I get that.
Nimecheka sana🤣.. Why do you have to care about peoples judgements?
This is a discussion my friend opened up to criticism na majibizano, you can't run away from thaat. Ukifuta haina maana watu watatrace kupitia quotes za wengine pia.
Rafiki we all have flaws that ignoring them is a disservice both to us and those who look upon us.
I wanna crack you open, mpk ego ijidharau yenyewe.. (joking) 😀 anyways I'll get to your other comments baadae
Kuna namna cognitive filter yako inafanya kazi, Unatafsiri comments zangu kulingana na matarajio yako. Majibizano kati yetu yamejaa neno, sikumaanisha hivi nilimaanisha hivi” This is so tiresome na haina msingi.
You are seeing me through your own perception, which sio kitu kibaya, shida yake ni kuwa malengo ya mjadala yanakuwa shifted. Nilizungumzia consistency kama kanuni mojawapo ya mjadala, ni kama ulielewa, kuna kitu niliund estimate kumbe 🤣
Unazidi kunithibitishia kuwa nilikuwa sahihi toka mwanzo nilivyosema sio sahihi kujadili na mtu ambaye level ya uelewa sio moja, sio kwa ubaya.
Hapo uliponiqoute as a cherry picker as you are… Nilisema kuwa nitafuta comment/nitapunguza comments ili watu wakija kusoma wakutane na mtiririko wa hoja na na sio majibizano binafsi, Inaboa kwenda kwenye comment section unakutana mambo binafsi atleast to me, naamini na wengine wapi (lengo la msomaji ndio linadetermine hiki)
Reading through your comment nimeelewa kuwa unadhani nafuta comment kwa sababu naogopa watu kutujudge (hii umeandika mwenyewe) How do you manage to think like this, i mean your process of thought ina walakini (Japokuwa benefit of doubt nayokupa kwa nilivokusoma kwenye mada zingine ni kuwa unafanya makusudi)
Na makusudi yako yanatokana na fact kwamba huku penda comment yangu ya kwanza jana, can you please move on? If something kinakuwa personal maana yake kimechukua your emotions. Hii sijajitungia, imetokana na hapo uliposema “you want to crack me open” Dude kwanini umejipa hii kazi ngumu isiyokuwa na malipo? ina satisfy which part of your body (sitaki kukwambia ni your bruised ego) nishakwambia tho 😅
Kama alivyokwambia Becky huko juu jana, kujadili na wewe mtu lazima achoke sana. Although kwa mtu anayeelewa anaelewa unachofanya, ni vile nakwepa sababu i don’t want to be reduced to that !
Cha mwisho na cha msingi kinachohusiana na mada na sio hizi blah blah, unadeni la kueleza/kufafanua ile comment yako ulivyosema hii uzi unahusu survival, kama sijamisqoute.