Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Ngoja kidogo game ya Barcelona iishe manake nimempa ushindi ila kashapigwa kimoja

Akili yangu haina akili kwa sasa 😂
Hahaahhaahahah. Kumbe unacheki???

Mimi ndio nimewasha hapa.

20220217_215849.jpg

Unachomoa kwa penalti
 
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Nyumba,gari virejeshe kwa mwenyewe na umwambie asitishe kulipa hiyo kodi ili muachane bila kinyongo.Na muanze upya na huyo kijana wako ulompata.Eti najikwamuaje hapa! Kama ni mimi hata hiyo kazi niliyo kutafutia unaikosa yani ni jino kwa jino
 
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.

Hakuna ushauri
zaidi ya kumrudishia kilichokuwa chake Hutaki kumrudishia basi baki kuwa mtumwa wake mpk yeye atakavyokuchoka

Cha mtu mviiiiiiiiiii
 
Usiogope, there is always a way out.
Hongera kwa kujua ufanyacho si sahihi kwako na kwa mwenzio, hatua uliyofikia ni nzuri sana ya kutambua kosa na kudhamiria kuacha kabisa, tuliza mawazo kama utaweza mrejeshee kiumbe vitu vyake maana wanaume wengi huwa wanaumia zaidi kwa sababu ya uwekezaji wa materials waliyowekeza kwako wala si hata hisia/ mapenzi.Mwombe sana Mungu akusaidie katika hili.Nimekupenda!
 
USHAURI:
rudisha vitu ulivyopewa mueleze kwanini unataka kuachana nae
kua muwazi akigoma kimbilia polisi eleza namna mlivyokua na wewe unavyotaka

Kama uko smart nakupa ushauri wa kijinga hapa chini
1.huyo jamaa ako kama ni marioo mueleze hali ilivyo akikubali wote mlelewe na mhuni endelea(huu ni ushauri wa kijinga ila lazima uwe smart) muda huo ukingoja kudra za jah kuonq kama mtaja oana na mtu wako je uko tayari?
2.Olewa nae huyo huyo mme wa mtu kama ulipenda mali zake mpende na yeye na itasaidia kuepusha kesi za vifo kua nyingi
3.hutaki kuzaa nae? zaa na unaempenda ila akijua umekwisha
4.lazima uwe smart kwenye kutatua hili!
ukifuata ushauri wa kijinga inatakiwa uwe smart kinyama

mwisho ukiona namna gani achana na wote njoo nikuoe mimi
Write your reply...
 
Kuna wakati huwa nafikiria kumrudishia gari na hati ya nyumba na viwanja alivyoninunulia kisha nimwambie tuachane. Ila nahofu atavipokea bila kinyongo?

BTW Sina hata huo uzuri na hilo tako unalofikiria ninalo. Ni wa kawaida sana.
Yaani hapa suala la kuwa na kinyongo kwa kweli lazima ata ingekuwa wewe mtu ame invest time emotions na money and u exect asiwe na kinyongo.
Solution nyingine tafuta kazi nje ya nchi ama nenda kasome nje ya nchi huku ukimwachia hizo mali zote
 
Usalama wako na uhuru wako utarejea ...baada ya kurudisha gari, nyumba ...na kuhama hapo anapokulipia kodi na hata ikiwezekana kuacha hiyo kazi aliyokutafutia
Hii atleast itampa ahueni jamaa .....hawez kubali akuruhusu uolewe na boya mwingine huku ukiwa una mali zake.....hilo halipo.....

Tamaa zinawapofushaga kwa muda mkija kuzoea yale maisha ya status ...ndipo akili zinawarud na kujikuta eti mliteleza sasa mnataka mrudi njia sahihi na kutafuta mtu sahihi .hapo tayar mshakula vya watu ...km kweli unania ya kuanza upya ....rudisha kila kitu .....

No short cut ,kama huwezi bhac kubali kuwa mtumwa for rest of his life
 
Usiogope, there is always a way out.
Hongera kwa kujua ufanyacho si sahihi kwako na kwa mwenzio, hatua uliyofikia ni nzuri sana ya kutambua kosa na kudhamiria kuacha kabisa, tuliza mawazo kama utaweza mrejeshee kiumbe vitu vyake maana wanaume wengi huwa wanaumia zaidi kwa sababu ya uwekezaji wa materials waliyowekeza kwako wala si hata hisia/ mapenzi.Mwombe sana Mungu akusaidie katika hili.Nimekupenda!
Mkuu naona unajitengenezea nafasi za PM [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanawake mko na roho mbaya sana, asilimia kubwa ya comments mpaka sasa zinatoka kwa wakina dada, lakini vile wanvyomkandia mleta mada badala ya kumsaidia wana msuta.

Hatumsuti jmn tunamwambia ukweli

Arudishe mali za jamaa au abaki kuwa mchepuko sijui kama ungekuwa wewe ndo huyo mwanaume ungemruhusu mwanaume mwingine atumie mali zako aendeshe gari yako ulioinunua

Labda kama huyo dada alichangia ila kwa maelezo yake ni kafanyiwa kila kitu na mwanaume
 
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Wewe utakufa mapema Sana sio utani ila huu n ukwel kifo unakitafuta wewe mwenyewe na jamaa hata Mungu hatompa lawama kabisa

,,,,,Jitafakari Sana ,,,

Wanawake sio watu kabisa jaman

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
USHAURI:
rudisha vitu ulivyopewa mueleze kwanini unataka kuachana nae
kua muwazi akigoma kimbilia polisi eleza namna mlivyokua na wewe unavyotaka

Kama uko smart nakupa ushauri wa kijinga hapa chini
1.huyo jamaa ako kama ni marioo mueleze hali ilivyo akikubali wote mlelewe na mhuni endelea(huu ni ushauri wa kijinga ila lazima uwe smart) muda huo ukingoja kudra za jah kuonq kama mtaja oana na mtu wako je uko tayari?
2.Olewa nae huyo huyo mme wa mtu kama ulipenda mali zake mpende na yeye na itasaidia kuepusha kesi za vifo kua nyingi
3.hutaki kuzaa nae? zaa na unaempenda ila akijua umekwisha
4.lazima uwe smart kwenye kutatua hili!
ukifuata ushauri wa kijinga inatakiwa uwe smart kinyama

mwisho ukiona namna gani achana na wote njoo nikuoe mimi
Write your reply...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afutaee huo mstari wa mwisho
 
Back
Top Bottom