Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne Sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.
Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.
Je tatizo langu ni nini?
Mkuu umetoa msaada Kwa wengi. Ninayo unga wa habbat soda nikiletewa toka Zanzibar March 2020 Ila upo tu sikutumia. Je huwa umaharibika? Naweza kuutumia? Ila uko chengachenga hivi. Mafuta yake ninayo ninakunywa asubuhi na jioni mara nyingi Sana. Nimejua sasa nipake usoni kidogo. Shukrani Kwa Elimu.Mzee basi hiyo itakuwa ni Sihr (uchawi)...either umeambatana na shetani au umelishwa . Jaribu sana kumuomba Mungu akuondoshee matatizo hayo lakini pia kama una nafasi tembelea katika maduka ya dawa za asili ulizia dawa inaitwa habbat sawdah ( black seeds) nunua pakiti ya mbegu zake zilizosagwa kisha changanya na asali unywe atleast vijiko vitatu daily, pia nunua na mafuta yake ...uwe unajipaka eneo la paji la uso na pembeni ya kichwa kwenye mishipa ya fahamu.
Pia unaweza kutafuta vitunguu swaum...vipondeponde kisha kabla ya kulala jipake usoni na kwenye mishipa ya fahamu kichwani. Mungu atakufanyia upesi uweze kuondokana na tatizo hilo.
Amina, InshallahMzee basi hiyo itakuwa ni Sihr (uchawi)...either umeambatana na shetani au umelishwa . Jaribu sana kumuomba Mungu akuondoshee matatizo hayo lakini pia kama una nafasi tembelea katika maduka ya dawa za asili ulizia dawa inaitwa habbat sawdah ( black seeds) nunua pakiti ya mbegu zake zilizosagwa kisha changanya na asali unywe atleast vijiko vitatu daily, pia nunua na mafuta yake ...uwe unajipaka eneo la paji la uso na pembeni ya kichwa kwenye mishipa ya fahamu.
Pia unaweza kutafuta vitunguu swaum...vipondeponde kisha kabla ya kulala jipake usoni na kwenye mishipa ya fahamu kichwani. Mungu atakufanyia upesi uweze kuondokana na tatizo hilo.
Don’t give a f#k about other people’s opinions... waambie unaumwa malaleKusinzia ni aibu alafu naonekana sijali
Duuuhh, nimeshutukaPole sana, shetani amedhamiria kukulaza kwelikweli
Wanadamu Mungu alitupenda sana, akagawa giza na nuru sababu mchana lazima mwili uwe kazini either kijamii au kiibada lakini usiku miili yetu inapopumzika roho zetu huwa macho zikifanya mawasliano na roho wa Mungu na kama Mungu hatunae basi roho za shetani
Kwa maana hiyo wewe wakati wa kujenga maisha, kufanya maamuzi ya kikazi/kiofisi, na wakati wa kuwasiliana na Mungu wako unakua haupo, unakua umetwaliwa kupitia mwili kulala!
Usiku huwa unafanya nini? Kama unayaona ya usiku kupitia ndoto yatakusaidia kujua kinachokulaza
Sina kitambiKitambi huwa kinaleta mabadiliko unakua Kama mama mjamzito kasoro kutapika na kichefchef, uzembe uzembe unakua mwingi
Punguza kitambi
Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri huu, kumbe dawa zipo za kawaida tu.Jaribu kutumia tiba ya vitunguu swaum na Ndimu kama una sheytwan basi ataondoka kwa uwezo wa Mungu ktika mwili wako.
Nunua kitunguj swaum kimenye punje zake kisha kisage vizuri halafu chukua ndimu kama tatu hivi kamulia then mixture yake utaitumia kujipaka mwili mzima usiku kabla ya kulala. Kama unaweza unaweza kupaka na asubuhi siku ambazo huendi kazini. Kama una matatizo ya kuvamiwa na majini wachafu basi yataondoka kwa uwezo wa Mungu
🤣🤣🤣🤣 kwamba apunguze kula kiporo cha ubwabwaHaahhahaha! Usiku unakesha wapi mkuu? au unawahi sana kuamka? au kwenye vikao na kanisani unaenda umeshiba ubwabwa wa kabichi?
Ha ha ha!Lala tu mkuu vikao vingi siku hizi ni UMBEA TU
😂😂Lala tu mkuu vikao vingi siku hizi ni UMBEA TU
Duuuhh, nimeshutuka
Hivi SHEYTWAN NA SHYTOWN NI NDUGU???Jaribu kutumia tiba ya vitunguu swaum na Ndimu kama una sheytwan basi ataondoka kwa uwezo wa Mungu ktika mwili wako.
Nunua kitunguj swaum kimenye punje zake kisha kisage vizuri halafu chukua ndimu kama tatu hivi kamulia then mixture yake utaitumia kujipaka mwili mzima usiku kabla ya kulala. Kama unaweza unaweza kupaka na asubuhi siku ambazo huendi kazini. Kama una matatizo ya kuvamiwa na majini wachafu basi yataondoka kwa uwezo wa Mungu