Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #61
Nimeacha chai kwa muda, nikihisi hivyo. Hata soda pia nimeacha kwa muda.Inaweza ikawa hoja ya msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeacha chai kwa muda, nikihisi hivyo. Hata soda pia nimeacha kwa muda.Inaweza ikawa hoja ya msingi
Maelezo yako
Ukiongezeka au kupungua ni kwa kiasi kikubwa au kilo moja?Uzito uongzeka na kushuka, huwa nafunga na kufanya mazoezi mepesi ili kupunguza uzito
Mimi pia nilikuwa nalala darasani,na mimi nilitupiwa Pepo nigombane na mwalimu?Umetupiwa mapepo ya kukufarakanisha na bosi wako.
Katikati ya kikao unakoroma, boss wako anakutazama tu, unachafua hewa ukiwa usingizini, tena kwa sauti ya juu, boss wako anakutazama tu.
Tu udenda tunakuchirizika, boss wako anakutazama tuu.... yaani kifuatacho sasa, Mungu aepushie mbali, muombe sana akunusuru na usingizi huo mzito
Unamfundisha uchawi badala ya kuhimiza ibada, Halafu unasema majini yataondoka kwa uwezo wa Mungu. Labda mwambie majini yataondoka kwa uwezo wa ndimu na vitunguu swaumu.Jaribu kutumia tiba ya vitunguu swaum na Ndimu kama una sheytwan basi ataondoka kwa uwezo wa Mungu ktika mwili wako.
Nunua kitunguj swaum kimenye punje zake kisha kisage vizuri halafu chukua ndimu kama tatu hivi kamulia then mixture yake utaitumia kujipaka mwili mzima usiku kabla ya kulala. Kama unaweza unaweza kupaka na asubuhi siku ambazo huendi kazini. Kama una matatizo ya kuvamiwa na majini wachafu basi yataondoka kwa uwezo wa Mungu
Kwahiyo ukienda hospitali ukapewa vidonge utumie nao ni uchawi..??? PatheticUnamfundisha uchawi badala ya kuhimiza ibada, Halafu unasema majini yataondoka kwa uwezo wa Mungu. Labda mwambie majini yataondoka kwa uwezo wa ndimu na vitunguu swaumu.
Asante kwa ushauriUkiongezeka au kupungua ni kwa kiasi kikubwa au kilo moja?
Jaribu kuwaona wataalamu wa Afya, masuala ya moyo waone uko sawa? Jaribu kutembea zaidi kama mazoezi.
Mwili wangu wa kawaida, kilo 75 na urefu wa futi 7. 4Uzito utakuwa imezidi
Usijali kabisa, Mimi kila ushauri nitauchukua na kuufanyia kazi.Kwahiyo ukienda hospitali ukapewa vidonge utumie nao ni uchawi..??? Pathetic
ALLAH ameshusha tiba ya kila ugonjwa!! Na tiba nyingi ipo kwenye mimea na vyakula tunavyokula.
Nipo tayariHata mimi nilikuwa hivyo.
Hiyo sio nguvu ya kawaida ndugu yangu.
Ni nguvu za giza hizo...
Wewe una kitu cha thamani sana ambacho shetani hataki ukigundue ndio maana anakupa usingizi hata kwenye nyumba za ibada.
-Yote hayo ni kwa sababu kuna mahali uhusiano wako na Mungu hauko sawa ila wewe bado unajifariji.
Unahitaji kukombolewa hiyo hali hautaisikia....kama upo tayari nitakuelekeza cha kufanya.
Hili ni swali muhimu sana naomba unijibu, umewahi kuishi na mifugo au kuwa mfugaji? Kama umewahi, nenda kapime homa ya marale (sleeping sickness), hii husababishwa na mbung'o, mbung'o wanafanana na nzi ila wao ni wakubwa sana na wanapenda kuishi na wanyama na hung'ata kama mbu na kukuachia vijidudu.Habari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda mwingi wa kulala na kazi zangu sio nzito.
Kuna kikao fulani mwaka juzi nilisinzia hadi mwisho nashutuka, kikao kinafungwa.
Je, tatizo langu ni nini?