James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Mwanaume asipokuwa na msimamo ataangushwa na kila kitu.
Nimekuelewa ila yupo sahihiKinachohatarisha ndoa kuyumba sio kuwa na Akili au kutokuwa na Akili.
Kinachohatarisha ndoa ni watu wawili wasiofanana kuamua kuishi pamoja.
Umepangilia hoja kisomi na kiutu uzima sana👏👏Mkuu binti Prida,
Kwanza nishukuru kwa heshima na mtazamo wako juu yangu.
Pili, nashukuru kwa kuniona kama miongoni mwa members ambao tunaifanya jamii yetu ya Jamiiforum na Tanzania kwa ujumla kuheshimishwa na mawazo na mitazamo yangu ninayoitoa humu JF ambapo kimsingi sisi wote ni ndugu tunaoishi kwenye nchi na dunia moja.
Nakupongeza kwa njia uliyochagua kunijibu hoja zangu. Ambapo umetumia njia halali na yenye heshima ukiipa kisogo njia ya matusi kama wafanyavyo ndugu zetu wengine humu. Hili nakupa kongole.
Mkuu mwanamke anatamaa ya mwili kama ilivyo mwanamke.
Swali muhimu hapa ni je Maadili na desturi yanaathiri tabia za mwili na kihisia?
Mfano, Dhana kwamba mwanaume halii au hatakiwi kutoa machozi ipo kisayansi au ni social construct?
😆😆😃😃
Kisaikolojia zipo aina mbalimbali za akili. Intelligences
Kuna Verbal intelligence, musical intelligence, mathematical intellgence n.k.
Zamani kulikuwa na dhana kama yako kwamba mwanamke hana akili ya kusoma masomo na taaluma za sayansi kama Udaktari, uinjinia, na mambo kama hayo.
Ilikuwa dhana tuu ya kijamii isiyo na ukweli wowote.
Siku hizi wapo maelfu kwa maelfu ya madaktari na mainjinia wanawake.
Wapo wanaume wenye IQ kubwa na wapo wanaume wenye IQ ndogo. Vivyohivyo wapo wanawake wenye IQ kubwa na wapo wanawake wenye IQ ndogo.
😄😄
Wadada wa kitibeli ni pisikali za kwenda na kichwani zimo vilevile
Hata wanaume tuko hivyo.
Kama mwanaume ana stress hawezi kuwa na hisia za ngono.
Ili udindishe kuna factors nyingi lazima ziwepo. Ikiwemo afya njema anbayo hapa tunakubaliana inatokana na kula vizuri, kunyws na kupumzika kwa wakati. Na usiwe na stress.
Kinachohatarisha ndoa kuyumba sio kuwa na Akili au kutokuwa na Akili.
Kinachohatarisha ndoa ni watu wawili wasiofanana kuamua kuishi pamoja.
Hata mkutano ule wa Beijing nasema ni moja ya upuuzi mkubwa.Hata orodha ya wanaomudu somo la hisabati madhuleni ni wavulana ndo manq akitokea wa kike akatusua hisabati inakua gumzo.Angalia wanasayansi wote duniani, kuna wanawake wangapi? Newton, Einstein nk. Wanafalsafa, Plato, Socrates, Aristotle nk. Kuna jina la kike hapo?
umenikosha sana, wew ndie mwanamke wa ndoto zangu..naahidi kuachana na kataa ndoa na kuishi nawew milele ..naomba upokee Ombi langu Binti mrembo , mtoto wa mwaka 2004Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.
1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"
a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thanks 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.
Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.
b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.
Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana kama ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.
Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸
Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃
2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".
Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.
Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.
Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.
Thank you for your attention to this matter✌️