Kubali tu, hili kidogo lina wasumbua! Hampendani!
Sio wote mpo hivyoWanaume wengine vichwa vyetu vibovu.
Hata ukienda kujisemea mwnyw kwa wife haiwezi kubadili CHOCHOTE.
Maana wife mwnyw anajua jins nilivo gaidi, atakupuuza maa anajua nikiamua Jambo langu hawezi nifanya chochote kile.
Cha muhimu atatulia na yeye alinde ndoa yake maana ata Iyo kuficha TU nmemheshimu ila sio kwamba namuogopa.
Zimefika!
Sijaona ushauri wako kwa mwanamke mwenzio hapa
Yaan uyo jamaa Ni Bora TU akatafute wanawake wengine.Hahahahahah jamaa linaonekana lina wivu na ngenya linaweza likaua mtu
Duh,una ubinafsi sana mwanaume aliyekufanyia kila kitu mpaka na familia yako kuingia na kutoka kwako ni jambo la kuhoji?Ndo siyataki mambo kama hayo.
Kwa kweli kuna akina sisi madishi yalishagayumba,mke wangu ukishampelekea umbea kwamba natembea na wewe atakufanyia timbwili la dunia halafu mimi wala hawezi kuniuliza chochote.Mnaoshaur amwambir mkewe kuna wengine sisi magaid nachepuka na mke anajua na cha kufanya hana
Mm mchepuko alienda kumfata wife akamwambia akitegemea tutaachana wife akamjibu " kakae utulie najua unatembea na mme wangu na akijua umenambia wewe atakupiga akuue [emoji23] katulie kabisa binti sitak matatizo"
Huyu dem baada ya kumuoa mke wa pili ndo akanambia
Akili Hana uyu[emoji4]Duh,una ubinafsi sana mwanaume aliyekufanyia kila kitu mpaka na familia yako kuingia na kutoka kwako ni jambo la kuhoji?
Aisee
Huyu ajiandae kuuliwa....hela ilivy9 ngumu jamaa kawekeza kampa raha weee. Ss hv anamu8na hafai.......ajijengee tu kaburi yeye na huyo jamaa yake[emoji28]Kama kweli upo serious na umedhamilia kwa dhati fanya haya
1. mrudishie vitu vya (Gari,Nyumba, lipa kodi ya pango) fanya mambo yako
2. Kama mali zinakuuma kuziachia uza zite kisirisiri ondoka nenda ishi mafichoni mikoa ya mbali au hama nchi kwa mda jipe Miaka hata 5-10 hivi
Au
3. Kubali na mwambie kama anakupenda akuoe uwe mke wa pili na utakuwa huru usijifichefiche
Usimshauri mwenzako kufanya tendo la kuua, dhambi itakurudia mwenyewe.Hapo ukitaka kuchomoka kuna mawili, muue yeye tu hakuna njia nyingine vinginevyo itakula kwako mazima
Nahuyo mpya aambiwe ukweli tu kWani ukweli humuweka Mtu huru ili asije kutoliona gari nyumba akaanza kuuliza ajue kabisa na ndipo atajua kama kampenda yeye kam yeye au mali zake hizo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mie mapenzi nishauri?
Hapana
Unaongea na mtu kesho unawakuta wote wanakung’ong’a
Mimi akhuu aje nimshauri mambo ya hela