Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

😅😅😅😅

Kitu kidogo sana hamjakielewa enyi self proclaimed intelligent individual.

-Bandiko rahisi sana lile, You keep twisting it to fit your own sense of reality.

-Mnapotosha hoja ya Mtibeli ili iwe rahisi kuishambulia. (hakuna mahali wanaume hawajaheshimiwa katika lile bandiko)

-Mnatumia uzoefu binafsi kama sheria.

-Mnatumia rejea za kihistoria ambazo zina mapungufu kadhaa (Hapo ulipowataja magenius wa zamani, ni kama huelewi kwanini iko hivyo ilivyo,too low)

Mnachagua ushahidi unaokubaliana na misimamo yenu pekee, hii confirmation bias.

Ni muhimu sana hoja ikiletwa mwenye akili aangalie/atafute synthesis.

Ama sivyo mnapenda kubishana tu sio kujadili.
Wote Pridah na Mtibeli baadhi waliyoyaandika wapo sahihi. Pia wote wawili baadhi ya waliyoyaandika wanapotosha. Mtibeli alikosea kusema ME na KE tupo sawa ktk kila kitu kihisia. Kuna tofauti katika kuzipokea na kuzitendea kazi hisia kati ya ME na KE. Pridah anakosea kusema wanawake wana low IQ. Hakuna ushahidi wowote wa hilo dai lake. Shida yetu hapa jukwaani ni u Yanga na Simba.
 
binti kiziwi
Nime-enjoy kukusoma & I appreciate msimamo wako.

The writer in me is allergic to sweeping generalisations, the African in me hates stereotypes, na sijui kwanini baadhi yetu bado tunapendelea arguments zetu kutawaliwa na hivyo vitu viwili.

Kuna namna ambavyo baadhi ya watu wakishaji-catagorise as such and such, basi wanasahau kwamba maisha, dunia, and people... are much more complex. I'm uniquely different from you, just as you are uniquely different from me, na kuwa jinsia moja does not make us the same. Hivyo mtu anapojitizama yeye, akapima uwezo wake katika jambo fulani na kuona umeishia point B hapaswi kujipa mamlaka yakuamua kwamba mimi, wewe, na yeye wote tupo sehemu moja.

Chinua Achebe alisema, The problem with stereotypes is not that they are always false, but that they are always incomplete.

Kwahiyo tujitahidi kuelewa na kukubali kwamba there will always be other perspectives, other realities, and other possibilities beyond our own understanding & experiences!

Alamsiki!
 
Mtibeli alizungumzia mambo mawili;

1. Wanawake wana tamaa za kimwili kama wanaume.

2. Ndoa za mitara si nzuri(Hapa kuna utata sana angefaa apaache tu)

Pridah anakuja kusema eti wanaume na wanawake hawafanani akili.

Hizi ni nyuzi mbili tofauti. Hazihusiani.

Kwanza mnaleta mbwembwe tu, huwezi kumweka binadamu kwenye vifungu kama nyanya, binadamu ana mambo mengi.
 
Kabla ya kusema chochote ngoja ninukuu kwanza

"In fact, studies on cerebral cortex show that men have 15% more cortical neurons and 13% greater total neuronal density than women," (Pakkenberg and Gundersen, 1997; Rabinowicz et al., 2002).

Kama ni ngumu kuelewa hizo anatomical terminologies in short brain volume is higher in Men compared to women and function units of Brain(neurons) follow the same principle.

Naweza sema kwamba utofauti wa akili Kati ya jinsia Me na Ke una root Kwenye biological makeup.

Tatizo watu kwa kujua au kwa kutokujua whatever wanachanganya Kati ya Elimu(maarifa) na Akili(intelligence)

Kwangu Mimi Akili ni independent variable it is more of biological makeup(Anatomy). Ambayo mtu akiwa nayo ndio ameshakuwa nayo.

So in general ukiwaweka Me na Ke Wenye same level of education same level of exposure same chances same.... same..... Ikabaki factor Moja tuu ya kufanya evaluation Ambayo ni jinsia zao.
Then ukawapa jambo lenye kuhitaji kutumia akili tuu,, a challenge Ambayo may be hawajawahi kuisoma na kukutana nayo kabla. Nategemea Jinsia Me ifanye vizuri zaidi.

Sasa usilinganishe watu Wenye Knowledge tofauti na exposure na chances tofauti mfano Mimi Me lakini ukilinganisha na Ke Ambae ni askali wa jeshi mfano atanizidi vitu vingi upande huo au KE Ambae ni mbobezi wa masuala ya psychology na mambo ya social studies ukinipa Mimi nijadiliane nae mambo ya social issues anaweza kunibwaga sio kwa sababu amenizidi akili HAPANA ni kwamba amenizidi Knowledge na expertism.

Ambayo Lau kama nami nitapewa Kisha Tukarudi Tena mezani Huenda ingekuwa kinyume.

Nimalizie Jinsia KE wapo vizuri sana Kwenye readymade things,, structured things. Mpe maelekezo, mfundishe mpe utaratibu mpe mfumo Kisha subiri matokeo Bora kabisa (kuliko hata kama ungefanya hivyo kwa Jinsia Me)

Jinsia Me ni wazuri Kwenye kutoa something from nothing.

Mambo ya gunduzi,, ubunifu na mfano wake yaani hakuna past knowledge yoyote hakuna reference yoyote hakuna maelekezo yoyote unakaa tuu unapata Wazo au solution fulani kuhusu mazingira, na hapa ndo tunawa recognize kina Isaac Newton Ambao walifanya vitu sio kwa kusoma sehemu au kurejea sehemu Bali yeye ndio katengeneza kitu Cha watu kuja kusoma na kurejea.

Na ndio Kuna sehemu mtoa mada amenigusa sana aliposema unahisi zile zama za mawe kile kipindi ambacho hakuna knowledge yoyote,,, binadamu anatakiwa afikilie Kila kitu kuhusu mazingira yake from the scratch jee Mwanamke angetoboa???

Zile innovations na civilizations zote zilizofanyika kwa environment na binadamu wa kale ingekuwa Mwanamke angetoboa???

Mimi sio mwandishi mzuri.

Ahsanteni.

binti kiziwi
 
Gunner, ni kazi kubwa mno kuargue na mtu anayehamisha mjadala, Mtakuwa mnaenda huku, mnarudi huku, mnazunguka, hakuna framework wala consistency. Na wala hamtafikia lengo, (inategemea lengo ninini, kama ni kujifunza, utajichosha) mtakuwa mnabishana tu mpaka mmoja atakapoamua kugive up, au kupata ratiba tofauti. (mwenyewe umesema ili uache ni lazima ushindwe) Swali kwako nani ataamua huyu ameshinda na huyu hajashinda? Huyo anayeamua hatokuwa na upande? Check &balance kwa meza ya majaji ikoje? lol natania
Unajua hii mada ina trigger survival binti kiziwi? Behind all labels, conditioning and ideologies..
Haya tuje kwenye point yako ya consistency! How is that even possible? Hasa kwenye scenario kama hii? Huoni kuwa utajifungia katk perception yenye kuwa influenced na angle moja tuu ya uhalisia? Mimi naona ya kuwa it's about asking the right question but not ignoring other perspectives.
Also we not here to find who wins but show what was a misalignment in the first place.

It's not about competition it's about understanding what's right and how it's right.

Point ya consistency iko poa saana, ila negation ya aspects nyingine nakukatalia.

Turudi kwenye framework; Uhalisia ni kuwa kuna mfanano mkubwa sana wa kisaikolojia kati ya KE na ME, kuliko utofauti wao. Huu ufanani haumaanishi watu wote wako sawa. Kwa maoni yangu si sahihi kama jamii kuwa shabiki wa tafiti za zamani kwasababu ya historia ya jamii yetu ambayo social construct zimetawala sana perception za watu kuliko facts. Social construct zinaathiriwa na wakat & power dynamics mfano jamii kutawaliwa na mfumo dume, chances are hata maandishi/tafiti nyingi zitakuwa na bias kumfavor aliye kwenye power. (Nimekumbuka Twaweza vs utawala wa magufuli)
Hapo umeupiga mwingi, umeenda mle mle!

Framework: uhalisia wa Me na Ke kuwa Sawa kiakili.. Na weza Sema it's a dynamic too, hakuna usawa wa moja kwa moja. Unacho kifanya hapo ni kuangalia academia, which of course ipo designed to enrich both.. Tukija kisaikolojia hapo tutadanganyana. We both know the human brain being affected by emotions and hormonal balances and imbalances so both genders are biologically different to have the same effect on the brain, which thus affects their psychology.

You're right about dynamics in social constructs! Ila hapa binti tunaongelea the core of it all, survival, ndo maana hata tunawakatalia kwa sababu mnataka mtumie conditioning ku reflect uhalisia.

Swali: mfumo dume na mfumo jike are all conditionings, and I know what you're up to, to make us believe in dynamics! Tunapo Kuja kwenye survival, the fittest bears the crown. Have you ever noticed why generation za hivi karibuni Zinaongoza in divorce?

We've been psychologically and mentally played into thinking we can change our biology by just thinking our way into it! It might seem and feel right but nature doesn't lie it reciprocate and brings balance.

Kuna msemo unasema, eti people are destroying the earth, hell no, we are destroying us and the earth will remain. So I believe we should sometimes just know better.

Kwa leo na jana mjadala ni hisia za kingono, kama tabia ya binadamu. Hii nayo haihitaji maelezo mengi , hakuna tofauti kubwa kati ya ME na KE . Wanawake tunatamani hata kama tuna tie na mwenza mmoja, tunawivu, tunapenda control, tuna fantasi kwenye ngono 😅, kasheshe ni kuwa tumefungwa mikono na expectations tulizowekewa (tamaduni)
Hapa hata jadda tulikuwa tunabisha mpk toshaa.... Ila nikuoe tu mfano mdogo! We all have free will sio? Je can you outshine aliye strong zaidi yako? Yaani kakuzidi power and functioning mbona Wanyama wanatushinda katika hili? Jibu lipo wazi kabisa

Kuna tofauti za kiasi (ndogo au za wastani) zinazoonekana katika vitu kama
1. Hunting (kufukuzia unayemtaka)
2.Kuchokozeka kwa haraka (being aroused)
3. Self control + Kutosheka.

Vile vile kwenye Intelligent, Uwezo wa kujifunza, kuadapt mazingira mapya, Emotional intelligence +Empathy, Kutambua patterns, na vingine vinavyotafsiriwa kama Akili; Intelligent ni spectrum, mtu akija na dai kuwa ME wamewazidi KE, kabla hata hatujaenda mbali lazima tumuhoji anazungumzia hilo katika aspect ipi exactly? IQ, EQ,SQ, AQ? Ipi?

Kuna mdau huko juu ameniambia katika IQ hakuna tofauti kubwa kati ya ME na KE, hili ndilo hata mimi nafahamu toka kitambo, kinacholeta utofauti ni utayari wa kutafuta maarifa, Wanaume sababu wanapenda kutawala mazingira yao na kutawala wengine, wako aggressive katika kutafuta maarifa na kinyume chake.
No comment... Uko sahihi mnoo

Ushauri; Ukijadili na mtu akakurushia shade, usimjibu, focus.(case ya apple and oranges) Ukijibu a shade, mimi na wewe hatutakuwa na tofauti katika matumizi ya hisia ambayo yatazidi kuprove hii mada yetu. Anyways sisi sio center ya mjadala.
Kwenda zakoo, yaani uniletee triggering zakoo nikae kimya! Forget it, I must call that out. No one would.. Na kumbuka pointing out a misalignment is soo healthy. It shows an impression kwa aliyeogea kuwa kayakanyaga. The problem ni kwa mpokeaji.

Kiukweli sijakuelewa ulivyosema uzi wa jana ni rumor, Kama una namna nyingine ya kunielewesha i will appreciate. Ni bomb la ku destroy morals how? Buddy unajaribu kujibebesha mzigo wa kucontrol jamii? reflection kwenye jamii inaonekana, kwani kwanini jamii inalalamika kuhusu tabia za wanawake za umalaya, si ndio tunachokizungumzia hapa? Japo kina msukumo mwingine, kitu kimoja kinaweza sababishwa na sababu mbili au zaidi, kwa hii case matamanio+ tamaa ya pesa. Unless sijalewa ulivyosema reflection yake kuonekana kwenye jamii .
I was talking on the social context, alicho kuwa anakiongea mitibeli hakitofautiani na indoctrination. Yaani una implant mtazamo kwenye jamii, unawamanioulate bila kuwapa ins and outs ya kile wanacho kifuata.

Wewe mwenyewe umekuja kuonesha how the dynamic goes, sasa ili jamii unayo waambia hayo wanapaswa kujua..

Ni Sawa na Ushoga tuu, it's all psychological unawa make watu wa believe then wanakutana na uhalisia (wenye contradicting dynamics)

All in all as someone who knows how this game goes narudii kwenye POV yangu kuwa

"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."
 
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.

PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.

1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"

a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.

Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.

b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.

Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.

Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸

Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃

2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".

Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.

Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.

Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.

Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.

Thank you for your attention to this matter✌️


We ulipoanza tu kusema sijui anaandika nini na nini nikaona hamna kitu hapa. Mtu anayekuambia mwanamke na mwanaume wapo sawa kwa kila kitu usije ukamzingatia kwa lolote lile. Jamna kitu kichwani.
 
Kuna comment yangu imezua kasheshe, nina omba msamaha ilikuwa kali , ila maana yangu haikuwa kumuweka mtu chini bali kuonesha kuwa ili muelewane ni lazima mujadili kitu kimoja katika milengo tofauti (level sawa za uelewa) na sio kujadili kitu kilichotawanyika.
Am quite sure that Ulimaanisha ulicho kisema, watu wamekucharua ndo ukarudi kwenye humble mode! It was your intention to show your pride na kuna mahala uliandika wewe ni unapologetic! Hatukatai ila kwenye minus ya toxic ego tunapangua haraka iwezekanavyo. Hii ndo nature ya healthy masculinity
 
Mtibeli alizungumzia mambo mawili;

1. Wanawake wana tamaa za kimwili kama wanaume.

2. Ndoa za mitara si nzuri(Hapa kuna utata sana angefaa apaache tu)

Pridah anakuja kusema eti wanaume na wanawake hawafanani akili.

Hizi ni nyuzi mbili tofauti. Hazihusiani.

Kwanza mnaleta mbwembwe tu, huwezi kumweka binadamu kwenye vifungu kama nyanya, binadamu ana mambo mengi.
Huu uzi ni mpana, umegusa kila kona na mambo mengi ya yanayohusu tabia za mwanadamu yanahusiana, kama akili za wanawake na wanaume zinatofautiana basi hata tamaa zao zitatofautiana kwa sababu tamaa zinahusisha akili pia.
 
Asante sana Prida kwa mchango wako mzito na wenye hoja nyingi! Ni wazi kabisa umetafakari sana kuhusu mada hii na umetoa mifano hai kutoka kwenye uzoefu wako binafsi, kuanzia kwenye hisia hadi masuala ya akili na hata tamaa ya ngono.

Ni kweli, mada hizi za tofauti kati ya wanaume na wanawake zimekuwa zikijadiliwa kwa muda mrefu sana na kila mmoja wetu ana mtazamo wake kulingana na tunavyoona na kujifunza maishani. Ushiriki wako wa ujasiri na uwazi unachochea mjadala mzuri na unatoa fursa kwa wengine kueleza mitazamo yao pia.

Ni muhimu sana kuwa na mijadala kama hii hapa JF ili tuweze kujifunza kutoka kwa uzoefu na mawazo ya wengine. Asante tena kwa kutuletea mtazamo wako wa kipekee!
 
Wote Pridah na Mtibeli baadhi waliyoyaandika wapo sahihi. Pia wote wawili baadhi ya waliyoyaandika wanapotosha. Mtibeli alikosea kusema ME na KE tupo sawa ktk kila kitu kihisia. Kuna tofauti katika kuzipokea na kuzitendea kazi hisia kati ya ME na KE. Pridah anakosea kusema wanawake wana low IQ. Hakuna ushahidi wowote wa hilo dai lake. Shida yetu hapa jukwaani ni u Yanga na Simba.
Na hizo gape zinazibwa na wakosaji + wachangiaji. Na wachangiaji wanaongeza yatokanayo.

Umeiweka vizuri.
 
Wote Pridah na Mtibeli baadhi waliyoyaandika wapo sahihi. Pia wote wawili baadhi ya waliyoyaandika wanapotosha. Mtibeli alikosea kusema ME na KE tupo sawa ktk kila kitu kihisia. Kuna tofauti katika kuzipokea na kuzitendea kazi hisia kati ya ME na KE. Pridah anakosea kusema wanawake wana low IQ. Hakuna ushahidi wowote wa hilo dai lake. Shida yetu hapa jukwaani ni u Yanga na Simba.
Mkuu unajua unakoseaga wapi? Hoja zako huwa unaandika kwa kuangalia kesi moja moja. Kuna wanawake wanaweza wakawa na IQ kubwa lakini ukiangalia wastani kijinsia ndipo hapo mwanaume yupo juu. Kwahiyo Pridah alivyosema wanaume wana IQ kubwa ukilinganisha na wanawake hakumaanisha wanaume wote wana akili na wanawake wote ni vilaza.

Ameandika kwa kuangalia wastani na uhalisia kwenye jamii. Gunduzi, vumbuzi na utatuzi wa matatizo vyote vunafanywa zaidi na wanaume. Huwa unaangalia sana exceptions kwenye hoja zako. Kitu ambacho unakosea kwasababu hauwezi ku-address hoja kwa kuangalia kesi moja moja.

Mfano useme Tanzania sio masikini isipokua masikini ni wakazi wa vingunguti, tandare, mbagala n.k. Hiyo haipo tunaangalia wastani wa masikini na matajiri halafu tunahitimisha kwamba Tanzania ni nchi masikini, ingawa matajiri wapo. There is exception in everything but exceptionality don't count when we generalize
 
Angalia wanasayansi wote duniani, kuna wanawake wangapi? Newton, Einstein nk. Wanafalsafa, Plato, Socrates, Aristotle nk. Kuna jina la kike hapo?
Kihistoria mwanamke jina lake tu halikuhesabiwa kibiblia na pia kijamii,mwanamke hakuwahi pewa nafasi zaidi ya jikoni.

Mwanamke hakuruhusiwa kuwa kiongozi ila mke wa kiongozi.

Katika jamii kama hiyo ndio unategemea wanawake wapate kuwa sawa na wanaume kifursa na kiubunifu
 
Hapo kwenye akili ndo umekosea. Mimi ni ME ila nakiri wanawake smart ni wengiii - nahisi hata kuliko wanaume. Kwenye hisia umepatia. Hizi jinsia mbili tunatofautiana namna tunavyoitikia hisia zetu lakini wote tunazo hisia the same.
Twende kwenye uhalisia mkuu. Katika nyanja ipi wanawake wamewa-out perfom wanaume? Teknolojia, biashara, utabibu n.k?
 
Mkuu unajua unakoseaga wapi? Hoja zako huwa unaandika kwa kuangalia kesi moja moja. Kuna wanawake wanaweza wakawa na IQ kubwa lakini ukiangalia wastani kijinsia ndipo hapo mwanaume yupo juu. Kwahiyo Pridah alivyosema wanaume wana IQ kubwa ukilinganisha na wanawake hakumaanisha wanaume wote wana akili na wanawake wote ni vilaza.

Ameandika kwa kuangalia wastani na uhalisia kwenye jamii. Gunduzi, vumbuzi na utatuzi wa matatizo vyote vunafanywa zaidi na wanaume. Huwa unaangalia sana exceptions kwenye hoja zako. Kitu ambacho unakosea kwasababu hauwezi ku-address hoja kwa kuangalia kesi moja moja.

Mfano useme Tanzania sio masikini isipokua masikini ni wakazi wa vingunguti, tandare, mbagala n.k. Hiyo haipo tunaangalia wastani wa masikini na matajiri halafu tunahitimisha kwamba Tanzania ni nchi masikini, ingawa matajiri wapo. There is exception in everything but exceptionality don't count when we generalize
Nadhani pia ni lazma muangalie pia historia na mfumo wa jamii nzima umekuwa male dominated toka mwanzo.

Unategemeaje kupata wanawake wengi zaidi kwenye nyanja ambazo hawakuruhusiwa kuwamo ndani yake.

Imagine hadi leo hii kuna "mwanamke wa kwanza kufanya kitu fulani"..

Kwa hiyo si sawa
 
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.

PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.

1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"

a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.

Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.

b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.

Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.

Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloa🤸

Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvuto😃

2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".

Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.

Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.

Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.

Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.

Thank you for your attention to this matter✌️
Hivyo ndivyo akili yako inavyokuambia, lakini scientific and psychological consensus haiko upande wako!
 
Am quite sure that Ulimaanisha ulicho kisema, watu wamekucharua ndo ukarudi kwenye humble mode! It was your intention to show your pride na kuna mahala uliandika wewe ni unapologetic! Hatukatai ila kwenye minus ya toxic ego tunapangua haraka iwezekanavyo. Hii ndo nature ya healthy masculinity
You think?

Unapologetic ni kwamba ukiniambia nina ego, sitaomba msamaha kwa ego yangu, Nitaomba msamaha ikiwa kuna mtu amejisikia vibaya au nimemfanya ajisikie vibaya kwa nilichoandika earlier.

Watu wakikuonesha umekosea mahali, lazima ufikirie ni kwanini wanasema hivyo, uwezo wa kujisahihisha ndio unaita kuwa humble? basi kuna kazi kubwa.

Nani amenicharua? Unafahamu inahitaji nini ili unicharue? Na Kumbe mpo kwaajili ya kupangua ego za watu, ndio maana mtu akijisahihisha kwa kuoneshwa kuwa umekosea mnaona mmemcharua?

Sasa tafakari, utaona ni kwanini nilisema kuna watu si wakujadili nao 🤣
 
Sina hakika kama akili inachagua jinsia. Wapo wanaume mabongo lala na wanawake mabongo lala hivyo hivyo. Na wapo wanawake wanakuzidi akili na hivyo hivyo tunawazidi pia. Kuhusu ngono mimi naweza kusema wanawake wana uwezo mkubwa wa kushiriki ngono na hawahitaji hisia ili kufanya ngono . Sisi wanaume uwezo wetu upo limited na huwezi kufanya ngono kama hisia au tamaa hazijapanda ndio maana nirahisi kukuta mwanamke anaweza kufanya ngono na wanaume 20 kwa siku. Kuhusu taama sisi wanaume tunatamani kila siku tulambe kitu kipya nikiwa na maana ukiwa na mtu uliyemzoea nitofaut kabisa na ukiwa na mtu mpya ndio maana mtu yupo radhi amwache mke wake nyumban alale na mwanamke ambaye hajui ana wanaume wangapi all in all vijana Magonjwa ni mengi na ni dhambi🤣
 
Nadhani pia ni lazma muangalie pia historia na mfumo wa jamii nzima umekuwa male dominated toka mwanzo.

Unategemeaje kupata wanawake wengi zaidi kwenye nyanja ambazo hawakuruhusiwa kuwamo ndani yake.

Imagine hadi leo hii kuna "mwanamke wa kwanza kufanya kitu fulani"..

Kwa hiyo si sawa
Cheki hii
Screenshot_20260622-005714~2.jpg
 
binti kiziwi
Nime-enjoy kukusoma & I appreciate msimamo wako.

The writer in me is allergic to sweeping generalisations, the African in me hates stereotypes, na sijui kwanini baadhi yetu bado tunapendelea arguments zetu kutawaliwa na hivyo vitu viwili.

Kuna namna ambavyo baadhi ya watu wakishaji-catagorise as such and such, basi wanasahau kwamba maisha, dunia, and people... are much more complex. I'm uniquely different from you, just as you are uniquely different from me, na kuwa jinsia moja does not make us the same. Hivyo mtu anapojitizama yeye, akapima uwezo wake katika jambo fulani na kuona umeishia point B hapaswi kujipa mamlaka yakuamua kwamba mimi, wewe, na yeye wote tupo sehemu moja.

Chinua Achebe alisema, The problem with stereotypes is not that they are always false, but that they are always incomplete.

Kwahiyo tujitahidi kuelewa na kukubali kwamba there will always be other perspectives, other realities, and other possibilities beyond our own understanding & experiences!

Alamsiki!
Asante.

Waandishi huwa mna vitu kwasababu ili muandike ni lazima msome. Mkituletea dhana tofauti tofauti zinatusaidia kujifunza zaidi.

We will appreciate kukuona tena na tena hapa.
 
Back
Top Bottom