Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Kuna namna cognitive filter yako inafanya kazi, Unatafsiri comments zangu kulingana na matarajio yako. Majibizano kati yetu yamejaa neno, sikumaanisha hivi nilimaanisha hivi” This is so tiresome na haina msingi.

You are seeing me through your own perception, which sio kitu kibaya, shida yake ni kuwa malengo ya mjadala yanakuwa shifted. Nilizungumzia consistency kama kanuni mojawapo ya mjadala, ni kama ulielewa, kuna kitu niliund estimate kumbe 🤣

Unazidi kunithibitishia kuwa nilikuwa sahihi toka mwanzo nilivyosema sio sahihi kujadili na mtu ambaye level ya uelewa sio moja, sio kwa ubaya.

Hapo uliponiqoute as a cherry picker as you are… Nilisema kuwa nitafuta comment/nitapunguza comments ili watu wakija kusoma wakutane na mtiririko wa hoja na na sio majibizano binafsi, Inaboa kwenda kwenye comment section unakutana mambo binafsi atleast to me, naamini na wengine wapi (lengo la msomaji ndio linadetermine hiki)

Reading through your comment nimeelewa kuwa unadhani nafuta comment kwa sababu naogopa watu kutujudge (hii umeandika mwenyewe) How do you manage to think like this, i mean your process of thought ina walakini (Japokuwa benefit of doubt nayokupa kwa nilivokusoma kwenye mada zingine ni kuwa unafanya makusudi)

Na makusudi yako yanatokana na fact kwamba huku penda comment yangu ya kwanza jana, can you please move on? If something kinakuwa personal maana yake kimechukua your emotions. Hii sijajitungia, imetokana na hapo uliposema “you want to crack me open” Dude kwanini umejipa hii kazi ngumu isiyokuwa na malipo? ina satisfy which part of your body (sitaki kukwambia ni your bruised ego) nishakwambia tho 😅

Kama alivyokwambia Becky huko juu jana, kujadili na wewe mtu lazima achoke sana.

Cha mwisho na cha msingi kinachohusiana na mada na sio hizi blah blah, unadeni la kueleza/kufafanua ile comment yako ulivyosema hii uzi unahusu survival, kama sijamisqoute.
🤔
 
Naomba niambie kwanini mwanaume aliweza kujifanya kiongozi na isiwe ni mwanamke ndie ajifanye kiongozi na mwanamme awe mume wa kiongozi?
Kuna post nimeongelea mkuu...

Mazingira ya zamani yalihitaji masculinoty ya kiasi kikubwa kusavaivu hivyo, mwanamke alikuwa kiumbe dhaifu asiyeweza kuhusishwa kwenye mambo ambayo yalikuwa nje ya uwezo binafsi wa mwili wake.

Watu wanaishi mapangoni, wanavamiwa na simba lakini wanatakiwa kwenda mwituni kuwinda chakula..

Sio rahisi

Ila kwa sasa concept nzima ya provision na security imekuwa tofauti. Ndio maana wanawake wa leo wanaweza kuingia sehemu nyingi na kufanya vitu vingi ambayo zamani wasingeweza kufanya.

Na msinielewe vibaya. Naelewa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume na mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke. Wote kiasili na kimaumbile wana nafasi ya kuchala

Ni sawa useme mwanaume alee mtoto au mwanamke ashike mtutu akapambane vitani. Kutakuwa na imbalance. Inawezekana NDIO ila je ni sawa. Si sawa kwa sababu kiasili tupo tofauti

Kuchukulia femininity ni udhaifu na masculinity ni pawa si sawa pia na hii ndio sababu wanawake wengi wanaamini wakiwa kama wanaume ndio wanakuwa powerful ilhali kuna wanawake waliangusha falme kwa uanamke wao. Tupo tofauti, tunatenda tofauti, tunawaza tofauti

Tukubali tofauti , mwanamke afundishwe kufurahia femininity yake na mwanaume afundishwe kujivunia masculinity yake. Simple
 
Niliamua kukuonesha mapungufu yako kwa vitendo zaidi ya kuyataja kwa jumla.
Kama unamaanisha mapungufu ya nilichokuwa nimeandika then yes, kama yangu binafsi i won’t take that sababu havihusiani and you can do better.

Para za chini uko sahihi.
 
Umegusa kitu ambacho nikijaribu kumuelezea ndugu yangu mmoja kwenye comment za nyuma. Niliomba anitajie nyanja yoyote ambayo kiwastani wanawake wamewa-out perfom wanaume. Akaja na utetezi kwamba historia inaonyesha wanawake hawakuruhusiwa ku-compete. Ndipo nikamfafanulia hili suala lako hapa ulilohotaji ufafanuzi.

Hakuna mwanaume aliibuka aka-install patriarch kwenye fikra za watu na jamii kwa ujumla, isipokua natural pattern ndio iliwezesha patriarch kushika hatamu. From ancient eras mwanaume ali-solve matatizo, ali-step up kwenye kila changamoto inayoikabiri jamii, alimlinda mwanamke n.k ndio maana akamiliki hiyo nafasi ya kuwa main character.
Mwanamke wa kikinga ama kichaga anakuwa aggressive zaidi kwenye biashara kuliko wanaume wengi wa pwani.

Jamii ambazo zinasemekana hazitoi wife materials na pengine zina idadi kubwa ya single mothers kama wachagga, wahaya, wanyakyusa etc

Ni jamii zenye elimu na wanawake kwa kiasi flani wanaweza kujipambania na kujisimamia hivyo kuwa less submissive tofauti na jamii za pwani ambapo mtoto wa analelewa akiandaliwa kuwa mke wa mtu na si mpambanaji wa maisha yake binafsi. Huyu akiwa tegemezi, unamlaumu

Vipi kwa wanaume je wote tupo sawa

Mwanaume wa kichaga anafanya biashara kuliko mwanaume wa kihaya, na mwanaume wa kihaya pengine ananda mbali zaidi kielimu kuliko mwanaume wa kichagga..

Lakini pia mwanaume wa kikurya anaingia kwenye ulimwengu wa jeshi zaidi kwa sababu ya mfumo wao wa maisha na mwanaume wa pwani, anajihusisha zaidi na kilimo cha nazi na uvuvi..

Huku wanaume wa kiafrika na ulaya wakipenda soccer tena imekuwa kama kipimio cha uanaume lakini wanaume wa kihindi wanapenda cricket na marekani wanapendelea American Football na basketball

Kama wanaume, mazingira, mila na desturi zinatushape kuwa tofauti, na kupenda vitu tofauti. Kwa nini jamii hiyo hiyo ikimtengeneza mwanamke kuwa dependent unashangaa akija kuwa dependent.

Nadhani ungeanza kunielewa vizuri. Sikatai wanawake na wanaume tuna tofauti sana ambazo ni za asili, yani za kibailojia kabisa lakini kuna vitu mnavyoviita nature ni product ya mifumo ya maisha iliyotengenezwa kwenye patriarch lakini haimaanishi ikiwa tofauti, haitoleta matokeo tofauti.
 
Binti Kiziwi, Denoo na Gurner mnauntendea haki huu uzi. Mama argue bila kupoteza focus ya kila kila point uliyoitia au aliyeitoa mwenzako.
Mpo vizuri. Wengine humu Uzi ukipita 24 hrs. Hajibu hata kama umemkwoti tena kama hoja ni mwanzoni kbsaa haangahiki na hizo Kazi hafanyi.
This says more about your academic background that is good, cause you pay too much attention to even tiniest detail.
Kudos to all.
 
Kuwa na amani bestie.Sijaudhika.Najua huwezi kuleta mada hapa ipokelewe na watu wote bila kutokea watu wakui challange na watu wanapochallange ndipo milango ya kujifunza zaidi inafunguka.

Binafsi naamini niko sahihi kabisa niliposema hata mwanamke asome vipi bado mwanaume kutoka huko maporini asojua kusoma wala kuandika atamzidi akili kwa sababu;
1)Siongelei akili zinazopatikana shuleni ila hata kama kama ningekua namaanisha akili za darasani bado ningekua sahihi kuwa mwanaume wa maporini atakua bora kiakili kwa sababu ni MWANAUME ndiye aliyeanzisha kitu inaitwa elimu.Mwanaume alitumia akili yake kugundua vitu kisha akaona iwepo shule ili watu wengi zaidi wajifunze vile alivyovigundua.Kwa hiyo mwanaume wa maporini ni mwanaume na kama sio mwanaume mimi Prida nisingeenda kusomea Education na kuitwa teacher/madam Pridah leo hii wala wewe usingekua Surgeon/injinia binti kiziwi leo hii.Point yangu ni kwamba wewe kumiliki gari haikufanyi ulijue gari kumzidi alolitengeneza.Yawezekana leo hii wewe ni injinia mahiri Tz nzima wewe ndo unayeaminika kuwa ukijenga jengo hata lipige tetemeko gani la ardhi majengo yote yatadondoka lako linabaki limesimama na mim nikachukua tuzo ya teacher bora Tz nzima ila utaona vifaa zana zoote tunazotumia kwenye fani zetu ni mwanaume katengeneza.Mwanaume asingetengeneza kobelo na pima maji huo umahiri wa kunyoosha kuta ungeutoa wapi?Ungepima na mwiko au kisu cha kukatia vitunguu?Huo mwiko wenyewe na kisu si ni mwanaume kavumbua?Hata huko jikoni tunakotambia kama sio mwanaume leo hii tungekua tunakata vitunguu kwa vijiti?Kuna mwanamke anaweza kutengeneza kibao cha nazi anzia ile chuma/kisu kinqchokuna?HAKUNA.

Usije ukasema hatukupewa fursa sawa.Kwamba tulikandamizwa,kwamba tulifungiwa jikoni tusubiri kuolewa na kuzaa.Ni kweli tulifungiwa jikoni hata shuleni tulikataliwa kwenda ila kama sisi tuna akili sawa/kuwazidi wanaume kwanini isiwe sisi ndio tuwanyime wanaume fursa,tuwafungie jikoni kisha tujipakulie minyama yote ya fursa.?

🎵🎵Kwani wao waweze (kutufungia) wana nini hata sisi tushindwe(kuwafungia) tuna nini?🎵🎵.

Kitendo cha mwanaume kutunyima fursa na hakuna kitu tuliweza fanya inadhibitisha mwanaume katuzidi nguvu na akili.Na hata pale mwanamke alipopata fursa ya kuingia darasani ni mwanaume kwa utashi wake aliona ziko faida mwanamke akisoma.

Wanawake wa zamani,wale walioshuhudia process ya mwanaume kuubadili ustaarabu wa dunia waliheshimu hata mtoto mchanga wa kiume na walijua kabisa mwanaume akili yake ni kubwa zaidi na ndio ukweli sababu sayansi imedhibitisha kuwa ubongo wa mwanaume ni bora zaidi ya wa mwanamke.Hiyo device yenyewe unayotumia kupinga kuwa mwanaume wa porini hakuzidi akili nina hakika elements zote zilizotumika
kuiunda waliozitengeneza majina yao Me ni 98.9% zilizobakia ndo ke au yawezekana zote zimetengenezwa na Me.

Hebu jitizame hapo ulipo,vyote ulivyovaa kuanzia wigi hadi pichu,mapambo,perfume,makeup then jiulize nani wa kwanza kukutengezea,namaanisha kuanzia kugeuza pamba hadi iwe pichu au hiyo jeki hapo kifuani.Ni mwanaume.

2)Akili ninayoongelea ktk bandiko langu ni akili ya maisha kwa ujumla.Mambo yote makubwa duniani yamefanywa na wanaume na wote tunajua.Hapo mtaani kwako unapoishi,chunguza,majina ya wanayomiliki hizo nyumba yapi mengi kati ya wamiliki ke na wamiliki me?

Pia naomba nieleweke kuwa wapo ke wamewazidi me akili ila kwa idadi wanawake wenye akili kuwazidi wanaume ni wachache.

Mfano wewe udugu wangu binti kiziwi kwa muda mrefu nakuheshimu kama mwanamke mwenye uwezo kiakili.

Hongera sana maana hata kwenye hii mada kunipinga kwako kumefanya nijifunze mengi zaidi.Binafsi naona ktk wanawake waliopinga hii mada wewe umeonyesha uwezo mkubwa kama mwanamke na ingekua unaenda head to head na wanawake wenzio ungewatoa jasho tena ukiweka na hivyo viingereza vyako vya havard ila uongo dhambi mibaba ya JF inajiwezaIko vizur upstair.Unaweza usikiri ila naamini kuna vitu vingi umejifunza kupitia hoja za hii midume ulokua ukijadiliana nayo.Tukubali tu mianaume iko vizuri kichwani.Ndo ilivyoumbwa.
Pridah hii mada yako ni nzito, ndefu na ni kubwa sana.

Tunaapreciate huu upande ulioamua kuuleta, Yes tumejifunza na ni vizuri kuwa na waandishi wakike JF maana mko wachache.
 
Mwanamke wa kikinga ama kichaga anakuwa aggressive zaidi kwenye biashara kuliko wanaume wengi wa pwani.

Jamii ambazo zinasemekana hazitoi wife materials na pengine zina idadi kubwa ya single mothers kama wachagga, wahaya, wanyakyusa etc

Ni jamii zenye elimu na wanawake kwa kiasi flani wanaweza kujipambania na kujisimamia hivyo kuwa less submissive tofauti na jamii za pwani ambapo mtoto wa analelewa akiandaliwa kuwa mke wa mtu na si mpambanaji wa maisha yake binafsi. Huyu akiwa tegemezi, unamlaumu

Vipi kwa wanaume je wote tupo sawa

Mwanaume wa kichaga anafanya biashara kuliko mwanaume wa kihaya, na mwanaume wa kihaya pengine ananda mbali zaidi kielimu kuliko mwanaume wa kichagga..

Lakini pia mwanaume wa kikurya anaingia kwenye ulimwengu wa jeshi zaidi kwa sababu ya mfumo wao wa maisha na mwanaume wa pwani, anajihusisha zaidi na kilimo cha nazi na uvuvi..

Huku wanaume wa kiafrika na ulaya wakipenda soccer tena imekuwa kama kipimio cha uanaume lakini wanaume wa kihindi wanapenda cricket na marekani wanapendelea American Football na basketball

Kama wanaume, mazingira, mila na desturi zinatushape kuwa tofauti, na kupenda vitu tofauti. Kwa nini jamii hiyo hiyo ikimtengeneza mwanamke kuwa dependent unashangaa akija kuwa dependent.

Nadhani ungeanza kunielewa vizuri. Sikatai wanawake na wanaume tuna tofauti sana ambazo ni za asili, yani za kibailojia kabisa lakini kuna vitu mnavyoviita nature ni product ya mifumo ya maisha iliyotengenezwa kwenye patriarch lakini haimaanishi ikiwa tofauti, haitoleta matokeo tofauti.
Tukianza kuongelea kesi moja moja Ofcourse lazima exception iwepo. Lakini kufanya generalization huwa tunaangalia average, sio exception. Hatuwezi kupima ufanisi wa kibiashara baina ya wanaume na wanawake kwa kuwafanyia rejea wanawake wa kichaga tu. Hata kwenye ulinwengu wa sasa wa haki sawa kwa wote ukiangalia wastani unaona bado wanawake wamezidiwa kwenye kila nyanja
 
Mwanaume asipokuwa na msimamo ataangushwa na kila kitu.
Hili ni jambo la kweli kwa kiwango kikubwa. Msimamo ndiyo msingi wa maamuzi sahihi na uthabiti wa tabia. Mwanaume asiyejua anasimamia nini au anaamini nini, mara nyingi hujikuta akisukumwa na mazingira, shinikizo la watu au tamaa za muda mfupi. Msimamo humsaidia mtu kusimamia maadili yake, malengo yake na kufanya maamuzi yenye manufaa hata pale panapokuwa na vishawishi au changamoto.
 
Tukianza kuongelea kesi moja moja Ofcourse lazima exception iwepo. Lakini kufanya generalization huwa tunaangalia average, sio exception. Hatuwezi kupima ufanisi wa kibiashara baina ya wanaume na wanawake kwa kuwafanyia rejea wanawake wa kichaga tu. Hata kwenye ulinwengu wa sasa wa haki sawa kwa wote ukiangalia wastani unaona bado wanawake wamezidiwa kwenye kila nyanja
Hiyo sio issue ya exceptions, ni issue ya malezi na mifumo ya jamii husika katika kumtengeneza mwanamke au mwanaume wa aina fulani.

Ndio maana nikakuonesha, wanawake wa kihaya ni aggressive zaidi darasani kuliko wanaume wa pwani hususani kwa enzi hizo. Vile vile mwanamke wa kichagaa ni aggressive kibiashara kuliko mwanaume wa Songea, vile vile wanawake wa kikinga, kisukuma na kinyakyusa wanapiga jembe kuliko wanaume wa kigogo.

Nilikuwa najaribu kukuonesha kitu unachokiita nature, sometimes ni mifumo. Narudia tena, sikatai wanawake na wanaume ni tofauti sana tu ila vitu vingi vinafichwa kwenye nature.

Binti wa masaki ana nafasi kubwa zaidi ya kuwa corporate Lady au diaspora, si kwa sababu ni bora kuliko wanaume wa Mbagala na Tandale ila mifumo ya maisha aliyowekewaaliyowekewa inamuwezesha kuwa hivyo.
 
Mada imezingatia zaidi nature sio mifumo inayowekwa na binadamu. Kwamba mwanamke na mwanaume ukawapima katika fair playing ground yaani factors zote zipo sawa. In most cases mwanaume atamu-out perfom mwanamke

Wanawake wangekua na akili sawa na wanaume(achikia mbali kuwazidi) kusingekua na haja ya kutumia nguvu kubwa kuwatetea au kufanya promotion ya 50/50 na feminism duniani. Naturally hayo madai yangejiinua yenyewe na uhalisia kuonekana kwenye jamii. Kama ambavyo natural pattern iliwezesha patriarch kushika hatamu
 
Seran , win-one , ShesRise_1 , Mallerina na wenzenu, M-bookmark huu uzi.

Kwenye jamvi la wanawake tukija kuongelea "Internalized misogyny" tutautumia kama reference alongside reply No #297

binti kiziwi Thank you for holding it down, as always 😘 though kuna mtu humu ana-trigger the researcher in me, amequote study ambayo imeshakua contested by other recent research na meta studies.

Nafikiri everything that had to be said kimeshakua said, nikiandika itakua ni repetition tu.
 
Kuna post nimeongelea mkuu...

Mazingira ya zamani yalihitaji masculinoty ya kiasi kikubwa kusavaivu hivyo, mwanamke alikuwa kiumbe dhaifu asiyeweza kuhusishwa kwenye mambo ambayo yalikuwa nje ya uwezo binafsi wa mwili wake.

Watu wanaishi mapangoni, wanavamiwa na simba lakini wanatakiwa kwenda mwituni kuwinda chakula..

Sio rahisi

Ila kwa sasa concept nzima ya provision na security imekuwa tofauti. Ndio maana wanawake wa leo wanaweza kuingia sehemu nyingi na kufanya vitu vingi ambayo zamani wasingeweza kufanya.

Na msinielewe vibaya. Naelewa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume na mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke. Wote kiasili na kimaumbile wana nafasi ya kuchala

Ni sawa useme mwanaume alee mtoto au mwanamke ashike mtutu akapambane vitani. Kutakuwa na imbalance. Inawezekana NDIO ila je ni sawa. Si sawa kwa sababu kiasili tupo tofauti

Kuchukulia femininity ni udhaifu na masculinity ni pawa si sawa pia na hii ndio sababu wanawake wengi wanaamini wakiwa kama wanaume ndio wanakuwa powerful ilhali kuna wanawake waliangusha falme kwa uanamke wao. Tupo tofauti, tunatenda tofauti, tunawaza tofauti

Tukubali tofauti , mwanamke afundishwe kufurahia femininity yake na mwanaume afundishwe kujivunia masculinity yake. Simple
Mkuu hakuna mwanamke anayehitaji kufundishwa kufurahia femininity yake sbb ni asili yetu kuupenda uanamke wetu na hao wanawake wanaoamini eti wakiwa kama wanaume watakua powerful ni watu kama nyie ndio mmewatengeneza kwa kutokubali ukweli.Kwanza mwanamke anakuaje kama mwanaume?Anabeba vyuma ajaze misuli?Anafanyia surgery ubongo wake uwe wa kiume?Coz sayansi imedhibitisha ubongo wa kiume si sawa na wa kike.
Ni ujinga mwanamke kudhani anaweza kuwa kama mwanaume.Haiwezekani.

Umesema enzi za kuishi mapangoni mwanaume alishine sbb umbo lake lilim favor.Sawa.
Tuje kwenye zoezi la kumtoa binadamu kutoka kuishi mapangoni hadi kwenye modern civilization.Hili zoezi kwa kiasi kikubwa ni akili ilitumika na hapa mwanamke alikua na nafasi ya ku shine kama angekua na akili sawa na mwanaume.Mwanamke kaja kushine juzi tu hapa baada ya kutengenezewa mazingira ya ku shine na mwanaume.

Hao wanawake walioangusha falme sio kwamba wana akili bali walitumia udhaifu wa mwanaume wa tamaa ya ngono.Ndo mana nikampinga mtibel kwa kumwambiq kuwa mwanaume anahitaji ngono kuliko mwanamke.Hao waliongusha falme hata leo wapo na bado wanaangusha falme nyingi tu za wanaume.Wanachofanya ni kukutamanisha kipwapwiro tu na wote tunajua ni wanaume wachache watashinda jaribu la kipwapwiro cha mwanamke mrembo kama Cleopatra.
 
Unapodiscuss issue na mimi usiingize misimamo ya wengine kwa sababu unakuwa unatoka nje ya kile nilichokiongea mimi binafsi.sipo katika group la pinga wanaume wala pinga wanawake,

Pia mimi sio feminist hadi nianze kuwafundisha wanwake kuwa wanaume. Isitoshe ni mimi ambaye nimesema wanawake wawe proud na uanamke wao, unajua kwa nini

Kwa modern women wanaona hata kupika, kulea, kutunza mpenzi wake etc ni kama kujidogosha hivyo wanaweka concept ya usawa ili wanaume wazifanye pia. Sio mbaya pia lakini inapaswa kufanywa kwa namna ambayo mwanamke ataona gender roles yake sio utumwa au utwana bali sehemu tu ya majukumu au nafasi ya kujenga mahusiano yake.

Kuna mengi nimeshaongelea humu. Yatafute uyasome
 
Kuna namna cognitive filter yako inafanya kazi, Unatafsiri comments zangu kulingana na matarajio yako. Majibizano kati yetu yamejaa neno, sikumaanisha hivi nilimaanisha hivi” This is so tiresome na haina msingi.

You are seeing me through your own perception, which sio kitu kibaya, shida yake ni kuwa malengo ya mjadala yanakuwa shifted. Nilizungumzia consistency kama kanuni mojawapo ya mjadala, ni kama ulielewa, kuna kitu niliund estimate kumbe 🤣
Mbona una badilisha maneno ulivyosema mwenyew rafiki, na consistently point si niliikubalii? Acha kureciprocate kile alicho andika mtu to your own advantage...

Unazidi kunithibitishia kuwa nilikuwa sahihi toka mwanzo nilivyosema sio sahihi kujadili na mtu ambaye level ya uelewa sio moja, sio kwa ubaya.

Hapo uliponiqoute as a cherry picker as you are… Nilisema kuwa nitafuta comment/nitapunguza comments ili watu wakija kusoma wakutane na mtiririko wa hoja na na sio majibizano binafsi, Inaboa kwenda kwenye comment section unakutana mambo binafsi atleast to me, naamini na wengine wapi (lengo la msomaji ndio linadetermine hiki)
Hayo mambo si yaliisha before cool down kunywa glass ya wine moyo uelee

Why being triggered again miss!!?

Reading through your comment nimeelewa kuwa unadhani nafuta comment kwa sababu naogopa watu kutujudge (hii umeandika mwenyewe) How do you manage to think like this, i mean your process of thought ina walakini (Japokuwa benefit of doubt nayokupa kwa nilivokusoma kwenye mada zingine ni kuwa unafanya makusudi)

Na makusudi yako yanatokana na fact kwamba huku penda comment yangu ya kwanza jana, can you please move on? If something kinakuwa personal maana yake kimechukua your emotions. Hii sijajitungia, imetokana na hapo uliposema “you want to crack me open” Dude kwanini umejipa hii kazi ngumu isiyokuwa na malipo? ina satisfy which part of your body (sitaki kukwambia ni your bruised ego) nishakwambia tho 😅
Mimi kumtag prida was for funny purposes only ndo maana sote tulitumia emojis,

“you want to crack me open” Dude kwanini umejipa hii kazi ngumu isiyokuwa na malipo? ina satisfy which part of your body (sitaki kukwambia ni your bruised ego) nishakwambia tho 😅
Daah my friend, bona yawe hayoo tena, hujaona nimecheka na kama sikosei niliweka joking on brackets.. It was only funny

Kama alivyokwambia Becky huko juu jana, kujadili na wewe mtu lazima achoke sana. Although kwa mtu anayeelewa anaelewa unachofanya, ni vile nakwepa sababu i don’t want to be reduced to that !
Rebeca 83 alikimbia kwa sababu aliganda kwenye msimamo ambao haukuwa unajitosheleza, I've no bad intentions my friend am one of the humble one who only wants the truth wewe mwenyew shaidi last comment nilivyo interact nilikupa mauwa yako.

Please you need to stop thinking that about me..

Cha mwisho na cha msingi kinachohusiana na mada na sio hizi blah blah, unadeni la kueleza/kufafanua ile comment yako ulivyosema hii uzi unahusu survival, kama sijamisqoute.
I will Sema nimekuwa tight leoo
 
Mi sielew kitu i najua yuko kanisani kwake unakusanya makapu ya fungu la kumi🏃‍♀️‍➡️😃
😹😹😹 Hana kanisa lolote ni chawa tu!
Yani ananikwaza huyo kiumbe sijui kanywa maji ya bendera ya chama??

Anatetea hadi ujinga.
 
Nimesahau password☹️
Nipo.Kijana kakupita urefu na sa hv ukileta airforce ziwe size 39.Nahisi nakuza goliati.
Salamu zumefuka.

Sawa m/kiti ila ripoti ni yangu tu.
Wow 😍
Hapo wakamwana watapigana vikumbo kila mmoja atataka kuwa yeye main chick 😹😹
 
Back
Top Bottom