Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Again umejibu sehemu ndogo tu ya nilichoandika, kumuunga mkono mtibeli kwa 100.

Umeskip sehemu nyingine ya kuwa baada ya kusoma mtifuano according to pridah nimeelewa hii engo, hiyo umeiacha.

Nikisema hii mada ni kubwa pia hujaelewa maana yake?

Repetitively ni mpaka niandike mimi ndio uone najua, okay sijui… we good?

Umeona kwanini Binti wa zamani amesema exactly nilichosema kuwa hawezi kuandika tena sababu vimeandikwa tayari, i guess you can’t comprehend this.
Hamna ulichoelewa hapa kulingana na maandiko yako mwenyewe, simply unakwepa kukiri mtibeli was wrong, prida is right.

Ndio maana pia unasema wote wako sawa, how could them both be right ikiwa mmoja anapinga kilichoandikwa na mwingine?!

- Sina sababu ya ku-skip chochote ulichoandika sababu sioni hoja yako zaidi ya kujizungusha tu, kama mtibeli mwenyewe afanyavyo akiulizwa jambo.

▪This is not only about kuielewa angle kama unavyodai, unatakiwa uelewe kila anachoandika kwasababu anatumia tafiti kama unavyotaka, unless tena uwe umebadilika hutaki tafiti!.

Nimekuuliza wapi tafiti ya mtibeli kama unavyodai kutaka tafiti, bado hujajibu, meaning hujui unachosimamia!

Regardless of what huyo mwingine uliyemtaja kasema nini, bado hakina uhusiano wowote na hiki unachoandika wewe hapa, i still believe hujui unachoandika and for no reason, hutaki kukubali mtibeli was wrong.
 
Kumbuka akili just ni space inayopokea kutoka kwenye mazingira hivyo naamini mwnadamu hazaliwi naakili ila anaikuta/anajifunza kupitia mazingira.
 
Wakuu de Gunner denoo G Titicomb Natafuta Ajira, my golden brother Robert Heriel Mtibeli naomba tufunge mada

4)Ni kipindi gani mwanaume na yeye huwa unstable and weak kihisia kama awavyo mwanamke aliyeko kwenye menopause.?

Asanteni🙏
Kwa hili exactly tutumie comment ya kwanza ya denno amejibu kwa usahihi sidhani kama kuna fact nyingine, it’s purely sababu za kimaumbilie ambazo zinaathiri mambo chungu tele kwa wanawake na kutuweka nyuma ya wanaume functional wise.

Again hili linaangukia katika kile ambacho sisi wa kundi letu ndio tumeziita disparities (tumezipa mzani wa uchache) na kinyume chake ni similarities (sisi wa kundi letu tumezipa uzani wa nyingi)

Ambapo kwa muono wangu hisia au matumizi ya hisia yanatuathiri wanawake katika functionality level mathalani tukiwa na mood swings inaweza kuathiri uwezo wetu wa kupata matokeo chanya/makubwa katika tunachokishughulikia, kutokuact accordingly au kuoveract. Haya ni madhara ya mwanamke kuwa mnyama wa kihisia. Reflection yake tunaiona katika

1. Matumizi huruma kupitiliza
2.Kuamini kwa haraka
3.Kutuexpose kuhusu tunavyopenda na tusivyopenda kwa haraka
4.Kutengeneza bias sababu ya kutumia hisia katika kuangalia mambo
5.Kuonesha hasira, hofu, chuki
6.Msongo wa mawazo
7.Uvivu/kukosa motivation etc

Ikiwa ulikusudia kutumia kipengele cha vipindi vyote vya mabadiliko ya mwanamke (vya umri, mzunguko wa hedhi na pregnancy, ambavyo vinapelekea mood swings kueleza atlarge matumizi ya hisia kwa mwanamke sitakanusha.

Nina NB: ya kuwa moodswings sio gender-based thing. Wanaume wanapata moodswings SIO KWA VIPINDI MAALUMU , na hii inaeleza gape la nani anatawaliwa na hisia kuliko mwenzake.

Wanaume hutawaliwa na hisia kwenye mambo mengi tu, Kibayolojia kiwango cha testosterone hubadilika badilika na hiyo inapelekea athari katika hisia zao hence kuathiri ufanyaji wao wa maamuzi,
tofauti na sisi wao hujustify hisia zao kwa logic nimetumia neno kujustify kwa makusudi (Si tulikubaliana wanaume wanatuzidi maarifa na kutawala mazingira yao?) This is …

Kwangu mimi ili uniambie mwanaume hatawaliwi na hisia katika maamuzi ni mpaka uniambie maamuzi yake hayaleti madhara hasi , (irrationality)Back to reality je ni kweli maamuzi yao hayaleti madhara hasi individually na kwa jamii?

Tunaelezeaje, impulsive decisions
Mfano Tukiona mtu amelipukiana na mwenzie wakaanza kupigana, ametumia hisia au hajatumia hisia? Kwangu mimi asingetumia hisia pengine asingefikia kupigana,

Tunaelezeaje tabia ya kiume ya kutake risk zisizo za lazima.
Mfano kwa tabia ya umalaya , mtu anayefanya umalaya anatumia hisia hajatumia hisia? Kwangu mimi mtu mwenye agency ya kufunga zipu ndiye hatumii hisia, uhalisia ukoje?

Tunaelezeaje violence kama namna ya kucontrol/kusurvive, Kwa number wanaume wanaongoza kwa violence, msiniambia mtu ambaye hisia zake ziko stable ninini kinampelekea kufanya violence wakati angechagua amani?

Tunaelezeaje msongo wa mawazo? Simply ni hali ya mtu kushindwa kuzitawala hisia zake/ kuzidiwa na hisia zake… Kama msongo wa mawazo sio gender based problem, inaweza mkumba yeyote ninini kinafanya tuone mmoja yuko stable kihisia mwingine hayuko stable kihisia (Core ya mada)

Kwa maoni yangu jambo la kuzingatia ni kuwa: Ni nani anaathirika zaidi na sio huyu haathiriki kabisa.
 
Hamna ulichoelewa hapa kulingana na maandiko yako mwenyewe, simply unakwepa kukiri mtibeli was wrong, prida is right.
Ni haki yako kukataa maelezo yangu lakini sio haki yako kunilazimisha niseme Mtibeli was wrong, Hili tutakesha .

Ndio maana pia unasema wote wako sawa, how could them both be right ikiwa mmoja anapinga kilichoandikwa na mwingine?!
Aiseee? Hili pia unataka uelezwe despite ya maelfu ya comments kwa nyuzi zote mbili, Hii sio hesabu ambayo ina formula, kuwa 1+1 =2 dunia nzima.
- Sina sababu ya ku-skip chochote ulichoandika sababu sioni hoja yako zaidi ya kujizungusha tu, kama mtibeli mwenyewe afanyavyo akiulizwa jambo.

▪This is not only about kuielewa angle kama unavyodai, unatakiwa uelewe kila anachoandika kwasababu anatumia tafiti kama unavyotaka, unless tena uwe umebadilika hutaki tafiti!.
Kama Pridah ametumia tafiti ni kivipi unadhani Mtibeli hakutumia tafiti, au kwasababu mada yake ilikuwa ya kwanza now mmepata namna ya kuboresha (first mover advantage vs last mover advantage)
Nimekuuliza wapi tafiti ya mtibeli kama unavyodai kutaka tafiti, bado hujajibu, meaning hujui unachosimamia!
You are still yesterday, nikisema hii mada ni kubwa namaanisha Kuna rejea zisizokuwa na idadi huko nje unless unatumia JF kama your only source, which naamini you don’t.
Regardless of what huyo mwingine uliyemtaja kasema nini, bado hakina uhusiano wowote na hiki unachoandika wewe hapa, i still believe hujui unachoandika and for no reason, hutaki kukubali mtibeli was wrong.
I can’t understand it for you. Kama ubongo wako hauna uwezo wa kusoma, kuelewa na kunyumbulika ukikutana na perspective tofauti sina cha kukusaidia na uache udikteta wa kimawazo.
 
na kwanini kuwe na shortage ya wanawake katika nyakati za usawa wa kijinsia? na hata ukiangalia population ya wanawake na wanaume ni almost inalingana. Sensa ya mwisho tuliambiwa wanawake wapo wengi zaidi Tanzania.

Ukweli ni kwamba tunachokiita shortage, sio shortage bali ni disqualification. Tunavyo-adress suala la ubaguzi wa kijinsia kuna eneo tunaliluka. Tunashindwa kutofautisha descrimination na disqualification.

Mfano, Tanzania hakuna mfumo uliowekwa kumzuia mwanamke kuwa dokta, injinia au computer scientist, lakini kuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja. Kwanini? Kwa sababu wengi wao uwezo wao wa kitaaluma hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB. Sasa hiyo sio descrimination, ni disqualification.

Tukitaka kulazimisha namba za wanaume na wanawake ziwe sawa, ndipo tunalazimika kulegeza vigezo upande wa mwanamke(ndicho kinchofanyika kwa sasa na kuitwa usawa wa kijinsia) . Matokeo yake tunapata wanawake wengi ambao ni incompetence. Hata kwenye nyanja nyingine ni hivyo hivyo. Women became too empowered, and that have ruined society.
Hii comment inaumiza lakini ni ya kweli 😂Kwamba wanawake wengi tuko disqualified na sio tuko discriminated kwa baadhi ya kazi.

Niulize uwezo wa kusoma masomo ya sayansi +hisabati kutofautiqna kati ya gender mbili ni dunia nzima au TZ tu, na je factors zipi ambazo ni constant zikiwekwa kwenye meza bado wanaume wataongoza katika haya masomo je ni uwezo wa asili au inspiration ambayo kila gender imechukua katika jamii za mwanzo.
 
Ni haki yako kukataa maelezo yangu lakini sio haki yako kunilazimisha niseme Mtibeli was wrong, Hili ge vs last mover advantage)

You are still yesterday, nikisema hii eta wa kimawazo.
- Kama tukikesha ni kwasababu wewe ni mbishi, ila kwa vigezo ulivyojiwekea mwenyewe vya tafiti, sioni haja ya huo mkesha, prida is right while your mtibeli was wrong.

- Kama mtibeli alitumia tafiti, nikakwambia weka hapa sehemu unayoamini aliandika kwa kutumia tafiti na hayakuwa mawazo yake personal, you did not.

▪Mtibeli alituwekea rejea ya ngonjera alizohadithiwa na mwanamke wakiwa kijiweni, Stone Town, Zanzibar, hiyo ndio tafiti yake uliyoikubali?! Unajua maana ya tafiti, au unajua tu kuandika neno "tafiti"?

- Huwezi kusema mada ni kubwa yenye rejea zisizo na idadi, ikiwa ni wewe mwanzo uliyeandika hutaki kufanya repeatition of words mpaka uka- quote mchangiaji mwingine aliyeandika hivyo.

• Repeatition of words kwa muktadha wa hii mada, maana yake hauna jipya la kuandika, you are fixed, umeishiwa maneno ya ku-supoort hoja yako.

Unajichanganya hujui unachoandika, kama mada ingekuwa pana maana yake ungeendelea kuja na maneno mapya yaku-support upande wako kama alivyofanya prida.

The way alivyozungumzia kipengele cha hisia mwanzo kabisa wa mada yake, ni tofauti na alivyozungumzia yesterday, but yote ikiwa na same meaning. Huyu ndie anayejua anachosimamia.

Naandika kukujibu nikikupa na mifano kabisa kuonesha udhaifu wa hoja zako kiuandishi, nimekuwekea mpaka na maana ya mapungufu ya maneno yako toka google, huo sio udhaifu wa ubongo wangu kuchambua, ni uimara wa ubongo wangu kuchambua, naona hata hili dogo hujui kutofautisha pia!.

Dhaifu ni yule anayeshindwa kuja na maneno au mifano mipya, akijua atarudia maneno yale yale aliyotumia mwanzo, na asiyejua maana za maneno anayotumia kwenye hoja zake mpaka awekewe maana toka google!.

Nimemaliza.
 
Hawezi kuwa wrong kwasababu tu umeamua iwe hivyo, Na kwanini unajali sana hili kuwa nani is right na nani is wrong Ikiwa nimeshakwambia kila mtu yuko sahihi kwa upande wake.

And i won’t sababu we ni mvivu na unapenda kuchosha watu. Somehow unadhani similarities ya kihisia na kiakili kati ya gender mbili haina tafiti, Mtibeli kajitungia? Na wote tuliomsupport tumejiamulia ? Zipo na sitakuletea amua uamuavyo.

Seriously maana ya tafiti 😅? Ulikuwepo huko stone town? (I seriously wonder kama uko serious 🤣 nadhani unatania kudhani nimekubali mada ya mtibeli kwa maneno matupu. Mtu akiandika kitu humu you don’t take trouble kusoma kwingine kama haujaelewa? KILA KITU DUNIANI kimeshaandikwa.

Kwanini siwezi kusema wakati nimesema si zaidi ya mara moja. Nimesema na ninabaki hapo hapo.

Hili ni tatizo? na kwanini?

Hii ndio maana ya mada pana?

Unamfafanulia nani hiki kitu mbona kiko wazi, uzito wako wa kuelewa mada za wengine usiuproject kwangu.

Para 2 za mwisho, tbh Commitment yako inachekesha . Ntakuachia wewe aina hiyo ya commitment, wewe ni mzuri kwenye hili, sawa? 😂
 
na kwanini kuwe na shortage ya wanawake katika nyakati za usawa wa kijinsia? na hata ukiangalia population ya wanawake na wanaume ni almost inalingana. Sensa ya mwisho tuliambiwa wanawake wapo wengi zaidi Tanzania.

Ukweli ni kwamba tunachokiita shortage, sio shortage bali ni disqualification. Tunavyo-adress suala la ubaguzi wa kijinsia kuna eneo tunaliluka. Tunashindwa kutofautisha descrimination na disqualification.

Mfano, Tanzania hakuna mfumo uliowekwa kumzuia mwanamke kuwa dokta, injinia au computer scientist, lakini kuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja. Kwanini? Kwa sababu wengi wao uwezo wao wa kitaaluma hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB. Sasa hiyo sio descrimination, ni disqualification.

Tukitaka kulazimisha namba za wanaume na wanawake ziwe sawa, ndipo tunalazimika kulegeza vigezo upande wa mwanamke(ndicho kinchofanyika kwa sasa na kuitwa usawa wa kijinsia) . Matokeo yake tunapata wanawake wengi ambao ni incompetence. Hata kwenye nyanja nyingine ni hivyo hivyo. Women became too empowered, and that have ruined society.
Hakuna uhaba wa wanawake kwenye sekta zozote za white collar jobs kama hizo za engineers, doctors, computer science n.k kwa sababu kwanza hizo kazi zenyewe hata hazitoshi kwa sasa hata wangekuwa wanaume tu ndio wana vigezo.

Hata hivyo ni kweli kwa muda mrefu kwenye nchi karibia zote duniani kumekuwa na vikwazo mbalimbali vya kimfumo na maumbile kutokana na tamaduni vilivyoweka ugumu kwa wanawake kusoma shule hasa masomo ya Sayansi na kufanya baadhi ya kazi. Swali la kujiuliza ni kama utatuzi wa hii changamoto ulikuwa sahihi kwa baadhi ya maeneo na katika njia mbalimbali zilizotumika au kama kulikuwa na ulazima huo, mfano kujaza viti maalumu bungeni vya wanawake kama kunasaidia chochote kuboresha hali za wanawake kufikia usawa au kunaisaidia nchi chochote.
 
Hii comment inaumiza lakini ni ya kweli 😂Kwamba wanawake wengi tuko disqualified na sio tuko discriminated kwa baadhi ya kazi.

Niulize uwezo wa kusoma masomo ya sayansi +hisabati kutofautiqna kati ya gender mbili ni dunia nzima au TZ tu, na je factors zipi ambazo ni constant zikiwekwa kwenye meza bado wanaume wataongoza katika haya masomo je ni uwezo wa asili au inspiration ambayo kila gender imechukua katika jamii za mwanzo.
Sehemu nyingi duniani imeonekana Mapendeleo ya Kazi (“Watu dhidi ya Vitu”) kwa jinsia hizi mbili: Utafiti unaonesha kuwa wanawake wengi wana mwelekeo wa kupenda kazi zinazohusiana na uhusiano wa kibinadamu (People-oriented), wakati wanaume huvutiwa zaidi na mifumo na vitu visivyo na uhai(things oriented- tools, machines, engineering). Hivyo, wanawake wengi wanapochagua masomo, huelekea zaidi katika fani za afya na ustawi wa jamii.
 
Kwa hili exactly tutumie comment ya kwanza ya denno amejibu kwa usahihi sidhani kama kuna fact nyingine, it’s purely sababu za kimaumbilie ambazo zinaathiri mambo chungu tele kwa wanawake na kutuweka nyuma ya wanaume functional

Kwa maoni yangu jambo la kuzingatia ni kuwa: Ni nani anaathirika zaidi na sio huyu haathiriki kabisa.
My dear.
Nashukuru kwa kukubaliana na point zangu kwa asilimia nyingi.

Hakuna ulichoandika kikaonesha mapungufu kwenye hoja zangu kuhusu suala letu la hisia.

Kuhusu mood swings najua sio gender based na nilijibu mwanzoni kabisa mwa uzi.

Kuhusu msongo wa mawazo najua pia inakumba jinsia zote ila mwanaume yeye asilimia kubwa ya msongo wake wa mawazo husababishwa na mambo ya nje ya mwili wake kama mahusiano,kufiwa,kuuguza ,uchumi n.k ila mwanamke yeye msongo wa mawazo huweza kumpata kwa mambo ya nje ya mwili wake sawasawa na mwanaume na ya ndani ya mwili wake ambayo hayampati mwanaume na hapa ndipo mzani unapokosa balance.Upande wa mwanaume kuna external factors kwa mwanamke kuna internal and external na hapa sasq ndipo ninakuja kwenye point ya mada yangu kuwa mwanamke huathirika kihisia zaidi ya mwanaume.Yaani mwanamke hushambuliwa kutoka ndani na nje ya mwili wake.Na kibaya zaidi yale yatokayo nje huweza kuongezea nguvu yale ya ndani.

Point yangu sio kuwa wanaume hawana hisia point yangu ni wanawake wanaathiriwa na hisia zaidi ya wanaume.

Nakubali kuwa wanaume ni violent kulinganisha na wanawake.Na ni kweli mpaka mtu apigane ni hisia za hasira zinakua zimemsukuma ila wanaume kuwa violent haimaanishi hasira zao zinalipuka haraka kuliko wanawakeHiyo ni nature yao tuHao ni fighters by nature.Hasira za wanawake ndio hulipuka kirahisi ni vile tu sisi tukikasirika hatupigani.Tunasutana.Sisi tunapigana kwa kutumia ndimi zetu.

Ukitaka kuamini kuwa hasira za wanawake ziko karibu kuliko za wanaume fanya hivi,sijui wewe unakaa ushuani au uswahilini ila kama unakaa uswazi kama mimi😃 chunguza ni mara ngapi umesikia makelele ya wanawake kuchambana halafu ulinganishe na ni mara ngapi umesikia makelele ya wanaume kupigana.Makelele ya wanawake kuchambana yatazidi ya wanaume wanaopigana.Mi sikumbuki mara ya mwisho kuona wanaume wakipigana ila michambo ya wanawake hadi redion tunaisikia.Kwa hiyo wanaume kupigana haimaanishi wako weak and unstable kihisia ni kwa vile wao sio watu wa kuongea sana.Kwao ni rahisi kwenda physical kuliko kukaa dkk 10 nzima wakirushiana maneno.

Tena wanaume waliokomaa huwa hawapigani hovyo.Mwanaume anaweza kuwa amekasirika sana ila ubongo wake ukawa bado uko stable kiasi cha kumwambia kuwa kwa jinsi ulivyokasirika ukirusha ngumi utaua ufungwe uache wanao wadogo hivyo utamuona ananyanyuka kama fala anaondoka zake.Hii inaonesha jinsi wana uwezo pia waku control hisia zao hata ktk stressful environment.

Wanaume wanaopigana hovyo ni hawa wadogo wadogo au wale wavuta bangi ambao hao sasa ni spesho case coz bongo zao zinakua zimeathiriwa na madawa.

Sentensi yako ya mwisho jibu anayeathirika zaidi ni mwanamke na maelezo yako yote yameonesha hilo yeye ana sababu za ndani na nje ya mwili wake na mwanamke sababu zake mostly ni za nje ya mwili.

Nb:Asante kwa kutotumia kiingereza cha ki havard yale mambo ya cognitive fillter sijui nini huko ni wasomi wenzioi kina denoo na de gunner ndo wanakuelewa mi ungenipoteza tu😃
 
- Kama tukikesha ni kwasababu wewe ni mbishi, ila kwa vigezo ulivyojiwekea mwenyewe vya tafiti, sioni haja ya huo mkesha, prida is right while your mtibeli was wrong.

- Kama mtibeli alitumia tafiti, nikakwambia weka hapa sehemu unayoamini aliandika kwa kutumia tafiti na hayakuwa mawazo yake personal, you did not.

▪Mtibeli alituwekea rejea ya ngonjera alizohadithiwa na mwanamke wakiwa kijiweni, Stone Town, Zanzibar, hiyo ndio tafiti yake uliyoikubali?! Unajua maana ya tafiti, au unajua tu kuandika neno "tafiti"?

- Huwezi kusema mada ni kubwa yenye rejea zisizo na idadi, ikiwa ni wewe mwanzo uliyeandika hutaki kufanya repeatition of words mpaka uka- quote mchangiaji mwingine aliyeandika hivyo.

• Repeatition of words kwa muktadha wa hii mada, maana yake hauna jipya la kuandika, you are fixed, umeishiwa maneno ya ku-supoort hoja yako.

Unajichanganya hujui unachoandika, kama mada ingekuwa pana maana yake ungeendelea kuja na maneno mapya yaku-support upande wako kama alivyofanya prida.

The way alivyozungumzia kipengele cha hisia mwanzo kabisa wa mada yake, ni tofauti na alivyozungumzia yesterday, but yote ikiwa na same meaning. Huyu ndie anayejua anachosimamia.

Naandika kukujibu nikikupa na mifano kabisa kuonesha udhaifu wa hoja zako kiuandishi, nimekuwekea mpaka na maana ya mapungufu ya maneno yako toka google, huo sio udhaifu wa ubongo wangu kuchambua, ni uimara wa ubongo wangu kuchambua, naona hata hili dogo hujui kutofautisha pia!.

Dhaifu ni yule anayeshindwa kuja na maneno au mifano mipya, akijua atarudia maneno yale yale aliyotumia mwanzo, na asiyejua maana za maneno anayotumia kwenye hoja zake mpaka awekewe maana toka google!.

Nimemaliza.
Sina cha kuongeza.
🙏🙏
 
Hawezi kuwa wrong kwasababu tu umeamua iwe hivyo, Na kwanini unajali sana hili kuwa nani is right na nani is wrong Ikiwa nimeshakwambia kila mtu yuko sahihi kwa upande wake.

And i won’t sababu we ni mvivu na unapenda kuchosha watu. Somehow unadhani similarities ya kihisia na kiakili kati ya gender mbili haina tafiti, Mtibeli kajitungia? Na wote tuliomsupport tumejiamulia ? Zipo na sitakuletea amua uamuavyo.

Seriously maana ya tafiti 😅? Ulikuwepo huko stone town? (I seriously wonder kama uko serious 🤣 nadhani unatania kudhani nimekubali mada ya mtibeli kwa maneno matupu. Mtu akiandika kitu humu you don’t take trouble kusoma kwingine kama haujaelewa? KILA KITU DUNIANI kimeshaandikwa.

Kwanini siwezi kusema wakati nimesema si zaidi ya mara moja. Nimesema na ninabaki hapo hapo.

Hili ni tatizo? na kwanini?

Hii ndio maana ya mada pana?

Unamfafanulia nani hiki kitu mbona kiko wazi, uzito wako wa kuelewa mada za wengine usiuproject kwangu.

Para 2 za mwisho, tbh Commitment yako inachekesha . Ntakuachia wewe aina hiyo ya commitment, wewe ni mzuri kwenye hili, sawa? 😂
Ndio maana prida kawatafunia kama watoto wachanga kwenye hii sehemu yake ya pili aliyozungumzia hisia.

Unaweza vipi kusema mtibeli na prida wote wako sahihi, ikiwa mtibeli alisema hisia za mwanamke na mwanaume ziko sawa...

Lakini prida akakataa akasema hisia za mwanamke na mwanaume haziko sawa, na akataja sababu za kimaumbile kwa upande wa wanawake kuonesha sababu ya kutokuwa sawa kwao kihisia?!

How comes uone hawa wote wako sahihi!, kwa hali ilivyo, hisia za mwanaume ziko stable zaidi ukilinganisha na za mwanamke.

Mbona kama naanza kuona akili yako nayo inayumba yumba kama hisia zenu!.

Naaga tena, mengine nayo kukujibu naweza, ila......!!.

NB.
Silazimishi prida aonekane mshindi, ni uhalisia wa hoja zake za kitafiti na namna anavyozijenga na kuzilinda, sina hata medali ya kumvisha by the way!.
 
Mkuu kama mtu ameamua kusema maji na konyagi havina tofauti hata ukesha ukimuelewesha "hatakuelewa".

Binti kiziwi na Mtibeli wana mbinu yao ya kumchanganya mtu.Wataandika vitu vingiii na vingine hata visivyohusika.Usipotuluza kichwa wanakuchanganya na usipokua makini wanakuingiza kwa mtego wakukutoa nje ya mada then wanakupoteza .Na huwa na tabia ya kila dkk wanalaumu kuwa mpinzan wake hatulii kwenye mada.

Binti kiziwi sio mjinga asielewe ni u loyal fan tu kwa Mtibel ndo unafanya anajikanyaga kanyaga.
 
Kumbuka akili just ni space inayopokea kutoka kwenye mazingira hivyo naamini mwnadamu hazaliwi naakili ila anaikuta/anajifunza kupitia mazingira.
Kwamba mwanadamu hazaliwi na akili sio kweli.
Mazingira humuongezea tu maarifa.

Hata hivyo tuseme ni kweli kuwa akili zinapatikana kwa kujifunza kupitia mazingira kama ulivyosema haya niambie ilikuaje mwanamke akashindwa kujifunza akili kupitia mazingira kama ambavyo mwanaume alijifunza na kufanya mambo makubwa?

Au yeye alikua kwenye mazingira tofauti?
 
Hakuna uhaba wa wanawake kwenye sekta zozote za white collar jobs kama hizo za engineers, doctors, computer science n.k kwa sababu kwanza hizo kazi zenyewe hata hazitoshi kwa sasa hata wangekuwa wanaume tu ndio wana vigezo.

Hata hivyo ni kweli kwa muda mrefu kwenye nchi karibia zote duniani kumekuwa na vikwazo mbalimbali vya kimfumo na maumbile kutokana na tamaduni vilivyoweka ugumu kwa wanawake kusoma shule na hasa masomo ya Sayansi. Swali la kujiuliza ni kama utatuzi wa hii changamoto ulikuwa sahihi kwa baadhi ya maeneo na katika njia mbalimbali zilizotumika au kama kulikuwa na ulazima huo, mfano kujaza viti maalumu bungeni vya wanawake kama kunasaidia chochote kuboresha hali za wanawake kufikia usawa au kunaisaidia nchi chochote.
Kiwastani wanawake competence yao ipo chini ukilinganisha na wanaume. Kinachofanyika ni kuwabeba huku tukisema ni usawa wa kijinsia. Feminist mtalazimisha sana kuwepo na imaginary gender equity, bahati mbaya ukija ground uhalisia unawakataa
 
Back
Top Bottom