleo Cha mtu[emoji3525]
Hahahahahah jamaa linaonekana lina wivu na ngenya linaweza likaua mtu
 
Jifanye motivational speaker uKamdanganye Sasa mwenZio [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…