Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Ufahamu wa Nafasi (Spatial Skills)
Wanaume huwa na uwezo mkubwa zaidi katika kufikiria vitu katika sura ya pande tatu (spatial reasoning), hisabati za kijiometri, na uratibu wa ramani.
 
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.


Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.

Thank you for your attention to this matter✌️
Mwanamke akibaki bikra anaweza kufanya Mambo makubwa sana
 
Nilikua natafuta mwanamke wa Mfano wako nifunge nae ndoa ..pokea Ombi langu Binti mrembo , mtoto wa mwaka 2000

umenikosha sana, wew ndie mwanamke wa ndoto zangu..naahidi kuachana na kataa ndoa na kuishi nawew milele ..naomba upokee Ombi langu Binti mrembo , mtoto wa mwaka 2004
Asante sana mkuu.
Nishaolewa na mimi ni mkubwa sana sio wa 2000.
"Nakuombea" upate prida wako toleo la 2000 aliye single.
 
Speak about urself, ila wanawake wengi ni smart sana .

Na sio smart Wana uwezo mkubwa sana kuzidi wanaume.

Isipokuwa kwa idadi inaonekana men are more smart than women ila wapo wanawake wenye akili na uwezo mkubwa kuwazidi wanaume

Isipokuwa upande wa hisia , wanatumia sana hisia ila bado ufanisi wao ni mzuri na mkubwa .
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
 
wanaume sie ni viumbe vya ajabu sana mie nilikuwa naumwa taabani homa kali haishuki hata kwa paracetamol nimechoma diclofenac inj wapi toka asubh kufika mida ya saa 12 jioni kuna demu nilikuwa nimetupia mawe mwezi unaenda ananyima wee akasema anakuja kwangu kulala huwezi kuamini ile homa ilipotea ghafla hadi asubuh ndio ikarud tena homa
Ndivyo mlivyoumbwa.

Sisi kitu kidogo tu mwili wote unakua mkavu na mara nyingi huwa hatujisikii tunafanya tu kiwaridhisha.
Hata yale makelele sometimes tuna act tu mmalize haraka tujilalie zetu.
 
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️


Mwanamke akitaka kuona ufanisi wake afanye kazi na mwanaume .

Wawe sehemu Moja , au idala Moja

Hapo utaona , ila ukiwaweka wote ke kwa ke is very hard kuona ufanisi wao.

Binafsi I'm just working na Mwanamke na kanipita miaka kama 10 ila tunafanya kazi vizuri , kulinganisha na kazi hiyo hiyo nikiwa nafanya na mwanaume.
 
Mwanamke anawahi kui-master game kwenye suala la mahusiano, kwa sababu anaanza kukutana na rasharasha za jinsia nyingine mapema sana ukikinganisha na mwanaume. Kijana wa kiume mwenye miaka 23 bado ni mtoto mdogo kwa binti wa miaka 19. Lakini ukiongelea akili yaani IQ, kwenye maeneo mengine yote mwanamke amezidiwa na mwanaume. Uhalisia haudanganyi. Unaweza kunitajia nyanja moja ambayo kiwastani wanawake wamewa-outperform wanaume
Atakayekupinga kwa hili anapingana na nature.Huu ndo ukweli toka mwanzo wa dunia na hautabadilika.
 
Mimi kama mdhambi mstaafu ninaweza sema bila uoga kuwa Mtibeli ana maombolezo makubwa ya kugongewa. Ana mfululizo wa nyuzi nyingi kuongelea wanawake. Niko kwenye mfungo siku ya pili bila kufakamia kitimoto na ndizi 2 (pilipili usiweke) ili kumuombea kijana wetu Mtibeli.
 
Mwanamke akitaka kuona ufanisi wake afanye kazi na mwanaume .

Wawe sehemu Moja , au idala Moja

Hapo utaona , ila ukiwaweka wote ke kwa ke is very hard kuona ufanisi wao.

Binafsi I'm just working na Mwanamke na kanipita miaka kama 10 ila tunafanya kazi vizuri , kulinganisha na kazi hiyo hiyo nikiwa nafanya na mwanaume.
Hata mwanaume, akipata mwanamke smart na yeye akawa smart huwa mwanaume anashine sana na mwanamke anaishi maisha ya furaha.

Na wanawake smart walioolewa huwa hawapendi kuwa Front, huwa wanataka sifa zote mwanaume azibebe pamoja na kuwa na mchango mkubwa katka mafanikio ya familia.

Big up kwa kina mama smart. Mnatupa raha duniani tofauti na hawa washamba wengine.
 
Back
Top Bottom