OK ila you can't say that on someone's face just because wewe umem perceive mtu kwa namna fulani, kuna obligation ya kumwambia ni nini au wapi hayuko vyema!
Huwezi kusema mtu fulani hawezi kuimba just because music taste yako Hai match na anacho kiimba.
Hapo unanifanya niurudie kuona it's ego speaking! Yaani ndo maana Kuna jukwaa kama hili? We share ideas and experiences, sasa unasema mtu akasome, alaf unasema hajui wewe unajua? Je who is to blame hapo? Hauoni kuwa wewe ndo mwenye ignorance?
Having knowledge is not power but utilization of knowledge is power. Na kama hauwezi na umekataa, you are to blame.
Apples and oranges!
No am a jack of all trades, ili uniweke kwenye box lazima unishinde kimajibizano. Lasivyo am never gonna allow anybody to do so.
Huo si uhalisia, hiyo ni rumor ambayo hauna uhalisia ndani yakee! Of course inawezekana ikawa fact, ila mzani haureflext real life scene. So you were wrong all along. Mwanamke anaweza kumtamani mwanaume ila her biology is designed for emotional safety before doing so. So she has to see potentially of safety and power from a man. Ndo maana tunao a macelebrity na watu wenye pesa wanapendwa sana na wanawake.
Big elephant?
The big elephant is as to why moral values are tinkered by indoctrination mpka tumefikia mjadala ya namna hii. That wasn't reality it was a bomb to destroy morals. Ni mbaya sana na inaleta mpasuko mkubwa sana kwenye maadili na familia, hata mtoa mada kasema how bad hiyo mada ina madhara.
So
binti kiziwi uhalisia ulikuwa unadhan mtoa mada anao si uhalisia maana unge reflect jamii na ungekuwa na matokeo
Gunner, ni kazi kubwa mno kuargue na mtu anayehamisha mjadala, Mtakuwa mnaenda huku, mnarudi huku, mnazunguka, hakuna framework wala consistency. Na wala hamtafikia lengo, (inategemea lengo ninini, kama ni kujifunza, utajichosha) mtakuwa mnabishana tu mpaka mmoja atakapoamua kugive up, au kupata ratiba tofauti. (mwenyewe umesema ili uache ni lazima ushindwe) Swali kwako nani ataamua huyu ameshinda na huyu hajashinda? Huyo anayeamua hatokuwa na upande? Check &balance kwa meza ya majaji ikoje? lol natania
Turudi kwenye framework; Uhalisia ni kuwa kuna mfanano mkubwa sana wa kisaikolojia kati ya KE na ME, kuliko utofauti wao. Huu ufanani haumaanishi watu wote wako sawa. Kwa maoni yangu si sahihi kama jamii kuwa shabiki wa tafiti za zamani kwasababu ya historia ya jamii yetu ambayo social construct zimetawala sana perception za watu kuliko facts. Social construct zinaathiriwa na wakat & power dynamics mfano jamii kutawaliwa na mfumo dume, chances are hata maandishi/tafiti nyingi zitakuwa na bias kumfavor aliye kwenye power. (Nimekumbuka Twaweza vs utawala wa magufuli, RIP)
Kwa leo na jana mjadala ni hisia za kingono, kama tabia ya binadamu. Hii nayo haihitaji maelezo mengi , hakuna tofauti kubwa kati ya ME na KE . Wanawake tunatamani hata kama tuna tie na mwenza mmoja, tunawivu, tunapenda control, tuna fantasi kwenye ngono 😅, kasheshe ni kuwa tumefungwa mikono na expectations tulizowekewa (tamaduni)
Kuna tofauti za kiasi (ndogo au za wastani) zinazoonekana katika vitu kama
1. Hunting (kufukuzia unayemtaka)
2.Kuchokozeka kwa haraka (being aroused)
3. Self control + Kutosheka.
Vile vile kwenye Intelligent, Uwezo wa kujifunza, kuadapt mazingira mapya, Emotional intelligence +Empathy, Kutambua patterns, na vingine vinavyotafsiriwa kama Akili; Intelligent ni spectrum, mtu akija na dai kuwa ME wamewazidi KE, kabla hata hatujaenda mbali lazima tumuhoji anazungumzia hilo katika aspect ipi exactly? IQ, EQ,SQ, AQ? Ipi?
Kuna mdau huko juu ameniambia katika IQ hakuna tofauti kubwa kati ya ME na KE, hili ndilo hata mimi nafahamu toka kitambo, kinacholeta utofauti ni utayari wa kutafuta maarifa, Wanaume sababu wanapenda kutawala mazingira yao na kutawala wengine, wako aggressive katika kutafuta maarifa na kinyume chake. IQ za jinsia ME zinakuwa sharpen hapa.
Hata hivyo kuna advantage ya kila gender katika aspect tofauti tofauti za akili. Hizo advantage ndio zinaamua nani amzidi nani, nini…
Binafsi, tofauti ya ME na KE ambazo huwa nazi acknowledge bila kuzidoubt ni tofauti za kibayolojia, ambazo nazo zinaathiri similarities hizo huko juu.
Ushauri; Ukijadili na mtu akakurushia shade, usimjibu, focus.(case ya apple and oranges) Ukijibu a shade, mimi na wewe hatutakuwa na tofauti katika matumizi ya hisia ambayo yatazidi kuprove hii mada yetu. Anyways sisi sio center ya mjadala.
Kiukweli sijakuelewa ulivyosema uzi wa jana ni rumor, Kama una namna nyingine ya kunielewesha i will appreciate. Ni bomb la ku destroy morals how? Buddy unajaribu kujibebesha mzigo wa kucontrol jamii? reflection kwenye jamii inaonekana, kwani kwanini jamii inalalamika kuhusu tabia za wanawake za umalaya, si ndio tunachokizungumzia hapa? Japo kina msukumo mwingine, kitu kimoja kinaweza sababishwa na sababu mbili au zaidi, kwa hii case matamanio+ tamaa ya pesa. Unless sijalewa ulivyosema reflection yake kuonekana kwenye jamii .