Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Ukimkuta mwanamke ana akili huwa ana akili kwelikweli.

Kwa vijana: akili ya Binti inachanganya haraka kuliko ya mvulana (nimeangalia hapa home)
Sijajua huko kwa wazee hali ikoje ila mwanamke anaakili sana
 
Nina toxic trait moja, Sipendi kujadili na watu ambao tuko kwenye level tofauti ya uelewa.

Watu wakifikiria kuhusu intelligent huwa wana ignore aspect muhimu ambayo ni “kufikiri kuhusu fikra zako mwenyewe”.

Ni ngumu kumuelewesha mtu aliyejifungia kwenye box au anayetaka kubishana tu for the sake of it.
 
Huu ni ukweli ambao wanaume hawataki kuusikia
Ni kweli kabisa kuna mwanaume ukimskiliza anavyoongea anavyoandika unajua hapa kuna tatizo

Wanawake pia tuna utashi
Tuna tamaa
Tunapenda pia
Tuna hisia
Ila nasema tena sisi tupo smart mnoo Tuna uwezo wa kutamani mwanaume anavyonukia na tukakaza kuliko mwanaume anaanza kuweweseka

Sisi tupo smart mnoo
Sio kwamba ukimtamani mwanaume eti unaweza kukaza, ubongo wako uko wired kuanza kuchambua subconsciously vya ziada huyo mwanaume atakavyokupa kumzidi mume au mpenzi wako ukiacha hiyo harafu yake tu, ubongo wako utamchambua kama anaweza kukupa security yako na watoto lolote likitokea, ubongo wako utajaribu kupata uhakika kama atakupenda au atakuwa na hisia na wewe kabisa au kwa kiwango unachotamani na mwisho kabisa utawaza atanionaje mimi mwanamke nikienda kumtongoza au nikianza kumuambia nimempenda.

Mwanaume ubongo wake hauko wired kuwaza chochote akiona tako, paja, nyonyo au sura. Akili yote inawaza kuichapa tu hata kwa kulipa pesa kwanza😁
 
asante kwa kushukuru.🙏

Sio kweli mkuu.Kipindi pekee mwanamke anaweza akakaa tu na kujihisi genye automatically tu ni kipindi cha ovulation mbali ya hapo ni hadi ashawishiwe ila mwanaume anaweza akaona kisigino tu mjegeje ukajikoki.Niambie kwanini nyie kila asubuhi mkiamka mjegeje uko loaded?Hiyo hali yenu inafanana na hali gani ya mwanamke?

Naomba nikusqhihishe.SIO DHANA YANGU kuwa wanawake wasisome.Kutosomesha mtoto wa kike lilikua kosa .Akili za kusoma na kuwa na uwezo wa kufanya maajabu ktk fani mbalimbali tunao ila haimaanishi tunamshinda mwanaume akili.

Pia mimi sio wale wajinga wanaoamini eti mwanaume halii.Analia vizuri tu ila ukweli ni kwamba kuna vitu vinamliza mwanamke kirahisi hadi mwanaume anashangaa huyu analia nini.Mimi naweza kulia kirahisi nikiwa nacheki movie ila sijawahi ona njema hata moja ikilizwa na movie.

Naelewa stress zinamuathiri hadi mwanaume kwenye tendo ila sio kwa ukubwa kama mwanamke.

Pia tukisema akili tuachane na uinjinia sijui ukemia.Tu stick tu kwenye general knowledge.Kwa mfano turudi nyuma enzi za zama za mawe hamna shule wala degree.Unadhani ktk mazingira yale ya kula kwa kuwinda,kuchimba nq kuvua mwanamke peke yake angetoboa?ASINGETOBOA.

PIa kama mwanamke atajiona ana akili sawa au zaidi ya mumewe hiyo ndoa haitadumu.

TUMEFIKA HAPA TULIPOFIKA SABABU YA AKILI NA HEKIMA ZA WANAUME.

Asante
Aisee binti prida kwa hizi points za nguvu zaidi unazoleta kututetea Wanaume nimwambie tu kitu kimoja,

Hapo nyuma Seran ameongoza sana kwa kuandikiwa barua za mapenzi na vijana wa kiume humu jukwaani mara nyingi sasa unaefuatia ni wewe hapo,

umekonga sana nyoyo za wanaume wengi humu jukwaani. Kudos
 
Sio kwamba ukimtamani mwanaume eti unaweza kukaza, ubongo wako uko wired kuanza kuchambua subconsciously vya ziada huyo mwanaume atakavyokupa kumzidi mume au mpenzi wako ukiacha hiyo harafu yake tu, ubongo wako utamchambua kama anaweza kukupa security yako na watoto lolote likitokea na mwisho ubongo wako utajaribu kupata uhakika kama atakupenda au atakuwa na hisia na wewe kabisa au kwa kiwango unachotamani.
Before ya huo uchambuzi wote si ni tamaa ndio inaanza so sio kwamba hatutamani ila tupo smart kuwazidi

Hatukubari tamaa zituongoze ndio maana tunaweza kuzizibiti
Mwanaume ubongo wake hauko wired kuwaza chochote akiona tako, paja, nyonyo au sura. Akili yote inawaza kuichapa tu hata kwa kulipa pesa kwanza😁
Hivi hapa hamjioni kama mna weakness ya jogoo la kuku 😂😂😂
 
Hata bila bible sayansi tu inaonesha umbo(hadi ubongo) la mwanaume limejengwa kwa ajili ya utafutaji na umbo la mwanamke limejengwa kwa ajili ya kuzaa.Haiwezekani kiumbe kilichodizainiwa kuwa na uwezo wa kutafuta chakula,malazi na usalamavwake yeye pamoja na mke na watoto kipewe akili sawa na za kiumbe kilichodizainiwa kwa ajili ya kuzaa,kulishwa,kutafutiwa malazi na usalama wake.

Mwanaume yupo juu ya mwanamke kiakili kutokana na asili yake.

Ile amri Mungu aliyompa meanaume ya utakula kwa jasho ikimfanya mwanaume awe na nyongeza ya maarifa kujua ni kwa namna ipi atakabiliana na mazingira yake.
 
Back
Top Bottom