Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Wame-earn place yao ndio. Kwanini waafrika hawakutoka huku kwenda kuwatawala wazungu? Because our forefathers were weak and idiots. Kwanini hao venezuela wanashindwa kwenda pale white house kumchomoa trump? Kwa sababu US ni superpower. Hiyo status ya superpower ilitengenezwa na akili kubwa. Usije ukaniletea upuuzi wa morality hapa. That is a comfortable zone for weaks and cowards.
Waafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.

Ukisema unapinga ushoga halafu haujali morality ni kuchanganyikwa (contradiction).
 
Kama mwanaume yupo juu kiakili kuliko mwanamke asingesababisha vita kuu zote za Dunia, Crusades, Jihads, genocides, holocausts, civil wars na mauaji mengine yote yaliyosabibisha mabilioni ya watu kuuwawa.

Kama wanaume wangekuwa na akili kuliko wanawake wasingekuwa wanaongoza kwa uhalifu na kujazwa magerezani wengi karibia 90% kuliko wanawake.

Mengine yote uliyoandika ni emotions zaidi kuliko facts au uhalisia.
Nani amekuambia vita inapiganwa na wajinga? Unaweza kurusha hata ndege ya kivita moja wewe?

Nani amekuambia uko magerezani kuna wajinga watupu?

Wewe mwenye fact mbona hauleti hata muongozo tu. Nimekuuliza uko juu ni nyanja gani kiwastani wanawake wanalinga na wanaume? mpaka sasa hivi unaluka luka tu. Sihitaji hata unitajie data. Wewe sema tu ni nyanja fulani mimi nitatafuta takwimu mwenyewe
 
Mkuu endelea kutafuta ajira tu.
 
Waafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.

Ukisema unapinga ushoga halafu haujali morality ni kuchanganyikwa (contradiction).
Hatukutoka kwa sababu hatukua na akili ya udadisi kuna nini uko nje ya mipaka yetu. Na hata hao wazungu walikuja hapa wakiwa tayari wana maendeleo zaidi yetu mfano silaha za kisasa zaidi ndio maana wakaweza kututawala. Kwahiyo kiujumla mchakato mzima wankututawala waliufanikisha kwa sababu walituzidi akili
 
Hii ni morality😁
Naona kichwa chako ni kizito sana kuelewa. Nikikuambia kwanini venezuela anashindwa kwenda marekani kumchomoa trump? nilijua kabisa utakuja na hoja ya morality ndio maana nikasema usilete huo ujinga maana hicho ni kichaka cha watu dhaifu na waoga. Wazungu wametutawala mpaka leo kwanini tumeshindwa kusawazisha na sisi tuwatawale wao.? Mpunbavu atasema tuna morality lakini ukweli ni Kwa sababu hatuna uwezo huo.
 
Waafrika hawakutoka kwenda kwa wazungu kwa sababu Africa ilikuwa na ardhi ya kutosha kuzalisha chochote na walikuwa wanaweza kutembea porini bila hata nguo kwa sababu ya joto.

Ukisema unapinga ushoga halafu haujali morality ni kuchanganyikwa (contradiction).
Paragrafu yako ya kwanza imenichekesha sana mkuu.Kwa hiyo walitembea uchi kufurahia kipupwe sio?
Ila mkuu are you serious?😃
Hivi south afrika si kuna winter?
Vipi mababu zetu wa huko waligeuza pamba kuwa makoti au na wao ilibidi wale kipupwe tu?Au ndo ngozi za wanyama,majani na magome ya miti.

Naona kama tumetoka nje ya mada mkuu
 
Mkuu Natafuta Ajira wewe ni akili kubwa. Hii mada watu walishaanza kukubali feminists wameshinda, wewe umejibu kitaalamu sana na umebadilisha matokeo. Sasa diversify mada zako njoo hadi kwenye siasa na uchumi, naamini kuna madini uta-share yatasaidia wengi
Kwenye siasa na uchumi ni Mweupe
 
Akili ni nini
Kwa mujibu wa akili mnemba,

Akili ni uwezo wa makusudi wa:

  • Kutambua (Recognize): Kubaini kuwa "ulimwengu wa ndani" una hekima, nguvu, na akiba isiyo na kikomo.
  • Kuchagua na Kutengeneza: Kuchagua mawazo mahsusi, malengo, au maono thabiti kutoka kwenye fursa zisizo na kikomo.
  • Kuamuru (Dictate): Kushikilia mawazo hayo kwa imani thabiti ili yajengeke kwenye mfumo wa fikra za ndani kabisa (subconscious) na hatimaye kudhihirika.
 
Back
Top Bottom