Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hahaahhaahahah. Kumbe unacheki???Ngoja kidogo game ya Barcelona iishe manake nimempa ushindi ila kashapigwa kimoja
Akili yangu haina akili kwa sasa π
Rudisha vitu vyote anza peke akoWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Nyumba,gari virejeshe kwa mwenyewe na umwambie asitishe kulipa hiyo kodi ili muachane bila kinyongo.Na muanze upya na huyo kijana wako ulompata.Eti najikwamuaje hapa! Kama ni mimi hata hiyo kazi niliyo kutafutia unaikosa yani ni jino kwa jinoWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Yaani hapa suala la kuwa na kinyongo kwa kweli lazima ata ingekuwa wewe mtu ame invest time emotions na money and u exect asiwe na kinyongo.Kuna wakati huwa nafikiria kumrudishia gari na hati ya nyumba na viwanja alivyoninunulia kisha nimwambie tuachane. Ila nahofu atavipokea bila kinyongo?
BTW Sina hata huo uzuri na hilo tako unalofikiria ninalo. Ni wa kawaida sana.
Mkuu naona unajitengenezea nafasi za PM [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usiogope, there is always a way out.
Hongera kwa kujua ufanyacho si sahihi kwako na kwa mwenzio, hatua uliyofikia ni nzuri sana ya kutambua kosa na kudhamiria kuacha kabisa, tuliza mawazo kama utaweza mrejeshee kiumbe vitu vyake maana wanaume wengi huwa wanaumia zaidi kwa sababu ya uwekezaji wa materials waliyowekeza kwako wala si hata hisia/ mapenzi.Mwombe sana Mungu akusaidie katika hili.Nimekupenda!
Wanawake mko na roho mbaya sana, asilimia kubwa ya comments mpaka sasa zinatoka kwa wakina dada, lakini vile wanvyomkandia mleta mada badala ya kumsaidia wana msuta.
Ohoo sawa sawa [emoji109]mimi ni dada mwenzie
Wewe utakufa mapema Sana sio utani ila huu n ukwel kifo unakitafuta wewe mwenyewe na jamaa hata Mungu hatompa lawama kabisaWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
USHAURI:
rudisha vitu ulivyopewa mueleze kwanini unataka kuachana nae
kua muwazi akigoma kimbilia polisi eleza namna mlivyokua na wewe unavyotaka
Kama uko smart nakupa ushauri wa kijinga hapa chini
1.huyo jamaa ako kama ni marioo mueleze hali ilivyo akikubali wote mlelewe na mhuni endelea(huu ni ushauri wa kijinga ila lazima uwe smart) muda huo ukingoja kudra za jah kuonq kama mtaja oana na mtu wako je uko tayari?
2.Olewa nae huyo huyo mme wa mtu kama ulipenda mali zake mpende na yeye na itasaidia kuepusha kesi za vifo kua nyingi
3.hutaki kuzaa nae? zaa na unaempenda ila akijua umekwisha
4.lazima uwe smart kwenye kutatua hili!
ukifuata ushauri wa kijinga inatakiwa uwe smart kinyama
mwisho ukiona namna gani achana na wote njoo nikuoe mimi
Write your reply...
Au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]You haven't messed a thing up lady.
Relaaaaax.
Hii ni taaluma ya mtu na watu wanalipia consultancy fee, SaaS tutatoaje tu ushauri bure bure jamani??
Jiongeze bhana PM za wana ziko wazi