Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachofikiili mimi ni kuwa haupo interested na kinachozungumzwa kwenye vikao au mahubiliHabari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne Sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.
Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.
Je tatizo langu ni nini?
Sio shida ni njia ya jutafakari hoja zinazotolewa subconsciously 😂Habari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne Sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.
Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.
Je tatizo langu ni nini?
Inaweza ikawa hoja ya msingiPunguza sukari kwenye chai!!
Vipi uzito wa mwili, umeongezeka?Habari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne Sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.
Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.
Je tatizo langu ni nini?
Maelezo yakoKwanini umeshtuka?
Jaribu Bar kwenye viti virefu pale counter huku totoz zikikatisha karibu, ukilala hapo umerogwa!!
Umetisha Mkuu
Mimi sio mnene, ni wa wastaniFanya mazoezi.
Inaonekana mishipa yako ya damu imejawa na Mafuta kiasi kwamba damu haipiti vizuri Hali iñayopelekea upate usingizi ukiwa umekaa.
Mazoezi yatayeyusha hayo Mafuta,
Nitajitahidi kwa kadri ya uwezo na ratiba yanguJaribu kufanya mazoezi kwa sana....
Uzito uongzeka na kushuka, huwa nafunga na kufanya mazoezi mepesi ili kupunguza uzitoVipi uzito wa mwili, umeongezeka?
Pole sanaila binadamu aisee sijui tuoewe nini,kuna kipindi nilikua silali hata siku mbili nimekodoa tu,hadi natamani kulia,nikawa nakunywa pombe angalau nisinzie wapi nakuta asubuhi hii hapa kodo jicho natakiwa niende mzigoni basi hizo hasira naingia nazo huko ni kufoka tu hata mtu akikusalimia.
mungu saisia ile hali imeondoka sasa nalala vizuri tu ingawa kwa vipindi japo masaa ma3 ma3 mpk kunakucha.
Tafadhali fafanua japo kidogoCmple.....u visit where u dont belong..
Nipo nayo Sana, Cha ajabu najikuta nimelala. Watu hunichukulia nina dharau.Ninachofikiili mimi ni kuwa haupo interested na kinachozungumzwa kwenye vikao au mahubili