Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

Kongole mkuu.

Ukisha tambulika kuwa umehudhuria kikao, una wasiwasi gani tena....hizo agenda, mada, hoja, maswali&majibu, mitazamo, maoni, mapendekezo ni taarabu tu,,,PIGA USINGIZI KWA KWENDA MBELE MPAKA WAKUAMSHE WENYEWE
 
ila binadamu aisee sijui tuoewe nini,kuna kipindi nilikua silali hata siku mbili nimekodoa tu,hadi natamani kulia,nikawa nakunywa pombe angalau nisinzie wapi nakuta asubuhi hii hapa kodo jicho natakiwa niende mzigoni basi hizo hasira naingia nazo huko ni kufoka tu hata mtu akikusalimia.
mungu saisia ile hali imeondoka sasa nalala vizuri tu ingawa kwa vipindi japo masaa ma3 ma3 mpk kunakucha.
 
Cmple.....u visit where u dont belong..
 
Uko wapi nikuje nikubebe nikupeleke kwenye maombi??
Hapa lazima pepo litakuzuia kuniambia ulipo
 
Ninachofikiili mimi ni kuwa haupo interested na kinachozungumzwa kwenye vikao au mahubili
 
Sio shida ni njia ya jutafakari hoja zinazotolewa subconsciously 😂
 
Fanya mazoezi.

Inaonekana mishipa yako ya damu imejawa na Mafuta kiasi kwamba damu haipiti vizuri Hali iñayopelekea upate usingizi ukiwa umekaa.

Mazoezi yatayeyusha hayo Mafuta,
 
Vipi uzito wa mwili, umeongezeka?
 
Fanya mazoezi.

Inaonekana mishipa yako ya damu imejawa na Mafuta kiasi kwamba damu haipiti vizuri Hali iñayopelekea upate usingizi ukiwa umekaa.

Mazoezi yatayeyusha hayo Mafuta,
Mimi sio mnene, ni wa wastani
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…