Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

Uzito uongzeka na kushuka, huwa nafunga na kufanya mazoezi mepesi ili kupunguza uzito
Ukiongezeka au kupungua ni kwa kiasi kikubwa au kilo moja?
Jaribu kuwaona wataalamu wa Afya, masuala ya moyo waone uko sawa? Jaribu kutembea zaidi kama mazoezi.
 
Umetupiwa mapepo ya kukufarakanisha na bosi wako.

Katikati ya kikao unakoroma, boss wako anakutazama tu, unachafua hewa ukiwa usingizini, tena kwa sauti ya juu, boss wako anakutazama tu.

Tu udenda tunakuchirizika, boss wako anakutazama tuu.... yaani kifuatacho sasa, Mungu aepushie mbali, muombe sana akunusuru na usingizi huo mzito
Mimi pia nilikuwa nalala darasani,na mimi nilitupiwa Pepo nigombane na mwalimu?
 
Jaribu kutumia tiba ya vitunguu swaum na Ndimu kama una sheytwan basi ataondoka kwa uwezo wa Mungu ktika mwili wako.

Nunua kitunguj swaum kimenye punje zake kisha kisage vizuri halafu chukua ndimu kama tatu hivi kamulia then mixture yake utaitumia kujipaka mwili mzima usiku kabla ya kulala. Kama unaweza unaweza kupaka na asubuhi siku ambazo huendi kazini. Kama una matatizo ya kuvamiwa na majini wachafu basi yataondoka kwa uwezo wa Mungu
Unamfundisha uchawi badala ya kuhimiza ibada, Halafu unasema majini yataondoka kwa uwezo wa Mungu. Labda mwambie majini yataondoka kwa uwezo wa ndimu na vitunguu swaumu.
 
Ilo ni wimbi la usingizi mapepo wamekutumia likemee kama Mkristi kwa Jina la Yesu imeandikwa “Nao wakamshinda kwa Damu ya Mwana Kondoo na Neno la Ushuhuda”
 
Epuka kula mayai ya kuchemsha na Maharage ili hata ukichafua hali ya hewa hasa ijumaa kipindi Cha mawaidha uvundo usimfikie shehel
 
Unamfundisha uchawi badala ya kuhimiza ibada, Halafu unasema majini yataondoka kwa uwezo wa Mungu. Labda mwambie majini yataondoka kwa uwezo wa ndimu na vitunguu swaumu.
Kwahiyo ukienda hospitali ukapewa vidonge utumie nao ni uchawi..??? Pathetic

ALLAH ameshusha tiba ya kila ugonjwa!! Na tiba nyingi ipo kwenye mimea na vyakula tunavyokula.
 
Akili yako ishaji - tune kwamba huna umuhimu na hayo mambo ndiyo maana...
 
Ukiongezeka au kupungua ni kwa kiasi kikubwa au kilo moja?
Jaribu kuwaona wataalamu wa Afya, masuala ya moyo waone uko sawa? Jaribu kutembea zaidi kama mazoezi.
Asante kwa ushauri
 
Kwahiyo ukienda hospitali ukapewa vidonge utumie nao ni uchawi..??? Pathetic

ALLAH ameshusha tiba ya kila ugonjwa!! Na tiba nyingi ipo kwenye mimea na vyakula tunavyokula.
Usijali kabisa, Mimi kila ushauri nitauchukua na kuufanyia kazi.
 
Hata mimi nilikuwa hivyo.
Hiyo sio nguvu ya kawaida ndugu yangu.
Ni nguvu za giza hizo...
Wewe una kitu cha thamani sana ambacho shetani hataki ukigundue ndio maana anakupa usingizi hata kwenye nyumba za ibada.
-Yote hayo ni kwa sababu kuna mahali uhusiano wako na Mungu hauko sawa ila wewe bado unajifariji.
Unahitaji kukombolewa hiyo hali hautaisikia....kama upo tayari nitakuelekeza cha kufanya.
 
Nipo tayari
 
Habari wadau wa JF.

Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.

Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.

Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.

Je, tatizo langu ni nini?
Hili ni swali muhimu sana naomba unijibu, umewahi kuishi na mifugo au kuwa mfugaji? Kama umewahi, nenda kapime homa ya marale (sleeping sickness), hii husababishwa na mbung'o, mbung'o wanafanana na nzi ila wao ni wakubwa sana na wanapenda kuishi na wanyama na hung'ata kama mbu na kukuachia vijidudu.
 
Back
Top Bottom