Swali muhimu hapa ni je Maadili na desturi yanaathiri tabia za mwili na kihisia?
Mfano, Dhana kwamba mwanaume halii au hatakiwi kutoa machozi ipo kisayansi au ni social construct?
😆😆😃😃
Kisaikolojia zipo aina mbalimbali za akili. Intelligences
Kuna Verbal intelligence, musical intelligence, mathematical intellgence n.k.
Zamani kulikuwa na dhana kama yako kwamba mwanamke hana akili ya kusoma masomo na taaluma za sayansi kama Udaktari, uinjinia, na mambo kama hayo.
Ilikuwa dhana tuu ya kijamii isiyo na ukweli wowote.
Siku hizi wapo maelfu kwa maelfu ya madaktari na mainjinia wanawake.
Wapo wanaume wenye IQ kubwa na wapo wanaume wenye IQ ndogo. Vivyohivyo wapo wanawake wenye IQ kubwa na wapo wanawake wenye IQ ndogo.
😄😄
Wadada wa kitibeli ni pisikali za kwenda na kichwani zimo vilevile
Hata wanaume tuko hivyo.
Kama mwanaume ana stress hawezi kuwa na hisia za ngono.
Ili udindishe kuna factors nyingi lazima ziwepo. Ikiwemo afya njema anbayo hapa tunakubaliana inatokana na kula vizuri, kunyws na kupumzika kwa wakati. Na usiwe na stress.
Kinachohatarisha ndoa kuyumba sio kuwa na Akili au kutokuwa na Akili.
Kinachohatarisha ndoa ni watu wawili wasiofanana kuamua kuishi pamoja.