Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huyu kuku wa kizungu anafanya mpaka sahivi napitia pitia page za MillardAyo
๐Ÿ˜‚
Maana anadhani mwana kiazi
 
Tatizo linaanzia hapa!!
 
Watu wanaweza kupuuza ila mkuu umeongea kilicho kwako
Pole sana me nadhan muulize tu hatima ya mahusiano yenu ni nini?
Kisha mwambie kama wew pia unahitaji kuanzisha familiy
Ila uwe radhi kuachia vitu vyake akihitaji
 
Nahisi unanishawishi[emoji4] akili yangu kuwa wewe ni mwanamke bora sana
 
Hivi wanawake kwanini mnakosa bahati kama ya kunipata musuguaji mimi? luckyline mlete huyo dada ata enjoy life [emoji4]
 
Hujitambui Sijui Unaandika Nini
Zaidi Unajikanyaga Soma Nilichoandika Kidogo Kinajitosheleza
Umeandika Bonge La Maandishi Hakuna Point
 
Mkuu@DeepPond hapo unamuonea dada wa watu kurudisha sawa lakini sio na gharama zingine. Kwani yeye alivyo kua anapanda pale juu gharama yake vipi?
 
njaaa mbaya sana narudia tena njaa ikizidi hushinda akiliโ€ฆungekuwa na maisha yako kabla naamini usingekuwa ktk wakati huu mgumu kiasi hiki
 
Huyo bwana harusi akikutwa ndani ya gari alonunua yule bwana itakuwaje mbona unamtakia mtu kifo?
Anamnyanyasa sababu anajua hana backup yoyote...

Akiwa na mume jamaa atamuheshimu huyo mwanamke...
 
Mkuu zile zilikuwa zamani za ujinga [emoji4]
 
Hakika
 

Asikwambie mtu,Uhuru ni kitu mhimu sana.Fanya hivi,amua kumrudia Mungu wako kwa kumaanisha.Mfahamishe huyo ndugu juu ya uamuzi wako.Pia utamueleza ukweli kwamba ili kukamilisha hiyo toba yako utatakiwa kurejesha vitu vyote ulivyovipata kwa njia isiyo halali.pia mueleze kwamba utafanya hivyo.na kama atagoma kuvipokea vitu vyake utatakiwa kuvigawa kisheria kwa wahitaji usiowafahamu. so fanya hiv.

1.Acha kazi aliyokuunganisha
2 Rudisha Nyumba hiyo aliyokujengea
3.Hama hapo unapolipiwa kodi
4.Mkabidhi gari na kadi yake.

Ukikosea hapo,utapoteza maisha yako chap.pia na ya huyo mume mtarajiwa

Kumbuka,huwezi imba wimbo mpya ukiwa utumwani.

Hiyo ndiyo gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ