Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sasa tunaibiwa nini tena wakati tunagegeda mwa starehe yetu na wanawake walishasema mbususu haiuzwi wala sio bureHivi wanaume wanajifunza nini kupitia huu uzi ?
Ndio mjue Umalaya ni ubatili mtupu [emoji108][emoji108]
Mnaibiwa bure tu [emoji57][emoji57]
Aisee...hindsight is 20/20Lakini kwa hayo waliyofanya yalionekana ni machukizo mbele za Mungu maana tumeagizwa kuwa mume wa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe. Mtumishi wa Mungu akitenda dhambi haihalalishi hiyo dhambi bali linapaswa kuwa funzo kwetu kuwa unapozidi kuwa karibu na Mungu ndivyo shetani anavyokuandama zaidi. Hivyo tunapaswa kuendelea kuzitetea imani zetu na tukianguka tutubu na kusimama tena.
Sasa tunaibiwa nini tena wakati tunagegeda mwa starehe yetu na wanawake walishasema mbususu haiuzwi wala sio bure
Big boy😀😀Big boy hawezi kubali kirahisi rahisi hivyo kwa solution ya kumrudishia vitu vyake, maana jamaa kashawekeza kwa dada hapo kwahiyo kashatune mind ni wake..
Hata wakiachana atamfanyia visasi tu, kinachowatesa watu ni attachment
Kwako au kwake? Si Analipa kodi yeye ni kwake hapo!Kuja haina tatizo ila basi atoe taarifa. Kuna wakati unastukia tu saa sita ya usiku katoka safari badala aende kwa mkewe anakuja kwangu!
Jamaa hajaibiwa mali bwana yeye kawekeza hapo ili awe anakula mbususu. Sasa mbususu nayo inataka kuondoka wakati imeshalipiwa huo sasa ndio utapeliSasa Mbona mnamwambia arudishe mali za jamaa alizomwibia kitapeli ?
Aliyeleta uzi mbona yuko kimya au kashapigwa risasi ya ubongo[emoji2]
Rudisha mali zake ndio uendelee na huyo unaempendaHabari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Huyu mtu tangu nafahamiana nae ameyabadilisha sana maisha yangu maana ana mchango mkubwa sana. Alinisaidia kupata kazi nzuri na kuachana na kakazi kangu nilikokuwa nafanya, alinihamisha na kunipangishia sehemu nzuri zaidi. Baadae alininunulia gari nami nikawa natembea nimekaa, pia amenijengea nyumba iliyo kwa jina langu ila kwakuwa ipo nje ya mji nimeipangisha nakula kodi ila bado analipia kodi hapa ninapoishi.
Mahusiano yalipoanza sikufikiria hata yangechukua miezi 6, ila sasa ni miaka mitatu+. Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo. Sasa huwa najiuliza huyu ni mume wa mtu, anatarajia kweli niwe na yeye tu ili iweje?
Sasa nimechoka jamani, natamani niwe na mpenzi wangu na sio mume wa mtu. Kuna huyu kijana nimeanza nae mahusiano sasa ni miezi 5, kusema kweli nampenda na ninaona kabisa nae ananipenda. Haya ndio aina ya mahusiano niyatakayo. Nimekuwa nikitafuta visingizio kuwa asije kwangu maana sio maadili ila ukweli ni kuwa naogopa mlipa kodi akijua atanitoa roho.
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana. Natamani yeye ndio aanze ili asije kuwa na kinyongo. Ila kuna wakati najipa moyo kuwa nimwambie tu tuachane lakini nikikumbuka aliwahi kunikunja nusura anipige alipokuta msg asizozielewa kwenye simu nahisi kutetemeka. Aliwahi kunionyesha silaha anayomiliki, nilipomuuliza ni ya nini akasema hata mimi nikimletea ujinga ananifyatua. Japo ulikuwa utani ila niliogopa kusema kweli.
Balaa zaidi recently ameanza kung’ang’ania nimzalie. Nimekuwa nikijifanya mimba hazishiki ila kusema kweli natumia dawa zisishike maana siko tayari kuzaa nae. Kwanza nahisi kama suffocation maana ananibana sana. Kwangu anakuja tu muda wowote akijisikia, na ole wangu asinikute nyumbani ni tatizo kubwa. Kila ninachofanya anahitaji apate taarifa kwanza, yaani kama mkewe vile jamani.
Nimejaribu kuelezea haya ili angalau muelewe ni kwanini nahitaji msaada wa mawazo yenu ili nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia. Nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu.
"Tako na Mbususu [emoji1787]" ntakutafuta unifungulie haya mabano maana isijekuwa nimetumia kanuni tofautiAya sasa wacha tukushauri.
Ushauri wangu hapa ni kwamba uhai ni muhimu. Ili uokoe uhai wako rudisha gari rudisha nyumba sema hivyo vyote sivitaki.
Kama unaona unataka chill with the big boys wee endelea tuu kumpa jamaa mbususu basi ule life ila sasa usije ukasaba isha kifo cha huyo kijana mwengine. So achana nae kabisaa na umwambie why. Wewe uishie kuwa na huyo mume wa mtu basi cha muhimu sii anakupa huduma bwana...security that money provides.
Out of topic. Inaelekea mrembo una tako na mbususu tamu mpaka jamaa anajenga nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ntakupa ushauri ambao ni very risky lakini Una chances kubwa za kukusaidia kuondokana na hili.
Mwambie Una mazungumzo naye ya muhimu so mpange date, kakaeni kwenye sehemu ambayo ina watu wengine msiongelee chumbani.
Nikuulize tu je humpendi huyo jamaa, hisia zimekata kabisa?Hahahaaa! Not yet nafikiria cha kufanya but its like jamaa nae ashashtuka kuwa am not okay.
Point.Huwezi kuchukua vitu vyote hivyo alafu mtu akuache tu lazima akuue tuThread Tele Humu Watu Wanakufa Kisa Mapenzi Nawe Umeanza
Rudisha
Gari Alilokununulia
Nyumba Aliyokujengea
Kodi Anayolipa
Halafu Huyo Unayempenda Mkaanze Upya
Hapo Umenasa Mwenyewe, Huna Namna
Mimi Nilimwambia Toka mwanzo...!! Atafanyiwa kitu ambacho Hakitaacha alama wapi yupo na wapi alienda... Wadada wanadhani kila mtu wakumchezea na kumuona boyaaa.Point.Huwezi kuchukua vitu vyote hivyo alafu mtu akuache tu lazima akuue tu
Hakuna Upendo wa kumnunulia gari na nyumba mwanamke alafu kesho akikuacha Ukubali tu ulifanya kwa upendo...!! Na hakuna watu wenye visasi vibaya kama wale ambao upendo ulitangulia kwanza yani Vita yake huwa ni kubwa sana. Usimdanganye mwenzioNikuulize tu je humpendi huyo jamaa, hisia zimekata kabisa?
Twende kwa haki kabisa sababu zako kutotaka kuendelea nae.