FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Rudisha mali za Watu kwanza. Ili akili zikukae vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisha mali za Watu . Ila Tegemea Kuuawa pia umemchezea JamaaWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Nilijua nimada flani ya kiboya niliipitia jana nikasepaKwamba?
Kabisa, huwezi kuwekeza na kumng'ang'ania mtu asie na faida kwako.Kweli kabisa, kwani unadhani kwa nini ameng'ang'ana hivyo? Anavyo anavofaidika navyo tena ni vikubwa kuliko hizo rasilimali anazotoa. Ndiyo maana ameshamuweka daraja ya mke wa pili na ana wivu sana naye.
Sasa si ndio umpe mtoa mada ushauri ili aondokane na uboya!Nilijua nimada flani ya kiboya niliipitia jana nikasepa
Hapo ni kukabidhi kila kisicho chake tu ili akaanze moja na budaSasa si ndio umpe mtoa mada ushauri ili aondokane na uboya!
Mkuu sio ishu ya uislamu hapa ni mapenzi ya mtu. Binafsi na mpango wa kuoa wanawake angalau kumi na sifungamani na dini ya kuja na Meli. Yaani sifuati wanavyotaka Bali mie navyotakaMUISLAM
Itabidi ajitolee tu kama alivyoandika Chalii fulani.Hapo kwa kuelewana pia ni pagumu maana jamaa hawezi kukubali kirahisi, binti akubali tu kuwa mtumwa wa ngono wa huyo mume wa mtu
Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]
Na uyo buda wake nae ajiandae kulipia gharama za kisasi Cha jamaa.Hapo ni kukabidhi kila kisicho chake tu ili akaanze moja na buda
Naona Ibilisi Anataka Kukutumia vibaya.Haya bhana kila la heri.Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]
Hahahahahah jamaa linaonekana lina wivu na ngenya linaweza likaua mtuNa uyo buda wake nae ajiandae kulipia gharama za kisasi Cha jamaa.
Hakuna chochote atakachojieleza akaeleweka kwa kukwapua kikojoleo Cha mtu[emoji3525]
Jifanye motivational speaker uKamdanganye Sasa mwenZio [emoji2]Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]